Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Umemaliza kabisa sisi Waafrika mafala sana tunatema big kwa karanga za kuonjeshwa mtu anauza mgodi kisa anapewa 10%
 
Acha ujinga. You are delusional.
Hakuna alama zozote! Hizi sio tu ni kuwa delusional lakini pia ni hallucinations.
Jiwe alikuwa pathological liar. Peleka ujinga wako huko.
 
Magufuri anachukiwa na wezi tu waliokuwa wakikwapua Mali za umma,kama alichukia watu wa kasikazini, mbona hatukuwahi kuona Mengi mali zake zikiguswa,akina Mo walitangazwa matajiri bora vijana barani Africa ,Bacressa biashara yake ilinawili kipindi cha Magufuri,hao wote ni matajiri wakubwa hatukuona wakilialia kuwa utawala wa Magufuri unawaonea, majizi tu waliokuwa wanashirikiana na viongozi wetu wa serikali,kuiba mali umma ndio walimwona Magufuri mbaya
 
JPM anachukiwa na wachache hasa humu jamii Forums cz humu kuna wafanyakazi wengi wa serikali wanaopenda dezo dezo na madili, full stop.
 
Ukome!! tena ukomae kumtaja taja Nyerere ukimlinganisha na wapuuzi unao wajua weye, !...Baba Julius aliheshimika Duniani kote mpaka leo wakubwa wa Dunia huenda Mwitongo kwa Mama Maria, na

mpaka sasa ninayo ya kujifunza toka kwake ...zaidi hakuogopa kwenda kuwa pasha UNO!! tena wazi wazi!! lkn jiwe aliogopa sana UNO Usipinge, alionea Dagaa tu, viafrica vitanzania vyeusi ivo vina ufisadi gani? hata havijui hela zinatoka wapi? ? lkn wazungu aliwagwaya

Kambarage kwa maneno yake ya hekima tu alialikwa vyuo vikuu mbali mbali Duniani ili akatoe Neno la hekima !! cheza na Mzanaki nini!!...hata baada ya kuacha kazi kwa hiali yake walimuhitaji Duniani!! akapewa Mwenye kiti wa ..South south commision.

Leo kikwete bado Dunia inamtumia.....hilo jambazi lililo iba kura nani angelitaka? likaua? likamkosa Lisu wa watu... unadhani Dunia itasahau?? hata kuitwa tu na wenzake hapo south.A /kenya aka tibiwe bure hakuitwa...lkn kikwete aliitwa akatibiwa USA kwa gharama za AU!......

Msichukie kuwa kwenye Urais wake kamwe kikwete hakukaa nchini ...ni kwa sababu Dunia ilimuhitaji mno ya zaidi kuliko mnavo muhitaji Nyie baadhi ya watanzania ...alitumiwa na Dunia mpaka leo! kwa gharama za Dunia!

Ameacha alama Duniani siyo Tanzania pekee wanaompinga ni wachawi tu!... na huko chato watu wa kimataifa hawata enda labda muupeleke mwili wake Mwitongo kulee Butiama!! au kwenye makaburi ya mashujaa DSM mchanganye huko!

mtamsema sana mrisho eti anakula kona km Vasco Dagama wala siyo hela zenu za Madafu hizo.....msijipendekeze na kujigamba!! yeye anaalikwa kwa gharama zao! wanao muhitaji.

Humjui Julius kijana mdogo weye Mwache bana!! apumzike Kijijini Butiama, msifanye hayoo!
 

Ujamaa ulifeli Afrika siyo kwa sababu Ulaya walikataa kuwauzia spea za viwanda. Kuna nchi za Scandinavia kama Sweden ambazo zilikuwa nazo zinafuata mfumo wa aina ya Ujamaa ambazo zilikuwa na urafiki na nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Sweden iliyotoa misaada mingi Tanzania, isingekataa kuwauzia hizo spea za viwanda ambazo unatumia kama visingizio vya viwanda kufa.

Ukitaka kujua kwa nini Ujamaa wa Tanzania na nchi zingine za Afrika ulifeli, sikiliza hii lecture ya George Ayittey kwa makini

 
Acha ujinga. You are delusional.
Hakuna alama zozote! Hizi sio tu ni kuwa delusional lakini pia ni hallucinations.
Jiwe alikuwa pathological liar. Peleka ujinga wako huko.
Wewe ni lijizi ,ulozoea Maisha ya ujanja ujanja na upigaji, Wala hamna lolote .


Uongo wa JPM ulikua wapi?? Yapi alosema na yasitendeke

Akisema nafufua shirika la ndege.

