magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
mikoa gani?Shule nyingi za mikoani mabinti wengi ni wakubwa na wanakua na mitego sana kwa walimu, bila umakini unaishia jela huku unajiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mikoa gani?Shule nyingi za mikoani mabinti wengi ni wakubwa na wanakua na mitego sana kwa walimu, bila umakini unaishia jela huku unajiona
Pwani, nimewahi kujitolea kufundishamikoa gani?
UZINIFU NI DHAMBINataman sana sheria ya ubakaji adhabu yake itolewe kutokana na umri wa mtenda kosa. Kwa mfano adhabu atakayopewa kijana wa miaka 20 aliyesex na bint wa miaka 17 iwe tofauti na mwanaume mwenye miaka 30, 40, 50... n.k. nasema hvyo kwa sababu kijana wa miaka 20 na binti wa miaka 17 n kama rika moja na uelewa wa kuamua Mambo ni tofauti na mwanaume mwenye miaka 40 anauelewa mkubwa zaidi.
Sijamaanisha wa miaka 20 ndio mwenye ruhusa ya kubaka ila kwa binti wa miaka 17 ni matured kabisa na anaweza kumwingiza king kijana wa miaka 19/20 lakini likija suala la hukumu hawa vijana watakula miaka 30. Lakini mtu wa miaka 40 n matured anaweza hata kujudge Mambo so azabu yake inaweza kubwa zaidi ya huyo wa miaka 19/20UZINIFU NI DHAMBI
wengi humu naona wanashadidia kuwa Binti kabakwa
wengine wanataka ihalalishwe kutokana na miaka
labda niseme ni KOSA LAKUFUNGWA JELA kulala hata na mfugo (kuku, mbuzi, ng'ombe nk)
sasa tukiruhusu vijana wa miaka 20 ndio wabake au wazini, si ndio watawatunga mimba watoto wetu na kugoma kulea?
Tendo la zinaa matokeo yake tunayajua, hao vijana hawatakubali majukumu bora mzinifu atakayezini na chini ya miaka 18 aende Jela
[emoji28][emoji28]Atatoka akiwa na miaka 68. Wanafunzi munipitie mbali, tena mbali sana .
K ni nomaUnapiga bao mbili tu alafu unafungwa jela miaka30.? Pole sana kamanda.
Si kweli mkuu,nimekaa sana Lindi huko kwa miaka 10,watu wa huku ni wakalimu sana na hawana shida na mtu ninachokiona kwa Huyu mwalimu ni kuwa alikubuhu kwa uasherati na watoto wa shule na ikafikia kipindi jamii ikamchokaMikoa mingine hawataki kuona mgeni/Wakuja anatoboa kimaendeleo au Kiujuaji mjue, hapo Kijijin huenda Mwalimu alikuwa na tumaendeleo kumzidi Diwani baasi ikawa nongwa, lazima upigwe fitina. Wenyeji wa Vijij mnaelewa
Below 18Na ni mara nying meaning kulikua na makubaliano, na kesi kwa mwalimu ingekua kutembea na mwanafunzi, sasa hizo adhabu mbona wanamkomoa kiumbe kipya tu?
Soma sheria mkuu uielewe acha kulalamika bila kujua sheria inasemaje,kuna sheria ya kufanya mapenzi na under 18 na pia kuna sheria ya kufanya mapenzi na mwanafunzi,awe na miaka 19,20,21.....ila akiwa mwanafunzi basi ni kosa na adhabu yake ni 30 yrsKama mwalimu alikuwa akila mzigo daily mpaka raia wema kumchoka, huo sio ubakaji.
Na inakuwaje mwanafunzi anaadhibiwa kwa kufukuzwa shule kama alikuwa anabakwa? Double punishment?
Haki haijaendeka kwa mwalimu. Form 5 ni mtu mzima kabisa huyo na ukute labda alianza kugawa tangia form one
Kiti moto?K ni noma
Alimbaka au walikuwa wanafanya mapenzi?!Habari wanaJamiiForums,
Mwalimu George Ngallu wa Mahiwa Sekondari aliyekuwa na kesi mahakamani ya kufanya ngono na mwanafunzi wake wa kidato cha tano 2019/20 katika mchepuo wa History, Geography na Kiswahili (HGK) amakutwa na hatia na amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kuanzia tarehe 14/08/2020.
Hata hivyo Mwanafunzi naye alifukuzwa Shule na Bodi ya Shule na hata alipokata rufaa, bado Bodi ya rufaa ya Mkoa iliona bodi ya Shule ilikuwa sahihi na adhabu ya kufukuzwa Shule iliendelea.
=======
Taarifa husika iliripotiwa kama ifuatavyo;
Mwalimu kizimbani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi wake
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mahiwa, wilaya na mkoa wa Lindi, John Ngalu (38) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya mkoa wa Lindi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake anayesoma kidato cha tano.
Hayo yalielezwa jana na wakili wa serikali, Juma Maige alipozungumza na Muungwana Blog, ofisini mwake mjini Lindi.
Maige alisema Ngalu alipandishwa kizimbani tarehe 5 mwezi huu baada ya kufunguliwa kesi ya jinai yenye namba za jalada 4/2020, na kuongeza kuwa kitendo hicho kilifanyika kwenye nyumba anayoishi mwalimu huyo. Ambayo ipo katika eneo la shule hiyo.
Alisema mshitakiwa huyo alikutwa usiku baada baadhi ya wananchi ambao ni raia wema kutoa taarifa,kwa wananchi wenzao ambao walipokwenda eneo la tukio walimkuta akifanya mapenzi na mwanafunzi wake huyo.
Maige alisema inadaiwa kuwa kitendo cha namna hiyo kwa mwalimu huyo na mwanafunzi wake ni cha muda mrefu. Hali iliyo sababisha wananchi hao wamchoke na kuamua kumkamata.
Kesi hiyo itaendelea tena tarehe 13 Februari 2020. Huku Ngalu akirudishwa mahabusu baada kushindwa kutekeleza vigezo na masharti ya dhamana.
Chanzo: muhabarishaji.com
Ndio unajua kuwa hapa Tanzania tunawapiga domo na watoa stress tu. Uliwapa peni na karatasi wakuandikie haki tano tu za msingi za mtoto wa kike hawana wanalojua.... Wapumbavu sana....watetezi wa haki za wanawake mbona mko kimya hapa, simamieni na hili sasa..
Mama kafukuzwa shule, Baba wa mtoto jela 30yrs.
Mtoto akizaliwa baba yake yuko jela na mama yake kafukuzwa shule, what a future for this innocent kid..
YeahKiti moto?