Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Hii nchi kumbe imejaa majizi tu na majitu mabinafsi mno.

Wakiona anapatikana kiongozi mwenye kulenga kuboresha maisha ya mtu wa chini basi wao wanaumia mno.

Magufuli kufufua reli ya Dar Arusha na kuwapunguzia tabu ya usafili watu wa chini waliokuwa wanasambaratika pale ubungo tayali imejenga chuki na kuanza kumchukia baba wa watu mpaka anaingia kabulini.
 
Sisi na nani? Wezi wakubwa! Msituchanganye kwenye ushamba wenu. Wana wenye laana ninyi.
 
Kiukweli kwa uzi huu mpaka nimetoa machozi.... hakika bado watetezi wa mpendwa wetu bado wapo. Angalau nimefarijika. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Hayati JPM. Tusichoke kumtetea siku zote, ijapokuwa hawezi kuongea lakini hii vita ataishinda.
 
CCM waanza kuumbuana wao kwa wao. Kambi moja ikihalalisha ufisadi wake kwa kulinganisha na wa kambi nyingine. Ama kweli hii ni ishara ya anguko la CCM. Wanakili wao ni majizi.
 
Mkuu, CAG si chama kipya cha siasa wala si tume maalum iliyotumwa kumchunguza JPM. Labda kama umeanza kuona report zake mwaka huu.

Huyu yupo miaka yote na report za miaka yote ziko hivihivi. Na hata mwakani atafyatua report nyingine.
Tatizo ripoti za CAG za miaka 5 ya JPM zilikuwa zinakarabatiwa ili raia waamini kuwa mambo yote ni poa.
 
Pumbavu wewe.

Sema umeridhika wewe na mume wako,sisi wenye akili hatuwezi ridhika na upuuzi kama huo.
Mbona mmeridhika na mwenyekiti wenu kuchota hela bila utaratibu na mupo tu kama mazezeta. Nyumbu Bana.
 
Siku nyingine jitajeni majina au kikundi chenu mlichokubaliana kuandika hili andiko kuliko kujumuisha wananchi wote. Asante CAG.
 
Viongozi Afrika na kasumba ya kutowaelewa wananchi. Mtu anapoteza muda kuchafua jina tukufu la nabii Yohana. Mwaka jana CDM Amerudi mbuge mmjo tu.wote walijikwaa Mwamba wa Mageuzi (JPM). Naona kuna chama kikongwe kinajiingiza kwenye makosa na mtego wa kupambana na kivuli cha JIWE.wamesahau kuna watu tumewapa kura ubunge baada ya kulitaji vizuri jina DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
 
Jamaa ameongea kweli tupu! Wizi kila mtu anafanya ila kama unaiba bila kusaidia wananchi wewe ni pathetic! Ni afadhali mwizi asie mbinafsi kwa kweli kuliko mwizi wa kujineemesha yeye tu.

Watu walijimilikisha bandari wakawa wanajipigia tu awamu ya 4 huko as if serikali haipo kabisa! Kila mwenye nguvu ya kujichotea alijichotea huku maskini wakisahaulika kabisa kama sio sehemu ya nchi kabisa! Hospitali hazina madawa, mahakamani hamna haki bali kwa wenye pesa tu! Hivi kuna maisha magumu zaidi ya hayo?

Sasa amekuja mtu anayefanya mambo for the welfare of the society mengi tu na kwa nia ya dhati! Mnaanza kumsema mwizi as if kilichofanywa katika utawala wake hamkioni
 
ukoo wa mchwa wekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…