Alisema tunahamia Dodoma,

Alisema Bwawa la JK,


Kafanya mambo makubwa yalosadikika



Chukua Mwinyi, mkapa, Samia umpe miaka 9 , Hawatokaa kamwe kamwe , KUFIKIA ALOFANYA JPMKWA MIAKA 5.
 
Una uhuru wa maoni. Ni sawa.
Ila umeandika ujinga. Uzuzu.
Mjinga Mmoja wewe .


Shida yenu mlozoea Maisha ya ujanja,
Vyeti feki ,

Sasa Jiwe akanyoosha rula , DUNIA ikawatenga .



Ndio Sababu mlimchukia sana ,Wala hamna kingine !!.
 
Mkuu nimegundua una uwezo mzuri mno wa kuchakata keyboard na kuifanya kuwa pumba. Ntakutafuta tufanye biashara ya vyakula vya mifugo
Sasa hata huo ufugaji Haumo.


In fact waweza kua ni Moja ya wake Vijana wanaolilia Ajira za serikali na nyongeza ya mishahara .


Yaan akili kisoda.
 
Kupitia sera mbovu tulikuwa uchumi wa kati,Leo kwenye sera Safi tunambiwa tuombe mungu tutarudi huko kwenye uchumi wa kati, no no. No
 
Mada yako ni mbovu kwa vile unafikiri 'kimbofumbofu'.

Ni tajiri yupi asiyeitegemea serikali, hilo hulijui.

Ni serikali gani duniani isiyoangalia maslahi yya watu wake wengi ambao si wafanya biashara, hili nalo huna habari nalo kabisa

Nani alikuambia utawala wa Nyerere watu walitegemea vitu vya bure? Unazungumzia elimu? hivi unayo akili timamu kuhoji utoaji wa elimu bure kwa watoto wa wakati huo? Hivi unajua Tanganyika ya uhuru ilikuwa ya aina gani?

Haya sema, ni Tanganyika ya Nyerere pekee ndiyo iliona umuhimu wa kutoa elimu kwa watoto wa nchi hiyo maskini? Ulitaka watoto wakapate elimu wapi, au hao wenye uwezo wa kusomesha watoto wao uliwaona walikuwepo wangapi ndani ya nchi hii.

Unaweka kichwa cha habari cha kilevilevi hivi kuvuta hisia za watu, kumbe huna lolote unalojua.

Hayo mashirika unayolalamikia kufa, hujui sababu yake, ila kulalamikia Nyerere. China hakuna Mashirika ya Umma ambayo leo hii ndiyo yanayochukua tenda za ujenzi kila mahala duniani. Hilo hulijui; ila unajua tu kulalamikia huduma kutolewa kwa wananchi walio wengi.

Mtu kama wewe ndio mlioua mashirika ya umma, na kusema kweli mlistahiri kupata shaba hadharani liwe kama funzo kwa wahujumu wa nchi hii.

Hopeless Kabisa.
 
You nailed it !!
 
Wengine wameshaanza kusema Ngada iko kwenye mfumo wa dunia na inawakwamua vijana !! Maana yake waachiwe tu !! Hatari sana !!
 
Serikali yoyote ni lazima iwe na nguvu kuliko watu, maana watu wakiwa na nguvu kuliko serikali Kuna washenzi watawaonea masikini, umeandika kama una akili lakini ni ziro to, usikute hapo ulipo huwezi hata kua balozi wa nyumba 10,yamkini hata familia inakushinda, wabongo bhana
 


Serikali ni watu, serikali inawekwa na watu na inaondolewa na watu, na ni lazima isikilize watu, Kama huamini hilo wewe ni mfugo ulitakiwa kuwekwa ndani na kulishwa, maana binadamu hawapendi kufugwa na kulishwa na serikali


Serikali za kikatili, zinazonuka rushwa ndio zenye nguvu kuliko watu
 
Majibu hya hapa,ukiona raisi amekufa na nchi nzima raia wamejaa kuomboleza kwa ajili yake huyo ujue aliongoza nchi vizuri sana
 
Tajiri hatakiwi kuitegemea serikali, tajiri anatakiwa kufanya biashara zake na kulipa Kodi stahiki kwa serikali

Hizo Kodi za serikali inayokusanya ndio itasaidia kutoa huduma za kijamii na kusaidia wale wasiojiweza kabisa

Nyerere alikuwa na Sera mbovu kiuchumi ndio maana leo legacy yake kwenye uchumi hakuna, anasifiwa kwa kuleta Uhuru na kuimarisha umoja lakini uchumi aliboronga, ndio maana Mambo ya azimio la Arusha yalitupiliwa mbali na ubinafsishaji ukafuata

China kwa Sasa Ina mamilionea wengi kuliko Marekani na ni major force kwenye uchumi wa dunia, sababu haifuati Tena huo ukomunisti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…