Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli


Hivi na wewe unajihesabu umo!

Very ridiculous
 
Critical explanation ukiiona utaijua kwa ungumbaru na ufinyu wa hoja huu?
 
Huyo jamaa ni ngumbaru mufilisi wa mantiki.

Alifikiri watu wataimba mapambio ya sifa tu hapa.
Hivi kwanini hawa jamaa hawaoni ukweli kuwa Jiwe hakustahili kuwa Rais? Sawa na Trump, lkn kwa vile kuna highly functional regulatory institutions, anafungwa brake asilete madhara. hapa kwa vile hatuna institution, basi ndio huyo JIWE!
 
Wewe unatakiwa ulete evidences za tuhuma zako. Maana kutuhumu ni rahisi sana. Mtu yeyote anaweza kutuhumu. Lakini swala gumu na ni wachache sana huweza kutoa mutured arguments.
Kutumia W5H.
 
Hapo kwenye kuwa MWASISI wa msemo " Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" kidogo panatia mashaka mkuu.
Hayo mengine kila mtu anatakiwa atazame kwa macho yake, asikilize kwa masikio yake, anuse kwa pua yake, aonje kwa ulimi wake, aguse kwa mikono yake na hatimaye afikirie kwa akili yake.Ndipo ufahamu utakakapopatikana.
 
Hivi kwanini hawa jamaa hawaoni ukweli kuwa Jiwe hakustahili kuwa Rais? Sawa na Trump, lkn kwa vile kuna highly functional regulatory institutions, anafungwa brake asilete madhara. hapa kwa vile hatuna institution, basi ndio huyo JIWE!
Wengine wana utapiamlo wa ubongo.

Wengine washazoea kuimba mapambio.

Wengine wana maslahi yao wanayalinda.

Wengine bado vikojozi tu wakikua wataacha.
 
Critical explanation ukiiona utaijua kwa ungumbaru na ufinyu wa hoja huu?
Ona sasa. Nimesema weak thinkers hukimbilia kutoa kejeli, matusi na mengine yafananayo na hayo. Leta evidences za madai yako.
 
Ona sasa. Nimesema weak thinkers hukimbilia kutoa kejeli, matusi na mengine yafananayo na hayo. Leta evidences za madai yako.
Nimekwambia Magufuli mshenzi. Anatoa kauli za kishenzi. Anasema atawapiga shangazi za wapinzani wake.

Yeye ni rais aliyechagukiwa kutetea utawala wa sheria.

Sio utawala wa watu kupigapiga wenzao. Zaidi, wanaopigwa hata si wahusika. Ni shangazi. Utawala wa sheria hauruhusu kosa afanye mtu mmoja halafu kuhukumiwa ahukumiwe shangazi yake.

Magufuli kwa kuwa ni mshenzi hazingatii habari hizo.

Anatudhihirishia ushenzi wake.

Huyu si kinara wa nidhamu serikalini.

Huyu ni mshenzi tu.

Bisha hilo kwa facts na hoja za kimantiki kama unaweza.
 
Wewe unatakiwa ulete evidences za tuhuma zako. Maana kutuhumu ni rahisi sana. Mtu yeyote anaweza kutuhumu. Lakini swala gumu na ni wachache sana huweza kutoa mutured arguments.
Kutumia W5H.
Nilisema huwezi kukosoa Wiki kwa sababu hujui Kiingereza.

Unathibitisha mwenyewe.

The plural of evidence is evidence.

Not "evidences".

Grab a book. Wash yourself.

Educate your birdbrain.

Futa ungumbaru wako kabla ya kujitutumua hapa.

Unajivua nguo tu tuone utupu wako.
 
Salute
 
Nimesema arguments huwezi kujadili mijadala mizito. Kwa sababu unakimbilia kujikinga.
Hata hivyo mimi sijakosoa Wikipedia, mimi. Nilikukosoa wewe usipindeshe mada.
Simama wewe kama wewe ujitetee siyo kuwa defensive.
Suala la wikipedia nineshakuelekeza na ninauhakika umeelewa.
 
