Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mwalimu wa shule ya msingi Flora Mariki ameuawa kwa kuchomwa visu na mtoto wa shemeji yake tukio hilo limetokea jijini Dar es salaam Tabata segerea.
Mtoto wa shemeji ni binti wa miaka 21 pia familia wanataka kuficha ushahidi ndugu wa mwanamke wamekatazwa kushiriki msiba.
View attachment 1805777View attachment 1805779View attachment 1805780Shemeji kula
Toka uachwe na bwana wa Kichaga una hasira sanaSio rahisi mtu achukue kisu akuchome hivi hivi.
Ndipo anatokea Kunta Kapten Meja General Manyota mmoja wa familia anaikomboa familia kwa kumrest In pisi adui😃Unakuta kaka wa watu alikuwa analipia school fees madogo zake, anamkumbuka kila mwisho wa mwez mama yake walau kwa chumvi, gafla wanaanza kuvuna sabab na excuses zisizoisha hapo lazima kikao kikaliwe mafigani na kuanza kusaka chanzo cha tatizo
....Na Mume Mwenyewe???Ndugu wa mume walikuwa hawampendi
Lako ndo mana umepewa bani nyingineSiku hizi unapenda umbea kuliko magari!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2] japo ni majonzi ila umenichekesha sana, na usichezee mama ambae ana jeshi, mama akisha laumu tu basi watoto huumia sana moyoni na kuamua kurescue Mungu wao wa pili Duniani.Ndipo anatokea Kunta Kapten Meja General Manyota mmoja wa familia anaikomboa familia kwa kumrest In pisi adui[emoji2]
Kwanini??, Kwani wao ndo walikuwa wanamtafuna,si mumewe??!!.Mambo ya ajabu sana Haya.Ndugu wa mume walikuwa hawampendi
Aisee kweli tuna fleva tofauti.Dah!!,Ni pisi kali.
Wanawake awapendaniNdiyo hapo, unakaa na ndugu wanaanza kuwekana mabifu na wife. Visa huwa ni chakula na kazi za nyumbani. Sijui tufanyeje, maisha ya ushirika yaneanza kutuelemea.
uchunguzi unaendeleaPolisi wanasemaje ?
Dah kuna mshua wangu ameoa Mpare asee huyu mshua ana mkwanja mbaya mbovu na position nzuri tu ya kuweza hata kuwapa ndugu ajira ila kusaidia anasaidia upande wa mkewe tu mama.eWakiingia kwenye familia wana akikisha wanaziba mipenyo ya kusaidia ndugu..
Ova
🙄Ndugu wa mume walikuwa hawampendi
Swali muhimu sana hili.....Na Mume Mwenyewe???