Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

Naomba sana Yesu asinisahau katika Ufalme wa Baba yake

Yesu Kristo naomba unikumbuke niuone utukufu wako kwa Baba yako mbinguni

Hilo ndio Ombi langu
Ongea na huyu nabii
Your browser is not able to display this video.
 
Karismatiki hawajajitenga bwashee
Tangu lini mwa RC anaamini ujazo wa Roho mtakatifu na kunena?
Tangu lini RC akubali mafundidho ya kilokole?
Imeandikwa.." kwa mtini jifunzeni" sio lazima watangazwe kujitenda bali tunasngalia matendo na matunda yao.
 
Hilo nalo neno, umetoa angalizo zuri. Roho Mtakatifu ni kila kitu katika utendaji wowote ule wa kazi ya Bwana
 
Tangu lini mwa RC anaamini ujazo wa Roho mtakatifu na kunena?
Tangu lini RC akubali mafundidho ya kilokole?
Imeandikwa.." kwa mtini jifunzeni" sio lazima watangazwe kujitenda bali tunasngalia matendo na matunda yao.
Unazungumzia Katoliki gani?

Papa anaingia hadi msikitini siku hizi kama.hujui ndio unajuzwa
 
Anawapiga mwingi sana kwenye somo lake la kukomboa uzao wa kwanza.
Yaani anakulima somo mpaka utajiona ni mzaliwa wa kwanza hata kama wewe ni WA 3 kati ya 6 katika tumbo lenu.
Then kinachofuata ni mwendo wa sadaka ili ujikomboe.
Kwakweli mtu yeyote akikuambia utoe sadaka ili utendewe jambo na Mungu au ujikomboe ujue umeshaliwa.
Yesu kakomboa watu, mwanadamu huwezi kujikomboa
 
Uko sahihi mkuu. Kwa hilo amejipambanua sana. Kwake ni Neno tu na hakuna longolongo wala hizi drama tunazoziona kwa hawa manabii na mitume wa kisasa. Kama binadamu naamini si mkamilifu na ana mapungufu mengi lakini kama ni Neno kwa kweli anafundisha.

Unaweza kumpata kwenye channel yake ya Telegram moja kwa moja:

 
Hawa karismatiki hata kwenye orodha ya vyama vya kitume tanzania hawapo.
 
Matamshi yake ni mbingu zimefunguka siyo kama wale wa mbengo ZEMEFONGOLEWA. Katoliki kumkaribisha ni sawa tu
 
Umeelewa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…