Nimecheka jamaniππTUHESABU IDADI YA RISASI:
Ya kwanza Pa!!
Ya pili Paa!!
Ya tatu Paaa!!
Ya nne Paaaa!!
Ya tano Paaaaa!!
Tena zile za wa vietnam wakati wa vita na marekaniItakuwa alikuwa amevaa helmet
Hakufa mpaka alipohakikisha zimefika Tano, alafu zilipofika Tano akasema Sasa Naweza kufa,akafaaaKujipiga risasi tano kichwani?!!!![emoji848][emoji848][emoji3525]
Hapa ndipo nilikuwa napatafuta.Mwanangu hii chai yako umezidisha tangawizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Okay tuseme walipimwa Vinasaba na sio damu unless Mama awe na group O tu.
Mwamba awe na A au B hivyo mtoto atasomeka kundi la damu A au O na B au O.
Iwapo baba atakuwa na AB na mama O basi mtoto atasomeka AB, A,B au O.
Sasa baba alikuwa kundi Gani la damu na Yhuyo Baba halisi alikuwa na kundi gani?
Sasa mzee, kati ya kujiua na smg na ile mguu wa kuku (bastola ya kawaida) unadhani mleta chai alimaanisha nini.? Haina haja ya kuumiza kichwa, hapo alimaanisha mguu wa kuku.Kasema bunduki sio bastola.
Ak 47 inatoa kwa mpigo zote ukifyatua.
Hata Smg
Hili ndilo jibu sahihi kwa hii chai na umemaliza kila kitu.Ahsante kwa chai.
Kwanza, si lazima kundi la damu la mtoto lifanane na kundi la damu la mzazi. Labda endapo tu wazazi walikuwa na kundi moja la damu. Mtoto anaweza kuwa na kundi la tofauti kabisa na makundi ya wazazi wake wote.
Pili, kwenye uchangiaji wa damu si lazima anyetoa damu awe sawa na kundi la damu la anayepokea. Unaweza ukatoa, kisha mgonjwa akawekewa damu yake pasipokusubiri mlolongo mrefu wa kupima. Itatumika tu kama fidia.
Tatu, huwezi kujipiga risasi tano kichwani. Risasi moja tu ya kisawasawa, huwezi tena hata kushikilia bunduki.
Tunashukuru kwa story yako.
HHapa kwanza ncheke...Kujipiga risasi tano kichwani?!!!![emoji848][emoji848][emoji3525]
Watu hawajasoma biology...huwa wananikera sana mtu ameshupaza shingo eti ukikuta mtt sio group ya damu ya mzazi sio wake...hajui mfano baba ana A positive mama ana AB,,,mtoto anaweza akatoka na group lake kabisa...Ahsante kwa chai.