kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Natamani tupate kichwa kingine kutoka hiyo KandaKwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti.
Hii point imenigusa sana...watu wenye misimamo yetu, men of our words.
Tunazungumzia Sera za kiuchumi, sio kupiga magoti, Wala haihusiani na Kanda ya mtuKwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti.
Hii point imenigusa sana...watu wenye misimamo yetu, men of our words.
Yeah, nakubali kila awamu ilikuwa na mapungufu yake, lakini nimetaja hawa wawili kwa sababu mapungufu yake yalikuwa na madhara zaidiMarais woote waliongoza walikuwa bora tukitaka wawe bora mara kila mtu alitaka kutumia approach yake kufikia maendeleo.
Marais woote walioongoza hii nchi wahovyo tukitaka wawe hovyo maana kila mtu approach yake ilishindwa kwa kushindwa kufanya calculation sahihi...
Nyerere alishindwa kujenga msingi sahihi ambao ungeishi miaka nenda rudi kwa vizazi hadi vizazi.
Mwinyi alishindwa kujua Taifa linataka nini wakati ule na lipo katika nafasi gani, akaruhusu mabepari kuvamia shamba na kupora kila kitu.
Mkapa naye kama Mwinyi alishindwa kujua Taifa linataka nini wakati wake akaleta sera ya ubinafishaji na kushindwa kuisimamia na matokeo yake ikawa chanzo cha ufisadi katika nchi hii mpaka leo..
JK aka Kikwete, hakuwajua watanzania ni watu wa aina gani akaleta mfumo wa utendaji kwa kila mtu kutumia uwezo wake na kuweka report mezani aka Europe style, matokeo yake mijitu ikawa mijizi, mivivu, malaya, machangudoa, wadangani, nk.. vyote vikamdhidi akatumia style ya watoto wa mjini "lets the horse fry free"
JPM, huyu mwamba akaja speed mno akiamini woote ni wapumbavu waliopita, speed yake ikagota mahala kwa kushindwa kufanya kile wengi walichoshindwa kufanya... akili yake iliwaza theory na old era za ujamaa huku akiishi karne ya science ya teknolojia na dunia ya bepari na kuruhusu vilaza wamzunguke, Ukabila ukatamalaki, udini ukatamalaki, wizi kama kawa kwa wale vipenzi na wanyumbani tu...
Mama, mama tusubiri amalize mitano tuje naye tumhukumu...
Sema unawaona bora usinisemeeekwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi
Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano viwanda vya Bakresa, Mo, azania n.k na kuvifanya vya serikali ambavyo vitakuwa vinazalisha na vinagawa maziwa, unga na bidhaa nyingine bure kwa wananchi, huyu Rais atashangiliwa na nchi nzima na Waafrica wengi watamuona mkombozi
Lakini bila kujua njia yake hii ya kuwapa dezo na vya bure wanyonge sio sustainable na baada ya miaka kadhaa viwanda vitafilisika
Na hii ndio mistake aliyofanya Nyerere na Magufuli
Wakati wa Nyerere utasikia baadhi ya watu wakisifu tulikuwa tunakunywa sijui maziwa, nyama za bure, tunasoma bure n.k
Lakini huu ubure huu ulitokana na serikali kutaifisha viwanda na ranchi za wawekezaji na kuua uchumi, na pia kuwajengea wananchi utamaduni mbaya wa kudhani serikali ndio baba wa kuwafanyia kila kitu na wao ni kuisujudu
Matokeo yake ni tabaka la watu wanaofikiri, wanaojenga uchumi kwa kuzalisha linafutwa na kujenga taifa la watu wasiofikiri sana, waoga na wanaotegemea kupewa vya bure serikali
Hili ndio taifa aliliacha Nyerere, kwa kujua ama makusudi. Tiafa kama hili haliwezi kupata maendeleo endelevu, bali kila kitu kitategemea serikali
Magufuli nae alikuwa akielekea huku huku, taifa ambalo Serikali ina nguvu kubwa kwenye uchumi, na wananchi wanaoisujudu, kupiga vita tabaka la kati na la juu ambao ndio wanaoendeleza nchi
Kufanya kazi na elimu Bora pekee ndio vitu vitakavyotuendeleza, na sio kudanganyana eti Rais wa wanyonge ndio atatuokoaMwisho kabisa, Shida ya Tanzania ndio shida ya Africa na shida ya Watanzania ni shida ya WaAfrica wote....
