Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi

Watajijua wenyewe ukikubali kuendeshwa na mihemko hizo ndio faida zake.
 
apitie mwananyamala ujiji hapa sasa tushinde kijiweni mpaka jioni
Na jioni apitie kikopo cha babycare kwa mangi hapo nitalipia akatoe stress, sabb bila maokoto hawa madem atakuwa anawaelekeza tu magetto ya mabaharia tulipo
 
Hawezi kufukuzwa anahamishwa tu inapelekwa vijijini huko
 
Usimnyime mtoto fimbo..

Dogo alianza na kumdindia mwalimu.

Mwalimu naye kama binadamu alishikwa na ghadhabu.

Sema haya mambo yasikie kwa mwenzio tu, kama haujawahi kufundisha wanafunzi huwezi kuelewa..
Kwani umeenda kunyoosha watoto ama kuwafundisha maarifa, unahangaika kumchapa mtt wa mtu kazi Gani, ita mzazi wake aje amchape mbele ya parade basi, aelezwe kosa lake ,ivi hamuwezi kufundisha bila ya viboko, ukiwa unatoa maarifa huyu anaongea mtoe ama watoe nje wakaongee wakimaliza warudi darasani , mbona simple sana.
You're just complicating life just within yourself or in your own head , nimekutana na walimu hawatumij fimbo bana na wanakubalika, yaani ujue unapochapa mtt ama kutukana ina Mana akili yako imeishia hapo so una entertain emotions.
Muandikishe hata barua , huku mwalimu akisema zikifika Tano unafukuzwa shule.1
 
Walimu wengi tu wanawachapa watoto vibaya na hata uongozi wa shule unakuwa unafahamu lakini hawachukuliwi hatua. Huyu kapata bahati mbaya maana tukio limekuwa recorded, otherwise angekuwa anaendelea na kazi yake kama kawaida.
 
Kumfukuza kazi ni kupoteza ushahidi.
Anapaswa kushitakiwa mahakamani.

Viongozi na wananchi hawafuati Sheria. Na mbaya zaidi viongozi hawajui utaratibu wao wa KAZI.

Au mahakamani Haki hataipatikana maana hii nchi kila sectors ni tatizo .

Ndio maana viongozi wememla kichwa juu kwa juu.
Mjinga
 
Amefukuzwa kazi bila kushitakiwa TSC au hiyo shule ni ya private
 
Haina shida katengeneza ajira ya mwalimu mwingine mmoja haina haja ya kusikitika.
 
Back
Top Bottom