Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

Ha ha we mbona unateseka sana na viboko vya watoto watukutu na mimi nasema wapigwe tu!! Hapo vipi?

Iambie serikali yako huko bongo iboreshe maslahi ya watumishi hasa walimu kama huko IST..upo?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unakubali kua Waalimu wanachapa watoto sababu ya maslahi madogo na sio kama watoto wameshindikana hata kufikia kuwapiga kama wanaua Nyoka,

Na umekubali shule kama Feza, Ist hawapigi watoto na sio kama hawakosei ila maslahi ya waalimu ni makubwa,

Ndio maana nikasema ukiona maslahi hayalipi kwa kazi yako achana nayo tu tafuta nyingine kuliko kuumiza watoto wasio na hatia.
 
Nikubaliane wapi hivi unajielewa au unaandika tu nyie kizazi cha 1990s mko rojo rojo sana kazi kutetea upuuzi wa mitoto mivuta bangi na minyoa viduku. Kizazi chenu bila bakora hakiendi na mimi nasema walimu piga hizo toto tundu hadi akili ziwakae sawa. Hawa wana harakati kama huyu Mariposa wapuuzeni

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu kupeleka stress zako za maisha kwa mtoto mdogo ni kukosa utimamu wa akili na weledi wa kazi yako.
Umekomaa kuniita mwl ukidhani labda utanikwaza unajichosha bure tu ha ha ha!! Kwani kazi ya ualimu ina shida gani madam Mariposa nilipenda sana kuwa ticha sema maisha mipango tu. Msiwaseme vibaya hawa watumishi wa mwokozi acheni wawanyooshe kina junior

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa darasa la nne ana vuta bangi zipi hadi apigwe kikatili kisa hajafanya homework,
Wewe ni mwalimu tena mwenye stress hata uandishi wako unaonekana,
Njoo huku pwani tulime mihogo mwaya
 
Mwalimu Kaburungu kwanini uhisi kukuita kwa taaluma yako nitakukwaza jamani, kwani ualimu ni uhalifu?
Achana na huo wito njoo huku tulime zetu mihogo mwalimu Kaburungu
 
Mwalimu Kaburungu kwanini uhisi kukuita kwa taaluma yako nitakukwaza jamani, kwani ualimu ni uhalifu?
Achana na huo wito njoo huku tulime zetu mihogo mwalimu Kaburungu
Ha ha we kuna fuse imekata sio bure, kwa hiyo navyoandika umejua mie mwl.. ok tufanye ni hivyo. Ila ukweli utabaki pale pale wanao kina junior watalambwa bakora sana.

Siku nikifika darisalama ntakutafuta nile hiyo mihogo ya pwani na dagaa+karanga!! Umenisikia we mama junior [emoji1787]

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu umejaa upepo!
Acha kupiga watoto hovyo kuna Jela na Jela ushasikia vituko vyake,
Shaurilo
 
Mwalimu umejaa upepo!
Acha kupiga watoto hovyo kuna Jela na Jela ushasikia vituko vyake,
Shaurilo
Haujaweza kunijaza upepo na kama ndio lengo lako umefeli pakubwa na pole sana mama junior... Ni bahati mbaya hunijui sikujui emu fanya kwenda PM kwanza mama J

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Private fimbo zipo sana tu mbona au mwenzetu high class ulisoma Tanganyika schools?
Upo sahihi, kuna shule moja ya private nyanda za juu kusini, mzazi anapopeleka mtoto kwa mara ya kwanza anapewa angalizo kabisa kama hataki mtoto wake achapwe arudi nae tu, hawapo tayari kulea watoto wazembe, watukutu n.k
 
Upo sahihi, kuna shule moja ya private nyanda za juu kusini, mzazi anapopeleka mtoto kwa mara ya kwanza anapewa angalizo kabisa kama hataki mtoto wake achapwe arudi nae tu, hawapo tayari kulea watoto wazembe, watukutu n.k
Kuna shule inaitwa TWIBHOKE ipo Serengeti , binti yetu kapiga kitabu pale yaani kuna stick za kufa mtu na wanaperform kisawasawa NECTA miaka kadhaa wamekuwa top 10 kitaifa .
Kuna fimbo za kutosha sana yaani hakuna mchezo ndo maana najiuliza huyu jamaa kasoma private ipi wasiyochapa?
 
Ndiyo maana tunaiomba serikali ipitishe sheria ya wazazi kufila walimu wachapao watoto wa watu, hii itawashikisha adabu. Tunataka #KatibaMpya #WalimuWafilwe tu.
 
Ni story za vijiweni mkuu, na wanaozizusha ni hawa hawa wanaopinga stick mashuleni na madai yao wanakwambia wanaosoma zile shule ni watoto wa matajiri hivyo hawapaswi kuguswa na fimbo hata wakikosea, yaani wao wanaamini kumchapa mtoto hata kama akikosea ni kumuonea, watakwambia mtoto akikosea akanywe tu kwa maneno, wanasahau kuwa kwenye mkusanyiko wowote wanakutana watu wwnye tabia tofauti tifauti.
 
Kinachosababisha hayo ni ulevi tu hakuna kingine hakuna mtu mwenye akili timamu atafanya ujinga huo.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…