Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Uongo, tuanzie kwa damu, siyo lazima group yako iingiane na ya baba yako.

Hosp siyo wajinga pia, hata kama walivizia DNA wasingeongea chochote kwa baba. Damu wangemtoa ingetunzwa maabara mtoto angepatiwa damu nyingine.

Unatupanga kiboya boya sie watu wazima oops
 
images.jpeg
 
Mwanangu hii chai yako umezidisha tangawizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Okay tuseme walipimwa Vinasaba na sio damu unless Mama awe na group O tu.

Mwamba awe na A au B hivyo mtoto atasomeka kundi la damu A au O na B au O.

Iwapo baba atakuwa na AB na mama O basi mtoto atasomeka AB, A,B au O.

Sasa baba alikuwa kundi Gani la damu na Yhuyo Baba halisi alikuwa na kundi gani?
Hapa ndipo nilikuwa napatafuta.
 
Kasema bunduki sio bastola.
Ak 47 inatoa kwa mpigo zote ukifyatua.
Hata Smg
Sasa mzee, kati ya kujiua na smg na ile mguu wa kuku (bastola ya kawaida) unadhani mleta chai alimaanisha nini.? Haina haja ya kuumiza kichwa, hapo alimaanisha mguu wa kuku.
 
Ahsante kwa chai.

Kwanza, si lazima kundi la damu la mtoto lifanane na kundi la damu la mzazi. Labda endapo tu wazazi walikuwa na kundi moja la damu. Mtoto anaweza kuwa na kundi la tofauti kabisa na makundi ya wazazi wake wote.

Pili, kwenye uchangiaji wa damu si lazima anyetoa damu awe sawa na kundi la damu la anayepokea. Unaweza ukatoa, kisha mgonjwa akawekewa damu yake pasipokusubiri mlolongo mrefu wa kupima. Itatumika tu kama fidia.

Tatu, huwezi kujipiga risasi tano kichwani. Risasi moja tu ya kisawasawa, huwezi tena hata kushikilia bunduki.

Tunashukuru kwa story yako.
Hili ndilo jibu sahihi kwa hii chai na umemaliza kila kitu.

Kingine sidhani kama mahospitalini wako rude kiasi hicho et lete baba halisi wa mtoto. Wale wamesomea psychology na wanatambua utapeli wa mapenzi. Hawawezi kuvunja ndoa kirahisi hivyo. Ata angepima DNA wangemwambia ni mtoto wake unless awe na sababu maalumu yenye wito wa mahakama kufanya hivyo au awe anajuana na daktari tena kwa kumpa hela nyingi huku akimuahid kulinda hiyo siri ya kupima DNA bila ruhusa ya mahakama.

Sio kirahisi hivo ni jambo linaloweza kumfunga daktari ikiwemo kumfutia leseni ya udaktari.
 
Ahsante kwa chai.

Kwanza, si lazima kundi la damu la mtoto lifanane na kundi la damu la mzazi. Labda endapo tu wazazi walikuwa na kundi moja la damu. Mtoto anaweza kuwa na kundi la tofauti kabisa na makundi ya wazazi wake wote.

Pili, kwenye uchangiaji wa damu si lazima anyetoa damu awe sawa na kundi la damu la anayepokea. Unaweza ukatoa, kisha mgonjwa akawekewa damu yake pasipokusubiri mlolongo mrefu wa kupima. Itatumika tu kama fidia.

Tatu, huwezi kujipiga risasi tano kichwani. Risasi moja tu ya kisawasawa, huwezi tena hata kushikilia bunduki.

Tunashukuru kwa story yako.
Watu hawajasoma biology...huwa wananikera sana mtu ameshupaza shingo eti ukikuta mtt sio group ya damu ya mzazi sio wake...hajui mfano baba ana A positive mama ana AB,,,mtoto anaweza akatoka na group lake kabisa...
 
sema story umeongeza chumvi sana ila pole kwa jamaa
Yah si unajua jambo kubwa kama hilo lazima mtu uhadithie kwa mihemko matokeo yake chumvi inazidi kidogo.
Ila kikubwa nimeeleweka mkuu.
 
Nimecheka mpka nimelia eti damu ya mtoto haikuendana na ya baba ? Mara risasi tano kichwani .

Kajamaa kaongo hadi raha alafu kama kana degree basi ni ya masomo ya sanaa maana hata mambo ya damu yanakapiga chenga sana

Wewe kajamaa 6 Pack siogopi uto tumbavu twako nitakukung'uta usituone wajinga bwana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Storie ina walakini mwingi,kutofautiana damu na mzazi mmoja haina maana mtoto sio wako,mfano kama mzazi mmoja ana group A-/+ na mwingine O-/+,...upo uwezekano mtoto kuzaliwa na group A au O,..sasa huwez sema huyo mtoto zio wako kwa sababu ana group la damu la moja kati ya hayo mawili...kujirizisha,pima DNA.
 
Back
Top Bottom