Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Si ndio hapo Mkuu!!!.Walimu waboreshewe maslahi kama wabunge.
Nilisikia report ya katibu mkuu wa tume ya Utumishi wa Walimu kwamba asilimia 50 ya Walimu wamefukuzwa kazi kwa utoro baada ya kuishi ktk mazingira magumu.
Mbona hatusikii idadi hiyo kuacha kazi Benki Kuu, TRA, Uhamiaji, Bandari, Jeshi?
Mbona hueleweki mkuu ziko wapi una maana gani? Unataka awe ameziweka mahali baada ya kukopa au?Sijauliza anadaiwa na taasisi ipi, nimeuliza peza za mikopo ziko wapi?
Mikopo ya muda mrefu miaka 9 mingine hujui alikopa lini, unaweza kuta hiyo nusu mshahara iliyokatwa ndio ilibaki kama net salary, pole mwalimu..kwani sheria ua kusimamishwa na kulipwa nusu mshahara bado inaendelea?Sijui hizo pesa kafanyia nini
Unaniuliza mimi, mimi ndio najua zilipo?Mbona hueleweki mkuu ziko wapi una maana gani? Unataka awe ameziweka mahali baada ya kukopa au?
Si umeambiwa amepigwa penalt na TSC, kinachibaki alikopa kwingi wanajichukulia wenye nacho.Haiwezekani maana kwenye mfumo wa ulipaji mishahara moja ya tatu hairuhusu.
Kama walimu ni matako matupu, wewe mwanafunzi wao umepata wapi huo ujuaji?Watumishi wote wa umma ni matako matupu hamna kitu, hao walimu wasimamizi wa chaguzi za wizi ndio kabisaaaaa unakuta hana hata hela ya kununua pedi lakini wamo tu, kuna tatizo liko mahala sio bure, kamtu kanapokea laki na ishirini na kana panga kana familia na kitambi kameota mimi huwa sielewe kabisaaaaaa hii ni miujiza mikubwa sana.
acha mihemko mwalimu nimesema watumishi wa ummaKama walimu ni matako matupu, wewe mwanafunzi wao umepata wapi huo ujuaji?
Kwanini usiwe na staha japo ya kuigiza tu badala ya matusi kwa walimu wako?
Mshukuru mungu kwa kuwa amekupa wewe akamnyima mwalimu, badala ya kuwatukana hao walimu.
Nmecheka kinoma 😂Watumishi wote wa umma ni matako matupu hamna kitu, hao walimu wasimamizi wa chaguzi za wizi ndio kabisaaaaa unakuta hana hata hela ya kununua pedi lakini wamo tu, kuna tatizo liko mahala sio bure, kamtu kanapokea laki na ishirini na kana panga kana familia na kitambi kameota mimi huwa sielewe kabisaaaaaa hii ni miujiza mikubwa sana.
Lakini wote mishahara SAwa sema wanatofautiana exposureKqa utafiti wangu walimu wenye maisha mazuri wako mjini sio kijijini
Mjini exposure,mzunguko wa mkubwa hela, inspiration, fursa kibao
Kijijini haya mambo hutoyaona kule utazungukwa na masikini kila kona hela zenyewe hawana.
Walimu wa mjini wana nyumba kali kali wanadrive hata magari nimeshawashudia ila sio kijijini watakuloga ufe mapema.
Sawa, kosa nini wewe punda kihongwe? Unawalisha?acha mihemko mwalimu nimesema watumishi wa umma
Nimecheka sana, kwamba mtu anaridhika mapemaWatumishi wote wa umma ni matako matupu hamna kitu, hao walimu wasimamizi wa chaguzi za wizi ndio kabisaaaaa unakuta hana hata hela ya kununua pedi lakini wamo tu, kuna tatizo liko mahala sio bure, kamtu kanapokea laki na ishirini na kana panga kana familia na kitambi kameota mimi huwa sielewe kabisaaaaaa hii ni miujiza mikubwa sana.
Hapana, baada ya kupata nusu mshahara, ondoa pesa za mikopo kadhaa aliyonayo, makato ya Kodi, Chama cha walimu, NHIF na mengineyo ndiyo akaishia kuwa na take away home ya sh. 34,000.Nusu mshahara 34000!!!!
Hiyo nusu mshahara ulipe mkopo wa bank na taasisi zingine za mikopo..anabaki na sh ngapi hapo..ni sahihi kubaki na hiyoNusu mshahara 34000!!!!
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.Mbona Jobo hakuonekana bungeni kwa siku nyingi lkn alikuwa bado analipwa tena mkwanja mrefu tu.
Hujanielewa rudia kusomaLakini wote mishahara SAwa sema wanatofautiana exposure