Wanawake wanapitia mengi, huendi alimnyima mtu uchi, kwa hiyo kosa dogo anaadhibiwa pakubwa angalau alegeze sketiNao wamezidi kujifanya vichwa ngumu huwezi kupewa hiyo adhabu kwa kuonewa na lazima alishapata kuonywa juu ya mwenendo wake na hakusikia barmaid huyu
Relax kidogoHiyo mikopo aliipeleka wapi? Na bado akawa mtoro kazini hadi kufikia kupewa adhabu hiyo. Hapo TSC kosa lao ni nini? Yaani ukope kope kwa interest zako na bado uwe mtoro kazini halafu uendelee kubembelezwa?
Mshahara wake halisi sijui, hajaniambia
Basi ungeujua kwanza ..isijekuwa alikazana kukopa na hicho kilichomtokea ni sababu ya kukatwa sana madeni ..
Ina Maana huo mshahara anakatwa zaidi ya moja ya tatu???hata kama adhabu ya makato ya nusu mshahara haiwezi kufika 34000|= kwa mfumo wa moja ya tatu!!Ni elfu thelathini na nne(34000).Mr.Ban huyu mwalimu ni graduate, ana degree kutoka UDSM.
Ina Maana huo mshahara anakatwa zaidi ya moja ya tatu???hata kama adhabu ya makato ya nusu mshahara haiwezi kufika 34000|= kwa mfumo wa moja ya tatu!!
Naomba namba yake nimsaidie.Ni elfu thelathini na nne(34000).Mr.Ban huyu mwalimu ni graduate, ana degree kutoka UDSM.
Na laana hii ni kupiga piga watoto na kuwatukana matusi yenye kejeri.Kumbuka huyu mwalimu alikuwa na madeni lukuki, kabla ya adhabu hiyo alikuwa na makato mengi.
Kazi ya ualimu ina laana, maana Walimu wengi wanaishi maisha magumu.
Anastahili msaadaNaomba namba yake nimsaidie.
Umetumia lugha ngumu kidogo kwa walimu. Kati ya walimu na mapolisi wapi wanafanya kazi ya laana?Kumbuka huyu mwalimu alikuwa na madeni lukuki, kabla ya adhabu hiyo alikuwa na makato mengi.
Kazi ya ualimu ina laana, maana Walimu wengi wanaishi maisha magumu.
kwani ukisema vwewe ndo huyo mwalimu utauawa endelea kuwa kadaKuna mambo katika nchi hii yanatokea huyajui.
Nimepata kisa cha kusikitisha cha mwalimu wa shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo, Pwani kulipwa mshahara wa elfu thelathini na nne (34,000) Tsh baada ya kupewa adhabu na Tume ya Utumishi wa Walimu TSC-Bagamoyo...
Hiyo inaitwa mwana kulifaindi mwana kuligeti. Kwa nini aamue kujipa likizo?Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi...