Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti.

Hii point imenigusa sana...watu wenye misimamo yetu, men of our words.
Tunazungumzia Sera za kiuchumi, sio kupiga magoti, Wala haihusiani na Kanda ya mtu
 
Una hoja ya msingi lakini kwa heshima na taadhima naomba usimfananishe Nyerere na vitu vya kipumbavu

Baba wa taifa aliipokea nchi kutoka wa wakoloni ikiwa na watu wengi fukara (yaani wenye umasikini uliopitiliza) na baadhi ya watu ambao walikua middle class (wachache sana wazungu na watu wenye asili ya asia na waswahili kidogo)

So, ilikua ni lazima kufanya kitu ili kuwaingiza watu wengi kwenye uzalishaji mali na kuinua uchumi na vipato vyao. Ndiyo maana zikaja sera na matamko mbali mbali ambayo lengo lake lilikua kujenga taifa la watu wenye kujitegemea.

Mwalimu, pamoja na mambo mengine, alijenga na kukuza umoja wa kitaifa kwa kuondoa tofauti za kimapato, kikabila, rangi na dini kwa kuweka kiswahili kama lugha yetu ya taifa na mfumo wa ujamaa na kujitegemea.

Kiswahili kinatumika mpaka leo kama lugha kuu na inayotumika nchi nzima. Pia, ujamaa upo mpaka leo, mathalani unapofiwa au kuoza ndugu na jirani watakuchangia na kushirikiana na wewe na maisha yanaendelea

TOFAUTI NA HUYO MWINGINE (JPM) ambaye kazi yake ilikua ni kubomoa, kwa misingi ya chuki alichukia matajiri na watu wa kaskazini na kujaza watu wa kabila lake (sukuma gang) kwenye mifumo ya uendeshaji nchi

NINAKUSIHI UMUOMBE RADHI MWALIMU NYERERE KWA KUMFANANISHA NA VITU VYA KIJINGA
 
Marais woote waliongoza walikuwa bora tukitaka wawe bora mara kila mtu alitaka kutumia approach yake kufikia maendeleo.

Marais woote walioongoza hii nchi wahovyo tukitaka wawe hovyo maana kila mtu approach yake ilishindwa kwa kushindwa kufanya calculation sahihi...

Nyerere alishindwa kujenga msingi sahihi ambao ungeishi miaka nenda rudi kwa vizazi hadi vizazi.

Mwinyi alishindwa kujua Taifa linataka nini wakati ule na lipo katika nafasi gani, akaruhusu mabepari kuvamia shamba na kupora kila kitu.

Mkapa naye kama Mwinyi alishindwa kujua Taifa linataka nini wakati wake akaleta sera ya ubinafishaji na kushindwa kuisimamia na matokeo yake ikawa chanzo cha ufisadi katika nchi hii mpaka leo..

JK aka Kikwete, hakuwajua watanzania ni watu wa aina gani akaleta mfumo wa utendaji kwa kila mtu kutumia uwezo wake na kuweka report mezani aka Europe style, matokeo yake mijitu ikawa mijizi, mivivu, malaya, machangudoa, wadangani, nk.. vyote vikamdhidi akatumia style ya watoto wa mjini "lets the horse fry free"

JPM, huyu mwamba akaja speed mno akiamini woote ni wapumbavu waliopita, speed yake ikagota mahala kwa kushindwa kufanya kile wengi walichoshindwa kufanya... akili yake iliwaza theory na old era za ujamaa huku akiishi karne ya science ya teknolojia na dunia ya bepari na kuruhusu vilaza wamzunguke, Ukabila ukatamalaki, udini ukatamalaki, wizi kama kawa kwa wale vipenzi na wanyumbani tu...

Mama, mama tusubiri amalize mitano tuje naye tumhukumu...
 
Mwisho kabisa, Shida ya Tanzania ndio shida ya Africa na shida ya Watanzania ni shida ya WaAfrica wote....

WaAfrica ni viumbe wavivu ambao hatutaki kukubali kama wavivu, WaAfrica mpaka sasa hatuamini mwenye jukumu la kuijenga Africa ni Mwafrica kwa nguvu, jasho na damu yake...

Mwafrica mpaka leo haamini kama maendeleo yana stages zake na moja ya stages ni mateso makali kwenye kufanya kazi kwa nguvu muda wote bila kuchoka....baadala yake tunaamini tunaweza kupata maendeleo tukiwa tumekaa tunakunywa bia na kugegedana...