Wewe mtu usiyejua kwamba neno "evidence" halina plural ni mtu wa kuongelea arguments wewe?

Wewe ni mtu wa kujaribu kufuta ujinga kwanza.

Arguments hata ukiziona kwa ujinga wako huu utazijua?
 
Nimekueleza hayo unayoyaandika mtu yoyote mwenye chuki anaweza andika.
Nimekutaka ulete analytical explanation nakuona umekazania kutaja fulani mshenzi fulani mshenzi. Hii inaonesha uwezo wako wa kujadili upo chini. Unatumia jazba na kutoa kejeli bila kutoa point ya maana.
 
Wewe mtu usiyejua kwamba neno "evidence" halina plural ni mtu wa kuongelea arguments wewe?

Wewe ni mtu wa kujaribu kufuta ujinga kwanza.

Arguments hata ukiziona kwa ujinga wako huu utazijua?
Ona sasa ulivyo simple. Badala ya kujadili mada umeanza kunijadili mimi. Nimekushinda kwenye suala la kumtusi raisi wetu, umehamia kunijadili mimi.
Ninachotaka toka kwako ni maelezo ya kina kuhusu madai yako. Kama huwezi kueleza basi wewe utakuwa na chuki zako binafsi.
 
Nimekueleza kwamba siwezikuwa na chuki na serikali iliyoipa familia yangu nyumba ya US Dollars milioni 3 Oysterbay.

Serikaliambayo hata leo nina wazee wangu mpaka kwenye cabinet.

Nimekwambia Magufuli nimshenzi. Kasema atawapiga shangazi za wapinzani wake.

This is so wrong on so many levels.

1. Muhuni tu wa mtaani akiwa na ugomvi na muhuni mwenzake, anatakiwa kupigana na huyo muhunimwenzake,sikupeleka ugomvi waokwa shangazi ambaye hahusiki. Kwa hiyo, kauli hii hata kwamuhuni wa mtaani tu haifai, seuze rais wa nchi?

2. Rais wa nchi kachaguliwa kutetea utawala wa sheria. Kwamba kama kuna watu wamekosea, sheriaichukue mkondo wake, wadhibiwe. Rais gani anatetea matumizi ya nguvu na kupiga shangazi za wapinzani wake?

3. Kauli ni kitu cha msingi kabisa katika nidhamu. Anayeshindwa kuwa na nidhamu katikakauli yake mwenyewe hawezikuwa kinara wa nidhamu serikalini.

Umesema Magufulini kinara wa kurudisha nidhamu serikalini.

Kwa maelezo ya hapo juu, umesema uongo.

Magufuli ni mshenzi, si kinara wa kurudisha nidhamu serikalini.

Kama unawezakubisha kwa point, bisha.
 

Giants of the twentieth century; not the lilliputians of this era.
 
Wewe mwenyewe umeleta mazungumzo hapa.

Kubali kwamba.

1. Umeshindwa kuichambua Wiki, kwa sababu hujui Kiingereza, na hii ndiyo sababu hukujua kwamba plural ya evidence ni evidence, si "evidences". Futa ujinga. Kubali kwamba umekosea na jifunze.

2. Magufuli ni mshenzi, katoa kauli za kishenzi za kuwapiga shangazi za watu.Hivyo hawezi kuwa kinara wa nidhamu serikalini kama ulivyosema.

Bisha.
 
Naona unazunguka pale pale tu.
Ninarudia tena jibu maswali haya:
Lini alisema hayo!? Alisema hayo wapi!? Kwanini alisema hayo!? Alisema hayo kwa namna gani!? Ni nani alisema hayo!?
Usipo jibu maswali hayo utakuwa unaleta stori za vijiwe vya kahawa.
Halafu hakuna mtu aliyekuuliza maisha yako binafsi kuhusu familia yako. Inaonesha namna ulivyo mwepesi kwenye mijadala. Hapa hatuhitaji kukujua tunahitaji mawazo yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…