Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Hakuna cha October 7 wala nini zote ni njama za USA na Israel wawaondoe wapalestina hapo GAZA.
hivi inaingiaje akilini USA Taifa namba 1 kujeshi na mshirika wake Israel washinde kupata mateka kwenye eneo lenye ukubwa sawa na vijiji 4 vya Tanzania ilihali wana control mpaka chakula kinachoingia hapo Gaza.
Ulimwengu umejaa hadaa kwa kweli.
 
Asikushughulishe huyo nitunamweka factory reset hapa hapa nadhani anajadili na wajinga wenzie hili jukwaa kuhusu middle East tutatembea nae mguu kwa mguu mpaka tutafika tunapokwenda, akitumia uhuni nasi tunaujua akitumia logic Nasi tunazo, akitumia hekima na falsafa nasi humo tu. Hivyo wacha aruke na myahudi mjalaana walisha msulimisha kwenye programu zao nae anajikuta myahudi. Atetee ajuavyo myahudi hajali kuhusu ambae si myahudi
 
Hapo hakuna Mihemko hapo nimesema ukweli tu!!
 
Mimi nikikumbuka jinsi Hamas wanavyomchimbua mavisu Mtanzania mwenzetu Moleli hakuwa na hatia yoyote naona hata Netanyahuu kipondo anachokitoa Gaza kina huruma Hawa watu hawapaswi kuhurumiwa tukio la October 7 kobazi waliwashangilia Hamas Leo ndio wanalia na kutumia neno watoto na njaa kutafuta huruma ya dunia

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Maskin ya Mungu hata mwamba Netanyau hakujui shithole country citizen, .hata kumtukana haisaidii..haya yote waliosababisha kwanza ni takataka hamas, kuvamia nchi ya mtu na kuua watu kubaka akina mama na mabinti wadogo, pili wanaosababisha ni wananchi wa Gaza kwa kuwahifadhi hao magaidi acha wapigwe mabomu wafe
 
Watoto wa Gaza hawakumchoma visu huyo Mtanzania.
 
Haya Echolima1 nenda kwenye handaki chuma ndio kinanyenyuka muda huu



.🇾🇪 Breaking — A ballistic missile has been launched from Yemen.

🔹@enemywatch
 
Very swad indeed, hao israel kama wameshajua hamas wanapojificha klwa nini wanaua watoto?...shenzi zao

Hivi ndio makafiri hufanya, hawajui misingi ya vita, hawana imani, hawana wanachojua zaidi ya mambo ya duniani tu
 
Really? Vitoto vya Kipalestina si vya kuonewa huruma? Really?
Nyoka akikuang'ata akakimbilia kwenye pango lake kisha ukajua eneo lake kuna nyoka wadogo wadogo wengi, ni nini utafanya.
Au chukulia mfano huo ni panya amekula suti yako ya kikao maalumu, baada ya kuona shimo lake utampa adhabu gani pamoja na familia yake.
 
Watoto wa Kipalestina si nyoka wala panya. Ni binadamu wasio na hatia yoyote ile.
 
Haya Echolima1 nenda kwenye handaki chuma ndio kinanyenyuka muda huu



.🇾🇪 Breaking — A ballistic missile has been launched from Yemen.

🔹@enemywatch
Acha kutisha watu hapa mpaka muda huu hakuna taarifa yoyote iliyotolewa. Wangekuwa Wamerusha taarifa zingetufikia mapema. Huo ni uongo tu!!
 
Acha kutisha watu hapa mpaka muda huu hakuna taarifa yoyote iliyotolewa. Wangekuwa Wamerusha taarifa zingetufikia mapema. Huo ni uongo tu!!
Shoga yenu saudia kaintrecept now dawa yake inachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…