WaAfrica ni viumbe wavivu ambao hatutaki kukubali kama wavivu, WaAfrica mpaka sasa hatuamini mwenye jukumu la kuijenga Africa ni Mwafrica kwa nguvu, jasho na damu yake...
Mwafrica mpaka leo haamini kama maendeleo yana stages zake na moja ya stages ni mateso makali kwenye kufanya kazi kwa nguvu muda wote bila kuchoka....baadala yake tunaamini tunaweza kupata maendeleo tukiwa tumekaa tunakunywa bia na kugegedana...
WaAfrica mpaka leo hatuamini ukoloni umeisha na tuko uhuru na uhuru huu unapaswa kusimamiwa na kulindwa kwa jasho, nguvu na damu muda woote..baadala yake mwafrica ni bingwa wa kulialia..
Waafrica mpaka leo hatuamini kama kuna kizazi na vizazi vinapaswa kujitoa sadaka ili kufikia maendeleo ambayo wote tunayahitaji.....stage ya kwanza ni kizazi kujitoa sadaka kupata uhuru, stage ya pili ni kizazi kujitoa kulinda uhuru na kujenga misingi, stage ya tatu ni kizazi kupambana kuleta maendeleo yatakayoishi milele na milele...
Tuendelee kucheza singeli na baikoko ndio chaguo letu...
Mbona km tunapangiana cha kuongea?Tunazungumzia Sera za kiuchumi, sio kupiga magoti, Wala haihusiani na Kanda ya mtu
Mbona Neno la mtu halipigwi RunguHao ni Marais Bora kwa ma mbumbumbu..
Marais wangu Bora ni
1.JK
2.Mkapa na
3.Samia
Utakuta umesoma shule ya kata alizozianzisha Jakaya na ukapata ajira wakati wake. Toka aingie Mwendazake hakuna ajira au zilitolewa kwa watu wa chato na waliokaribu.Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).
Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.
Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.
Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".
Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.
Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .
Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!
Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.
JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K
Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.
Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.
JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???
JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.
Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .
ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??
TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.
KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.
ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.
SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .
NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM
NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.
Ukimtoa Mkapa hao wengine ni marais bora kwa wapumbavuHao ni Marais Bora kwa ma mbumbumbu..
Marais wangu Bora ni
1.JK
2.Mkapa na
3.Samia
Naomba nikuulize. Mnyonge wa nchi hii amechangia kiasi gani kilichofisadiwa na mafisadi unaowashambulia?Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).
Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.
Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.
Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".
Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.
Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .
Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!
Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.
JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K
Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.
Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.
JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???
JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.
Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .
ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??
TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.
KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.
ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.
SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .
NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM
NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.
Umenena vyema mkuu, Ila mtoa maada kaleta kwa mihemko tu...Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).

Usikubali ujinga ukutawale, utajikuta umekuwa mpumbavu...màgufool hakuwa mzima kichwani hebu eti fikiria alimuachisha kazi mkewe ili awe anakaa nyumbani na kumpikia ugali na nchima/furu
Hajitambui huyo...Ulitaka atawaliwe na mkewe kama wewe ulivyomtawala mumeo?
Hamna anayepinga matajiri kuwekeza , infact Sekta binafsi ni kichocheo kikubwa sana Kwa maendeleo.Naomba nikuulize. Mnyonge wa nchi hii amechangia kiasi gani kilichofisadiwa na mafisadi unaowashambulia?
Isije ikawa matajiri wamewekeza pesa za mahoteli kufanya sekta za utalii ziwe bora, wamewekeza kwenye biashara kufanya bandari iwe busy, wamewekeza kwenye miashahara ya watumishi kupitia biashara kufanya Taifa liwe na watu wanaoweza kufanya manumuzi halafu anapokuja raisi wa kuwanyang'anya huu uwekezaji tunamshangilia tukifikiri anarudisha mali kwa wanyonge mali ambazo wanyonge hawajawahi kuwa nazo.