cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Kwenye budget ya chakula nyumbani kwangu bado ni ngumu sana, nanunua everything ila naona matumizi yako palepaleNaitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo oredhesha hapa,nitawaelekeza madogo Kila kati kati ya mwezi Yani tarehe 15 waangalie vitu vinavyokaribia kuisha tununue,ambavyo havikai mda mrefu vitanunuliwa Kwa reja reja mfano nyanya,karoti,matunda nk. naomba mchango wa mawazo yenu pia asanteni.
Kuna budget nime upload inagoma ungeiona ungetoa ushauri shida mtandao uko chiniSasa ushauri gani tena hapo Diana?
ππππAmekushinda tabia auila dianaπ
Ikikubali nitagKuna budget nime upload inagoma ungeiona ungetoa ushauri shida mtandao uko chini
Kila kitu kipo 10,000 ya nini tena?Kwenye budget ya chakula nyumbani kwangu bado ni ngumu sana, nanunua everything ila naona matumizi yako palepale
Minimum natumiq per day 10,000 na kila kitu kiko ndani
Dianda dsh limeyumba ?Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo oredhesha hapa,nitawaelekeza madogo Kila kati kati ya mwezi Yani tarehe 15 waangalie vitu vinavyokaribia kuisha tununue,ambavyo havikai mda mrefu vitanunuliwa Kwa reja reja mfano nyanya,karoti,matunda nk. naomba mchango wa mawazo yenu pia asanteni.
Diana anatuuliza leo bajeti ya mwakani .ππππ
Kwahiyo mnatubeza sisi ambao kula yetu inatupa stressπWw ulibidi ukae peke yako au ukae kwenu kwakuwa una immaturity Fulani in thinking.
Ukiwa unaona mambo Kama chakula yanakuwazisha ujue unsafari ndefu Sana.