Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

Diana anatuuliza leo bajeti ya mwakani .
Inaonyesha ana Malengo ya muda mrefu..good girl DianaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Ή
Mependa utambulisho ,"Naitwa Diana"
diana wa miaka ya mbele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€anataka kuanza kuweka stock kabisa
 
diana wa miaka ya mbele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€anataka kuanza kuweka stock kabisa
Yupo mbele ya muda
Mitano ✊🏽 😹 tena kwa Diana.

Anauliza na kujijibu
Very genius
Uzi tayarii
 
Ushauri wangu ni kuwa usiumize kichwa kuhusu bejeti ya nini cha kula. Jikite kwenye kuhakikisha unakuwa na pesa. Ukishakuwa na pesa unanunua chakula kadri kinavyohitajika. Ukibudget sana chakula utaishia kuwa mchoyo.
 
Una bikra
 
Mimi na wenzangu kama mimi wenye kula ya stress
Okay Mkuu , Mungu awainue na mpate kuwa mna uhakika wa kula mnachotaka nawaombea in the name of Jesus Christ ,

You will be abundantly from today on .πŸ™πŸ½
 
Mimi chochote nachopata nakula.
Halafu sisi wakulima huwa hatupati headache kwenye chakula.

Kazi kwenu huko wana daslama.

Mitano✊tena kwa Diana
Kaweza
Hapa mahindi pale maharage mara kuku bata mbuzi ngombe basi full raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…