WaAfrica mpaka leo hatuamini ukoloni umeisha na tuko uhuru na uhuru huu unapaswa kusimamiwa na kulindwa kwa jasho, nguvu na damu muda woote..baadala yake mwafrica ni bingwa wa kulialia..

Waafrica mpaka leo hatuamini kama kuna kizazi na vizazi vinapaswa kujitoa sadaka ili kufikia maendeleo ambayo wote tunayahitaji.....stage ya kwanza ni kizazi kujitoa sadaka kupata uhuru, stage ya pili ni kizazi kujitoa kulinda uhuru na kujenga misingi, stage ya tatu ni kizazi kupambana kuleta maendeleo yatakayoishi milele na milele...

Tuendelee kucheza singeli na baikoko ndio chaguo letu...
 
Yeah, nakubali kila awamu ilikuwa na mapungufu yake, lakini nimetaja hawa wawili kwa sababu mapungufu yake yalikuwa na madhara zaidi

Yameleta udumavu wa kiuchumi na kiubunifu, na kukuza attitude ya utegemezi na uoga kwa serikali
 
kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi

Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano viwanda vya Bakresa, Mo, azania n.k na kuvifanya vya serikali ambavyo vitakuwa vinazalisha na vinagawa maziwa, unga na bidhaa nyingine bure kwa wananchi, huyu Rais atashangiliwa na nchi nzima na Waafrica wengi watamuona mkombozi

Lakini bila kujua njia yake hii ya kuwapa dezo na vya bure wanyonge sio sustainable na baada ya miaka kadhaa viwanda vitafilisika

Na hii ndio mistake aliyofanya Nyerere na Magufuli
Wakati wa Nyerere utasikia baadhi ya watu wakisifu tulikuwa tunakunywa sijui maziwa, nyama za bure, tunasoma bure n.k

Lakini huu ubure huu ulitokana na serikali kutaifisha viwanda na ranchi za wawekezaji na kuua uchumi, na pia kuwajengea wananchi utamaduni mbaya wa kudhani serikali ndio baba wa kuwafanyia kila kitu na wao ni kuisujudu

Matokeo yake ni tabaka la watu wanaofikiri, wanaojenga uchumi kwa kuzalisha linafutwa na kujenga taifa la watu wasiofikiri sana, waoga na wanaotegemea kupewa vya bure serikali

Hili ndio taifa aliliacha Nyerere, kwa kujua ama makusudi. Tiafa kama hili haliwezi kupata maendeleo endelevu, bali kila kitu kitategemea serikali

Magufuli nae alikuwa akielekea huku huku, taifa ambalo Serikali ina nguvu kubwa kwenye uchumi, na wananchi wanaoisujudu, kupiga vita tabaka la kati na la juu ambao ndio wanaoendeleza nchi
Sema unawaona bora usinisemeee
 
Mwisho kabisa, Shida ya Tanzania ndio shida ya Africa na shida ya Watanzania ni shida ya WaAfrica wote....

WaAfrica ni viumbe wavivu ambao hatutaki kukubali kama wavivu, WaAfrica mpaka sasa hatuamini mwenye jukumu la kuijenga Africa ni Mwafrica kwa nguvu, jasho na damu yake...

Mwafrica mpaka leo haamini kama maendeleo yana stages zake na moja ya stages ni mateso makali kwenye kufanya kazi kwa nguvu muda wote bila kuchoka....baadala yake tunaamini tunaweza kupata maendeleo tukiwa tumekaa tunakunywa bia na kugegedana...

WaAfrica mpaka leo hatuamini ukoloni umeisha na tuko uhuru na uhuru huu unapaswa kusimamiwa na kulindwa kwa jasho, nguvu na damu muda woote..baadala yake mwafrica ni bingwa wa kulialia..

Waafrica mpaka leo hatuamini kama kuna kizazi na vizazi vinapaswa kujitoa sadaka ili kufikia maendeleo ambayo wote tunayahitaji.....stage ya kwanza ni kizazi kujitoa sadaka kupata uhuru, stage ya pili ni kizazi kujitoa kulinda uhuru na kujenga misingi, stage ya tatu ni kizazi kupambana kuleta maendeleo yatakayoishi milele na milele...

