Mwalimu Shule ya Msingi, Flora Mariki auawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa shemeji

Dah kuna mshua wangu ameoa Mpare asee huyu mshua ana mkwanja mbaya mbovu na position nzuri tu ya kuweza hata kuwapa ndugu ajira ila kusaidia anasaidia upande wa mkewe tu mama.e

Nimekuja kuamini uchawi kwenye mapenzi upo.
Hizi Mambo zilinifanya nisioe Kanda iyo. Yaani mie niwe na Mali jamani nisaidie ndugu zangu na huku nikianza kutoa funza ndio wako pembeni yangu jamani. Yaani basi tu ndugu ni ndugu Ila mke aweza sepa wakasema kuwa huyu alikuwa ni mke wa fulani Ila undugu haufutiki
 
Alieua kumbe ni binti? Mimi nilijua alieau ni kijana

Mungu awatie nguvu kwa kweli
 
Mleta uzi usiposema sababu watu wa jf tutaleta sababu zetu.
Sema ukweli shida ni nini? Sio unaposti tu kutaka marehemu aonewe huruma.
Balance story yako!
 
Poleni familia ya Mzee mariki kwa kumpoteza binti yako flora.

Mtuhumiwa wa mauaji ni binti mdogo sana sijui alipata wapi ujasiri wa kukamata "kameme" na kumuua Mama yake Mdogo/Mkubwa.
 
Hao ndugu wa mume mida hii wangekuwa ndani..na angezikwa hapo hapo sebleni kwao!
 
Wakiingia kwenye familia wana akikisha wanaziba mipenyo ya kusaidia ndugu..
Ova
Sure mkuu yaani mchaga kuishi na ndugu zako ni kazi sana Sana. Ila Sasa yeye wa kwao poa Sana mpaka na mitaji anataka uwape ya biashara. Ukikataa anakutanguliza eternal home.
Kuna mmoja ivi anaishi na ndugu wa mke Kama watatu ivi Ila mme hakuna hata mmoja wanafukuzwa kuwa ni wezi hapo mbezi temboni..
 
Unakuta kaka wa watu alikuwa analipia school fees madogo zake, anamkumbuka kila mwisho wa mwez mama yake walau kwa chumvi, gafla wanaanza kuvuna sabab na excuses zisizoisha hapo lazima kikao kikaliwe mafigani na kuanza kusaka chanzo cha tatizo
Na ndugu nao wawe wanafikiria kwamba ndugu yao kaoa ili ajenge familia yake, lazima kuna baadhi ya huduma zitapungua maana atakuwa na ongezeko la wategemezi, mke+watoto....familia nyingi za kimasikini hatufikirii kwamba hata km ni msaada alikuwa anatoa km ana kipato cha kawaida kuna baadhi ya vitu atapunguza kwa ndugu ili ahudumie familia
 
Kamkatisha uhai wa mwenzake

Ova
 
Kujiridhisha n history ya mtu haisaidii maana unakuwa hujui ndani mtaishije, mbeleni kukoje mtazungukwa na watu wa namna gani, ni nini utakosea ama ni nini mwenzio atakosea, kwani wote wanaoua wenza wao unataka kusema wana historia za kuua? Ni kumuomba Mungu tu katika hii safari ya maisha
 
Kama kuna taarifa unaijua we ilete tu kwa sababu haiingii akilini et kachomwa visu tu
 
Mimi nafurahia sifurahii ,nyinyi wanawake badilikeni namna ya kuishi na watoto
Kama wameishi kwene nyumba ya familia na aliyejitoa kukatili maisha ya uyo dada apo ni binti ni dhahiri mgogoro ulikuwa mkubwa ulihusisha familia nzima, wanawake wanao uawa chanzo ni namna wanavoishi na watoto?
 
Huu ndio ukweli hata wakiukataa...
Tuwape muda wajitete..
 
Poleni familia ya Mzee mariki kwa kumpoteza binti yako flora.

Mtuhumiwa wa mauaji ni binti mdogo sana sijui alipata wapi ujasiri wa kukamata "kameme" na kumuua Mama yake Mdogo/Mkubwa.
Straight magereza yaan.....ila mwanamke mpaka kufikia hatua hiyo ni alibanwa sana sana[emoji848][emoji848]

Sisi huwaga mdomo, kulia lakini visu[emoji134]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha show off za mitandao ilihal unadanga tu,

Niliona post umepewa garama za biashara ya madini ukaambiwe uwe na 15M bado ukahaha eti nyingi.
Kelele nyingi kama chiriku haKuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…