Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Nawashangaa watu wanaoitwa watanzania ...eti nao wana nchi,serikali na dola...aaah very interesting
 
Huyu JPM ana usafi gani hadi usimuweke ktk orodha ya mafisadi?!

Bilioni nane kivuko cha mwaka 1928,Kibovu hakifanyi kazi,Barabara substandard,Rushwa ya kujengewa vote maeneo ya Chato ah hahahaha Nina wasiwasi Reli yaweza kuwa ya mwaka 1940,ukishazoea kula nyama ya watu hauachi kamwe
 
Hivi wewe kuna fisadi gani aliwahi kukamatwa enzi za jk?
Wote tunajua Lowassa na jk wanahusika na richmond lkn chedema walitaka kupeleka fisadi ikulu
Awamu hii mwanasiasa gani fisadi umeona ameshtakiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma zaidi ya kuona mafisadi akina Mwakieembe na Muhongo yakiwa mawaziri badala ya kufikishwa mahakamani !
 
Hivi wewe kuna fisadi gani aliwahi kukamatwa enzi za jk?
Wote tunajua Lowassa na jk wanahusika na richmond lkn chedema walitaka kupeleka fisadi ikulu
Dili ni la kikwete lowasa alikuwa pawn kama ambavyo professor muhongo alikuwa pawn kwenye ESCROW ssa nyie vibaraka mnashabikia tu na mnaaminishwa lowasa anaweza piga dili na kikwete asijue??? Mbona kwenye retreat ya CCM 2012 lowassa aliuliza je ni kipi alichofanya kwenye richmond asichokijua? What did he reply???kaulize

Kma it was that simple longtime magufuli au mwakyembe wangekwisha msweka ndani lowassa
 
Tanzania pekee ndo diploma holder na degree holder wana kiburi cha kutukana pHd holder ...mnataka msikie kitu mnachokipenda mazezeta akili zenu zipo matakoni hama.
Mkuu una uhakika na unachokifiria, au unataka nikuPM academic certificates zangu!?
 
Huyu mnyakyusa bure kabisaa, hata sijui huko jimboni kwake huwa anashinda shinda vipi
 
Kwani ripoti ya Richmond imejadiliwa mwaka gani na Lowasa amekuja Chadema mwaka gani.?
Mnyika kakumbushia mwaka jana mwezi wa sita kwenye hotuba yake kma waziri kivuli ssa kma wanatetea richmond iweje kambi ya upinzani irudishe hoja hyo bungeni??? Kma wanajua mwisho wa siku lowassa ndio mhusika mkuu wanapata wapi confidence ya kurudisha hoja ile kupitia mnyika???
 
Bilioni nane kivuko cha mwaka 1928,Kibovu hakifanyi kazi,Barabara substandard,Rushwa ya kujengewa vote maeneo ya Chato ah hahahaha Nina wasiwasi Reli yaweza kuwa ya mwaka 1940,ukishazoea kula nyama ya watu hauachi kamwe
Duuh mpwa reli ya 1940?
 
Kwani nini hao wabunge wasihoji wakati huo kuhusu Lowasa kutohojiwa na kamati ya Mwakyembe wanakuja kuhoji leo baada ya Mwakyembe kupangua hoja ya Makonda.?

Hapo ndio utajua unafiki wa wanasiasa, wanakomaa na kitu kulinda malengo yao na sio uchungu kwa Taifa.!
 
Chadema walitaka kufanya siasa za kitoto.Walitaka kumbana Makonda kwa kutumia suala la Richmond ili wamsafishe fisadi wao 2020,awe vizuri kisaikolojia.Wamekutana na "mwendawazimu" Mwakyembe,akifyatuka lazima chadema watagawana mbao tu
 
Kwa sasa hili swala limeamushwa bungeni acha limalizwe kibunge bunge.... Kumbuka hata mahakama inasubiri ushauri wa bunge dhidi ya serikali...

Limalizwe kibunge wakati bunge lilishatoa maamuzi? Mpelekeni mahakamani.
 
Kwani hawakuhoji? CHADEMA kwa muda wote walikuwa wanauliza inakuwaje watu wanafungwa kwa makosa madogo madogo wakati mtuhumiwa mkubwa wa ufajaji wa fedha za umma hafikishwi mahakamani. Huko siyo kuhoji?

Hoja ya Makonda imepanguliwaje? Kwamba Mwakyembe kasema kwamba Makonda hajavamia Clouds?
 
Yaani full njaa+debe la ujinga. Mnafiki afadhali kidogo huwa ana twist mambo kwa faida yake.
 
Sasa ni mbunge gani mpuuzi anaehoji sasa maamuzi ambayo yalishajadiliwa na bunge na maazimio yakapitishwa.?
Sijui kwa nini unataka kuchanganya kwamba kuna mbunge kahoji maamuzi ya Bunge kuhusu sakata la Richmond.

Hapa hoja ilijikita kwenye suala jipya kabisa la Makonda kwamba Mwakyembe kasema hakusikilizwa na kamati iliyoundwa na Nape. Sasa swali lilitokana na yeye huko nyuma kutokutoa nafasi kwa upande wa pili kusikilizwa na kuitaka serikali kutekeleza maamuzi ya Kamati Teule aliyokuwa anaiongoza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…