Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Uzi ulitakiwa ufungwe hapa Mwamba umeua
 
Waambie hao, ila walivyo kichwa ngumu sijui wataelewa
 
Mwl Nyerere alitumia nafasi ya watanzania wengi waliokuwa mbumbumbu miaka hiyo kuwahadaa kila jambo.
 
porojo tupu hakuna hata pointi
 
JPM labda kwa nyie wanyonge, ila kwa watu wenye akili na wasiotegemea serikali ni utopolo

Leta facts Mkuu (weka siasa pembeni),,,, ni wapi JPM aliingilia katika biashara yako halali...???

Nani kakuambia sisi ni wanyonge...??
 
Ila amini msiamini, kifo cha magufuli hakikuwa na machozi kwa watu wengi.
50/50. Wapo waliofurahia. Hii maanake nini? Hakukubalika kama wengi walivyotaka tuamini.

Mwalimu yeye japo alikuwa na mapungufu mengi lakini watu waliogopa kumkosoa. Mwishoni kabisa baada ya kung'atuka ndio kina Prince Bagenda wakaanza kumkosoa. Nakumbuka kitabu alichoandika prince Bagenda kikiwa na tittle Nyerere bingwa wa mkakati ulioshindwa.
Kilichapishwa pia kwenye gazeti la Rai la wakati huo sio hili la sasa.
 
Huwezi kumweka magufuli mstari mmoja na Nyerere kabisa. Nyerere hakuwa katili, mkanda, mkabila, na mbinafsi jamani!
Hata JPM hakuwa katili, huo ukanda unaletwa na hulka za watu waliopo unaona mama kamuweka makamba malalamiko Kama yote,vijana wapiga madili hawafikirii nje ya dili kwa hiyo ukanda ulioutaja hapa ndiyo huo na kwa serikali ya watu Kama hawa come 2025 wananchi watakuwa hoi haijawahi tokea.
 
The sink tupe picha Kama ssh angekuwa rais wakati kovidi inaingia tungekuwa sasa ndo tunajifunza kuzoea jua.
Lockdown unaweka kama una rasilimali huweki tuu..

Tungeweka partial lockdown kama ya Kenya.

Mbona chanjo mumetumia kwani kuna shida yeyote? 👇

 
Ni mpumbavu pekee... namm nakazia hapo
 
Yani watanzania kama mafala. Sasa kukamata wauza madawa ya kulevya na wahujumu uchumi ni kuchukia matajiri. Hao watu wafanye hayo mambo usa uone kama hawajaozea jela
 
Hili jibu mujarabu sana kwa huyo bwege mtoa mada
 

Aliondoa utofaut wa kipato kwa kuwafanya watu wote kuwa masikini hahah
 

Aliondoa utofaut wa kipato kwa kuwafanya watu wote kuwa masikini hahah
 
Una uhuru wa maoni. Ni sawa.
Ila umeandika ujinga. Uzuzu.
 
Well said, mkuu.
 
Huwezi kumweka magufuli mstari mmoja na Nyerere kabisa. Nyerere hakuwa katili, mkanda, mkabila, na mbinafsi jamani!
Wewe mbumbumbu kabisa,akina Warioba amekuwa waziri mkuu ametoka kanda hipi? tafuta wakuu wa majeshi asilimia kubwa walitokea kanda hipi,hata wakati wa Nyerere viongozi wengi walitokea kanda ya ziwa, jaribu kufatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…