Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #41
Ukienda nje ya mada so unaambiwaMbona km tunapangiana cha kuongea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda nje ya mada so unaambiwaMbona km tunapangiana cha kuongea?
Nisome shule za kata ... Kikubwa Ubongo wangu ni mkubwa .Utakuta umesoma shule ya kata alizozianzisha Jakaya na ukapata ajira wakati wake. Toka aingie Mwendazake hakuna ajira au zilitolewa kwa watu wa chato na waliokaribu.
Jana ajira zaidi ya 32000
Wiki iliyopita TRA walitoa ajira zaidi ya 1400
Mwaka jana 12,000
Mwaka jana watumishi waliopanda madaraja zaidi 92,000
Mwaka huu tena 100,000
Maskini wavuvi mnaumia,mnajiita wanyonge!
Ukiitwa mnyonge jua wewe ni mpumbavu usiyejituma. Unabaki kufurahia masaibu ya wanaojituma.
Ni vigezo vipi umetumia kupima productivity? Isije ikawa alichotumwa JK na jamhuri na alichotumwa JPM na jamhuri vina muunganiko ila matokeo ya muunganiko umeanza kuyaona kwa JPM. Kwann unaamini JK hakuwa productive?Hamna anayepinga matajiri kuwekeza , infact Sekta binafsi ni kichocheo kikubwa sana Kwa maendeleo.
Wakati huohuo, Uwekezaji huo lazima uwe wa kunufaisha Pande zote mbili .
Wakati wa JK tulishuhudia wawekezaji wengi wengi , lkn Productivity yake haikuonekana !!
Kwann?? Kwa sababu Kila Mmoja alijipigia anavyoweza Kwa faida yake .
Akaja Chuma, Chuma yeye kwanza akahakikisha kama Ulipata Pesa za ujanja ujanja, Lazima uzitapike ., Nahii ipo wazi, HATUA HAIFUTIKI .
Lkn pia akaweka mazingira Bora ya wawekezaji wa ndani na wanje , ili mradi tu Unafata taratibu na kanuni zote .
Kwenye Kodi, wee Lipa tu ,fanya mambo yako.
Ila Kwa wale wawekezaji walotegemea njia za kukwepa Kodi, lazima wamchukie JPM.
Jamaa alituinua mpaka UCHUMI WA KATI AISEE.
Leo Mama yenu anasema, timeshushwa sio Kwa mapenzi ya mtu Bali ya Mungu... Mungu gan anataka watu wawe Masikin?? Kwenye Dini tunaamini Mungu ni sehem ya ukombozi Kwa mwanadamu .
Hamna Rais baada ya Nyerere zaidi ya JPM, huyu mtu aliipenda sana Nchi yake, hakua fisadi , hakujinufaisha yeye mwenyewe .
Utajiri umefanywa kuwa sifa mbaya na halafu umasikini umefanywa Kama ndio utakatifu vile..taifa la watu wenye hizi fikra maendeleo tutayasikia kwa hao mabeberuUtakuta umesoma shule ya kata alizozianzisha Jakaya na ukapata ajira wakati wake. Toka aingie Mwendazake hakuna ajira au zilitolewa kwa watu wa chato na waliokaribu.
Jana ajira zaidi ya 32000
Wiki iliyopita TRA walitoa ajira zaidi ya 1400
Mwaka jana 12,000
Mwaka jana watumishi waliopanda madaraja zaidi 92,000
Mwaka huu tena 100,000
Maskini wavuvi mnaumia,mnajiita wanyonge!
Ukiitwa mnyonge jua wewe ni mpumbavu usiyejituma. Unabaki kufurahia masaibu ya wanaojituma.
Nyerere hakuwa KATILI ...Huwezi kumweka magufuli mstari mmoja na Nyerere kabisa. Nyerere hakuwa katili, mkanda, mkabila, na mbinafsi jamani!
Saalam! CarlosWakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).
Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.
Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.
Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".
Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.
Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .
Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!
Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.
JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K
Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.
Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.
JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???
JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.
Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .
ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??
TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.
KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.
ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.
SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .
NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM
NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.
Nisome shule za kata ... Kikubwa Ubongo wangu ni mkubwa .
Nyinyi mlozoea Maisha ya ujanja ujanja ,uhuniuhuni, mnajiita watoto wa Mjini , very poor kichwani
Ndio mlioumizwa sana sana na utawala wa JPM.
Mimi Binafsi nafurahi kuona Kuna ALAMA ALOZIACHA JPM ,ambazo watoto wangu wanakua, nitakua nawaambia , alitokea Rais MCHAPAKAZI .
Ungekua unajituma, Miaka mitano ya JPM,, usingeiona michungu ikiwa unazungumza nje ya mwelekeo wa kisiasa.
Heading yako haiendani na ulicho andika.kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi
Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano viwanda vya Bakresa, Mo, azania n.k na kuvifanya vya serikali ambavyo vitakuwa vinazalisha na vinagawa maziwa, unga na bidhaa nyingine bure kwa wananchi, huyu Rais atashangiliwa na nchi nzima na Waafrica wengi watamuona mkombozi
Lakini bila kujua njia yake hii ya kuwapa dezo na vya bure wanyonge sio sustainable na baada ya miaka kadhaa viwanda vitafilisika
Na hii ndio mistake aliyofanya Nyerere na Magufuli
Wakati wa Nyerere utasikia baadhi ya watu wakisifu tulikuwa tunakunywa sijui maziwa, nyama za bure, tunasoma bure n.k
Lakini huu ubure huu ulitokana na serikali kutaifisha viwanda na ranchi za wawekezaji na kuua uchumi, na pia kuwajengea wananchi utamaduni mbaya wa kudhani serikali ndio baba wa kuwafanyia kila kitu na wao ni kuisujudu
Matokeo yake ni tabaka la watu wanaofikiri, wanaojenga uchumi kwa kuzalisha linafutwa na kujenga taifa la watu wasiofikiri sana, waoga na wanaotegemea kupewa vya bure serikali
Hili ndio taifa aliliacha Nyerere, kwa kujua ama makusudi. Tiafa kama hili haliwezi kupata maendeleo endelevu, bali kila kitu kitategemea serikali
Magufuli nae alikuwa akielekea huku huku, taifa ambalo Serikali ina nguvu kubwa kwenye uchumi, na wananchi wanaoisujudu, kupiga vita tabaka la kati na la juu ambao ndio wanaoendeleza nchi
Na mimi nasema ambao hawapo kwenye orodha,ni Marais Bora kwa mbumbumbu mnaojiita wanyonge watu mnaopenda kitonga na vya bureUkimtoa Mkapa hao wengine ni marais bora kwa wapumbavu
Ungekua unajituma, Miaka mitano ya JPM,, usingeiona michungu ikiwa unazungumza nje ya mwelekeo wa kisiasa.
Ungekuwa hupendi vya bure usingekuwa chawa wa mamaNa mimi nasema ambao hawapo kwenye orodha,ni Marais Bora kwa mbumbumbu mnaojiita wanyonge watu mnaopenda kitonga na vya bure
JPM labda kwa nyie wanyonge, ila kwa watu wenye akili na wasiotegemea serikali ni utopoloMkuu hiko kizazi cha fesibuku hakiwezi kukuelewa,,, Watu wanaopenda hela halafu hawataki kufanya kazi JPM alikuwa ni mwiba mchungu sana kwao...
JPM ukiacha siasa zake,,, alipenda sana Kazi.
Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).
Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.
Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.
Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".
Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.
Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .
Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!
Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.
JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K
Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.
Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.
JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???
JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.
Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .
ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??
TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.
KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.
ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.
SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .
NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM
NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.
Ajira zipi hizo mkuu??JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???
Kwani kuwa chawa manake.unapata vya bure? Kwa taarifa yako mimi ni chawa wa kujitolea na nafaidi jasho la Kazi yangu.Ungekuwa hupendi vya bure usingekuwa chawa wa mama