Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

UZINIFU NI DHAMBI
wengi humu naona wanashadidia kuwa Binti kabakwa
wengine wanataka ihalalishwe kutokana na miaka
labda niseme ni KOSA LAKUFUNGWA JELA kulala hata na mfugo (kuku, mbuzi, ng'ombe nk)
sasa tukiruhusu vijana wa miaka 20 ndio wabake au wazini, si ndio watawatunga mimba watoto wetu na kugoma kulea?
Tendo la zinaa matokeo yake tunayajua, hao vijana hawatakubali majukumu bora mzinifu atakayezini na chini ya miaka 18 aende Jela
 
Sijamaanisha wa miaka 20 ndio mwenye ruhusa ya kubaka ila kwa binti wa miaka 17 ni matured kabisa na anaweza kumwingiza king kijana wa miaka 19/20 lakini likija suala la hukumu hawa vijana watakula miaka 30. Lakini mtu wa miaka 40 n matured anaweza hata kujudge Mambo so azabu yake inaweza kubwa zaidi ya huyo wa miaka 19/20
 
Daaa! kweli Dunia ina mambo Binti ana miaka mingapi kwani! mbona mmetaja umri wa teacher tu?
 
Jamani! wanaume ndiyo tunaogopa wanawake siku hizi!

lkn ukweli wanaume tunabakwa sana kupitia utani utani, mara hiyooo! na unahongwa kabisaa! watoto wa miaka 13-16 ni shida sana ndiyo umri huu huu walitufundishaga mapenzi.

sasa ndo vitawahonga vizuri ma- handsome boys.

ONYO; Mwanaume yeyote anaye jua kuwa ni dume kamili hata vibabu wasikaribiane na vitoto vya umri wa miaka 12-20. wala kuishi nyumba moja, ikitokea dharura uwe mkali km pilipili. sura ya mbuzi, amini nakwambia havikawii kusema Kaka nisaidie kuchua mapaja yanauma na ndani hakana kufuri. hata dada yako take care, ndo gear zao!

au tafuta demu faster muelezee issue ili akadhiti kuondoa usiri, wanawake wanajua kudhibitiana, ukiweka siri umeyataka!
 
Mikoa mingine hawataki kuona mgeni/Wakuja anatoboa kimaendeleo au Kiujuaji mjue, hapo Kijijin huenda Mwalimu alikuwa na tumaendeleo kumzidi Diwani baasi ikawa nongwa, lazima upigwe fitina. Wenyeji wa Vijij mnaelewa
Si kweli mkuu,nimekaa sana Lindi huko kwa miaka 10,watu wa huku ni wakalimu sana na hawana shida na mtu ninachokiona kwa Huyu mwalimu ni kuwa alikubuhu kwa uasherati na watoto wa shule na ikafikia kipindi jamii ikamchoka
 
Hitimisho;
K
ama kweli Teacher kabaka kwa kumrubuni Binti, Familia ya huyo binti itakuwa salama. endapo

Kama Teacher kabambikwa, kwa sababu ya viji-cent vya mawazo, hiyo familia ya Binti itavuna ilichopanda, soon! dhambi nyingine ziko mulemule ndani ya vitendo hazikawii kupata majibu. Bado wana nafasi ya kutubu!

Kumbukeni kila unachokifanya hapa Duniani unapanda mbegu, utaivuna, Mtenda mema mabaya hayamkuti!
 
Soma sheria mkuu uielewe acha kulalamika bila kujua sheria inasemaje,kuna sheria ya kufanya mapenzi na under 18 na pia kuna sheria ya kufanya mapenzi na mwanafunzi,awe na miaka 19,20,21.....ila akiwa mwanafunzi basi ni kosa na adhabu yake ni 30 yrs

Ignorance of the law excuses not. Take care.
 
mkiambiwa punyeto inasaidia mnakuwa wakali.....sasa gerezani lazima wamle jicho.....
 
Alimbaka au walikuwa wanafanya mapenzi?!

Kama mwanafunzi alibakwa mbona anafukuzwa shule kwa kosa la kubakwa....?!
 
watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..

Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
Ndio unajua kuwa hapa Tanzania tunawapiga domo na watoa stress tu. Uliwapa peni na karatasi wakuandikie haki tano tu za msingi za mtoto wa kike hawana wanalojua.... Wapumbavu sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…