Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Sasa huoni kwamba hao Colleagues wameshakufahamu ?
 
Security measures tu mkuu. Holding one id kwa muda mrefu nachukulia sio salama sana.

Sitaki nije nihusishwe na lolote lile. Mambo ya kuwa charged makosa elfu 1,000 [emoji3][emoji3] ya kusingiziwa kuanzia 2012 hapana.
Basi huku unafanyaga mambo ya ajabu ambayo yanatishia amani..

Kama ukiwa wa kawaida tuu basi ni ngumu sana kuhusishwa.

Kuna watu humu tangu waanze miaka hiyo mpaka leo ID zao zile zile tuu πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Mi Nina Miaka 12 nilishawahi kumwona mmoja tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…