Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mimi JF nimejiunga 2017 ila nimekutana na dada mmoja daladala anatumia as well chuoni Mwalimu Nyerere nilikutana na Mdada mmoja na mwisho my bro so A part of those people sijawaiga kukutana na mtu anatumia JF then huu mtandao watu huwa hawapendi kujulikana wakitumia ni kuficha ficha Sana.
 
Kuna uzi niliuanzisha humu miaka kadhaa nyuma. "Je unamfahamu nani humu JF nje ya JF"?Ule uzi ulifutwa na moderator maana watu walianza kufunguka
 
Hakuna mtu atakaa around me siku 3 akaacha kufahamu kuwa natumia JF, hata hapa kuna mdada tulikuja diner baada ya nusu saa akaniuliza unatumia JF baada ya kuona naperuzi nikajibu yay!

proud JF member.
 
Jf akili kubwa
 
Hata Pascal Mayalla hujawahi kukutana naye
 
Majitu ya Arusha yana ushamba sana
 
Mnaoogopa id kufahamika mnatumia app ipi inayoonyesha id? Au hamtaki kabisa ijulikane huwa mnapita huku?
 
Binafisi wapo naowafahamu kuwa wanatumia jf ila sijui ID wanazotumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…