Nipike ya nini tena wakati mama ntilie wapo kibao mtaaniEf4 mbona kubwa sana.
Ukiwa na kila kitu elfu 4 inabaki.
Sema wanaume ni wavivu kupika
Mnapenda kununua chakula
Kwa sisi wadada
Mimi nikinunua vitu vyangu vyote zinapita siku situmii hata sh mia.
Mateso wapi bro wakati mama ntilie wamejaa kibaoHaha mateso kuwa mwanaume sio kazi ndogo
Mlenda kisamvu cabeji nsansa dagaaa samaki kuku bata mzingaMungu atupe nini sisi?
Mahindi yemejaa
Maharage
Mpunga,
Karanga
Ndizi,
Yaani hapo ni kucheza na mboga tu
Kisamvu kipo njeMlenda kisamvu cabeji nsansa dagaaa samaki kuku bata mzinga
Mnamaliza helaNipike ya nini tena wakati mama ntilie wapo kibao mtaani
Yeye anaenjoy tu😄Truly nafikiri sisi wabongo tunashida Sana .
Mitandao ni Kama MTO wanaoelewa wanavua samaki na amabao hawaelewi wanaliwa na mamba.
Unaweza kupoteza muda kumshauri MTU jambo kumbe anakuchora na kukuchota ufahamu wako ndo maana ukikutana na watu wa hivi just be the watcher kwakuwa they come and go no consistence
Ukiwa na familia ni ngumu sana kubalance gharama.Hapana sinunui vitafunwa
Sema humu tjmaweza Pata idea watu wana balance vipi gharama zao
Sasa hela ibaki ili iweje....utaiacha tuu. Wee ubwabwa wa 1500 hapo na maji ya bomba umeshakula mchana hapo. Usubui chai ya rangi 300 na chapati mbili 600 jioni matunda ya bukuMnamaliza hela
Kila siku ununue chakula aisee
Chai 300Sasa hela ibaki ili iweje....utaiacha tuu. Wee ubwabwa wa 1500 hapo na maji ya bomba umeshakula mchana hapo. Usubui chai ya rangi 300 na chapati mbili 600 jioni matunda ya buku
Wee basi ni bahili sana 🤣🤣🤣🤣Chai 300
Chapati 2 600
Kwa wiki ni hela nyingi hiyo
Tafuta mpango wa kando wa kuhandke hayo mambo. Hiyo tuu kuwaza ya kwamba kwa siku unatumia 10,000 tayari ni akili ndogo. Wanaume hatuwazagi hayo.Kwenye budget ya chakula nyumbani kwangu bado ni ngumu sana, nanunua everything ila naona matumizi yako palepale
Minimum natumiq per day 10,000 na kila kitu kiko ndani
Sawa mwanaume mwenye akili kubwaTafuta mpango wa kando wa kuhandke hayo mambo. Hiyo tuu kuwaza ya kwamba kwa siku unatumia 10,000 tayari ni akili ndogo. Wanaume hatuwazagi hayo.
Mama ntilie na unafurahia chakula, wewe ni nomaMateso wapi bro wakati mama ntilie wamejaa kibao
Hamia mtaani kwetuMama ntilie na unafurahia chakula, wewe ni noma
Mama ntilie wa mtaani kwetu vibonge na wanatoka jasho sana, unatakiwa uwe na roho ngumu.
Like seriously anaitwa bonge, ahaha sio poa
Naakili yako ndio imefikia hapaUkifatilia post za hawa watu, utajua tu ni wana akili sawa
Unique Flower Strong and Fearless SweetyCandy cold water kadogo2
Basi sikukuelewa,kwangu Mimi nikifanya bajeti ya mwezi naweza nisimalize hata elfu 5 Kwa wiki kwenye masuala ya Kula nanunua kila kitu,nyama,samaki,viazi,main,ndizi,maharage,njegele,dagaa e.t.c baada ya wiki 2 huwa naongeza viungo tu kama karoti,hoho,bamia&ngogwe na matunda basi!!!Unanunua nyama, let say kilo moja unatoa 10000, mimi ni mchaga ukipika ndizi, lazima ununue sio chini ya elfu 4, hapo hujaweka utumbo ambao ni luxury
Sometimes ukila kande, watoto wanapikiwa vyakula vyao.
Asubuhi lazima ununue vitafuniwa - wanangu wanakula kama mchwa tena mwanangu wa kiume anapiga mara saba kwa siku, akishiba anachezea dude.
Watoto wanakula vitu vya ziada, kama maziwa, mayai etc for their health benefits
Kwa wiki kila siku kinapikwa chakula chake, naonaga watu wengi wanakula Wali na ugali tu.