Wakati wa Nyerere, DUNIA ilikua imegawika pande mbili yaan Ubepari (wamaguaribi) na Ujamaa( wamashariki +Asia).
Ubepari ulishuhudia Ubwanyenye ,watu wachache wenye vipato vikubwa sana huku wengi wakiwa Masikini.
Ujamaa, Ukaona wanadam wote ni sawa nahivo Serikali inayowajibu wa kuhudumia Raia wake Kwa usawa na Ubora uleule.
Hata Ivo,, Kutokana na ukweli ulokuwepo wa vita baridi baina ya pande mbili hizi,, Mataifa mengi ya Ujamaa yalishindwa kujiendesha Kwa sababu 'Una viwanda ndio, lkn Spea zake zinatoka Ulaya, na Ulaya sio washirika wako".
Kuporomoka Kwa thaman ya shilingi, bidhaa kuadimika naivo kupanda Kwa gharama za Maisha, kukamfanya NYERERE ANG'ATUKE.
Kwa sababu sisi Wanaume wa Kanda ya ziwa, Huwa hatupigi magoti , Heri kulinda Heshima, KULIKO fedheha za kupiga magoti .
Akaja Chuma JPM, Huyu Mwamba aina ya uongozi wake, ULILIFAA SANA TAIFA HILI KWA SABABU ,ALIPATIKANA KATIKA WAKATI AMBAO TAIFA LILIKUA KWENYE CRISIS , KILA KONA YALIJAA MAJONZI, MANUNG'UNIKO, NCHI IKAOZA, WACHACHE WAKAJINUFAISHA KWA PESA ZA WENGI, KILA MAHALI ULIPOGUSA KILIKUA NI KILIO CHA WATU WALOCHOKA !!
Wewe unadhani kwann uchaguzi wa 2015, Kuna watu hawatousahau?.
JPM akasema Noooooooo, TAJIRO ATAKUA TAJIRI KWA HAKI YAKE ,NASIO PESA CHAFUCHAFU ZITOKANAZO NA RUSHWA, WIZI, KUWAKAMUA WANYONGE , UFISADI N.K
Kama Kuna jambo kubwa TAIFA hili tunapaswa kulienzi, ni Uwezo wa kuwawajibisha wale wote walofanya matumizi mabaya ya pesa za Raia Kwa Faida zao Binafsi.
Ndio, na tuliona, Wote tulikaa meza Moja, Lugha ikawa Moja, TAJIRI wa haki akabaki na utajiro wake, TAJIRI wa ujanja ujanja na Maisha ya uhuniuhuni WAKAWAJIBISHWA.
JPM akahakikisha Ofisi Y Z M K L, zinatangaza Ajira hadharan, Vijana wanapata Ajira Kwa uwazi kabisa.... Kwa kikwete yalikuwepo hayo ???
JPM akafanya Yale yaliosadikika Yakaonekana, watu wakayaona, wakayagusa , na Mpaka Yesu anarudi, ALAMA ALOZIACHA JPM ZITABAKI.
Amekuja sahizi Mwanamke, huyu ni fotokopi ya kikwete , Nchi imerudi kwenye uozo wa ajabu, Maisha yamepanda, Mtaani wizi imezidi, watu wanalia ovyo .
ALAFU NDIO UJE KUWALINGANISHA NYERERE, JPM , NA HAO WENGINE WASWAHILI,??
TAIFA HILI, LINA LUNDO LA VIJANA, WANAOPENDA HELA ILA HAWAPENDI KAZI, VIJANA WANAOPENDA MAISHA YA MTELEMKO , VIJANA WALOLELEWA NA WAZAZI WEZI, MAFISADI, WAJANJAJANJA WAMAISHA, MATOKEO YAKE WAMEAMBUKIZA WATOTO UFINYU WA AKILI !!.
KWA KIJANA ANAYEJITAMBUA, MCHAPAKAZI , MAKINI, ZAMA ZA JPM ZILIKUA ZAMA ZA MAFANIKIO ILI MRADI TU UNAFATA TARATIBU, SHERIA NA KANUNI ZOTE ZINAZOTUONGOZA.
ZAMA ZA JPM, ZILISHUDIA , VIJANJA WAJANJA WAJNJA, KUKATA PUMZI, KUANZA KULIALIA, KWA SABABU MIRIJA YOTE YA PESA NYEPESI ZILIFUNGWA.
SAHIZI MNAFURAHI SABABU, MIRIJA IMEFUNGUKA, NOW MNAWEZA KUPIGA MADILI MADILI MKAPATA PESA .
NI MPUMBAVU PEKEE, NI MPUMBAVU PEKEE AMBAYE ANAWEZA DHARAU JUHUDI ZA MWALIM NYERERE, NA JPM
NARUDIA, NI MPUMBAVU TU NDO ATAFANYA IVO.