Tuendelee kucheza singeli na baikoko ndio chaguo letu...
Kufanya kazi na elimu Bora pekee ndio vitu vitakavyotuendeleza, na sio kudanganyana eti Rais wa wanyonge ndio atatuokoa
 
Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).

Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.

Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.

Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".

Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.

Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .

Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!

Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.

JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K

Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.

Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.

JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???

JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.

Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .

ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??

TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.

KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.

ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.

SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .

NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM

NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.
Utakuta umesoma shule ya kata alizozianzisha Jakaya na ukapata ajira wakati wake. Toka aingie Mwendazake hakuna ajira au zilitolewa kwa watu wa chato na waliokaribu.

Jana ajira zaidi ya 32000
Wiki iliyopita TRA walitoa ajira zaidi ya 1400
Mwaka jana 12,000
Mwaka jana watumishi waliopanda madaraja zaidi 92,000
Mwaka huu tena 100,000

Maskini wavuvi mnaumia,mnajiita wanyonge!

Ukiitwa mnyonge jua wewe ni mpumbavu usiyejituma. Unabaki kufurahia masaibu ya wanaojituma.
 
Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).

Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.

Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.

Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".

Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.

Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .

Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!

Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.

JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K

Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.

Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.

JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???

JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.

Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .

ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??

TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.

KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.

ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.

SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .

NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM

NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.
Naomba nikuulize. Mnyonge wa nchi hii amechangia kiasi gani kilichofisadiwa na mafisadi unaowashambulia?

Isije ikawa matajiri wamewekeza pesa za mahoteli kufanya sekta za utalii ziwe bora, wamewekeza kwenye biashara kufanya bandari iwe busy, wamewekeza kwenye miashahara ya watumishi kupitia biashara kufanya Taifa liwe na watu wanaoweza kufanya manumuzi halafu anapokuja raisi wa kuwanyang'anya huu uwekezaji tunamshangilia tukifikiri anarudisha mali kwa wanyonge mali ambazo wanyonge hawajawahi kuwa nazo.
 
Umenena vyema mkuu, Ila mtoa maada kaleta kwa mihemko tu...
 
Naomba nikuulize. Mnyonge wa nchi hii amechangia kiasi gani kilichofisadiwa na mafisadi unaowashambulia?

Isije ikawa matajiri wamewekeza pesa za mahoteli kufanya sekta za utalii ziwe bora, wamewekeza kwenye biashara kufanya bandari iwe busy, wamewekeza kwenye miashahara ya watumishi kupitia biashara kufanya Taifa liwe na watu wanaoweza kufanya manumuzi halafu anapokuja raisi wa kuwanyang'anya huu uwekezaji tunamshangilia tukifikiri anarudisha mali kwa wanyonge mali ambazo wanyonge hawajawahi kuwa nazo.
Hamna anayepinga matajiri kuwekeza , infact Sekta binafsi ni kichocheo kikubwa sana Kwa maendeleo.

Wakati huohuo, Uwekezaji huo lazima uwe wa kunufaisha Pande zote mbili .

Wakati wa JK tulishuhudia wawekezaji wengi wengi , lkn Productivity yake haikuonekana !!

Kwann?? Kwa sababu Kila Mmoja alijipigia anavyoweza Kwa faida yake .

Akaja Chuma, Chuma yeye kwanza akahakikisha kama Ulipata Pesa za ujanja ujanja, Lazima uzitapike ., Nahii ipo wazi, HATUA HAIFUTIKI .

Lkn pia akaweka mazingira Bora ya wawekezaji wa ndani na wanje , ili mradi tu Unafata taratibu na kanuni zote .

Kwenye Kodi, wee Lipa tu ,fanya mambo yako.

Ila Kwa wale wawekezaji walotegemea njia za kukwepa Kodi, lazima wamchukie JPM.

Jamaa alituinua mpaka UCHUMI WA KATI AISEE.

Leo Mama yenu anasema, timeshushwa sio Kwa mapenzi ya mtu Bali ya Mungu... Mungu gan anataka watu wawe Masikin?? Kwenye Dini tunaamini Mungu ni sehem ya ukombozi Kwa mwanadamu .

Hamna Rais baada ya Nyerere zaidi ya JPM, huyu mtu aliipenda sana Nchi yake, hakua fisadi , hakujinufaisha yeye mwenyewe .
 
Back
Top Bottom