Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

1. Mwambieni CAG kwamba sisi wenyewe tumeridhika, tumezoea kuibiwa. Mwambieni tofauti ya wizi wa zamani na huu ni kwamba wizi wa sasa unafaida kwa Wananchi wala asiumize kichwa. Mwambieni sisi Wananchi hatuna tatizo na hasara au wizi uliofanyika wakati wa JPM. Sisi tumeridhika hivyohivyo kwa sababu tuna macho ya kuona!!
Sijawahi kushuhudia pumba kama hii!👆

1.Tokea lini jinai ikazoeleka na kuleta kuridhika?

2.Tokea lini wizi ukawa ni faida?

3.Tokea lini jinai ya wizi ikawa haina tatizo wala hasara?

Ngaliwe wewe ni kichaa?Una matatizo ya akili? Unaweza kutumia haya uliyoandika kama utetezi mahakamani?
 
1. Mwambieni CAG kwamba sisi wenyewe tumeridhika, tumezoea kuibiwa. Mwambieni tofauti ya wizi wa zamani na huu ni kwamba wizi wa sasa unafaida kwa Wananchi wala asiumize kichwa. Mwambieni sisi Wananchi hatuna tatizo na hasara au wizi uliofanyika wakati wa JPM. Sisi tumeridhika hivyo hivyo kwa sababu tuna macho ya kuona!!

2. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa kupitia EPA. Pesa bilioni 135 zikaliwa na watu wachache, wakati huo elimu bure ilikua bado kuja. Mikopo ya elimu ya juu ilikua ni songombingo kwa hiyo hatuoni hatari kuibiwa sasa huku elimu bure ikiwa imeanzishwa na mikopo ikitoka kwa wakati. Sisi tumeridhika kabisa na hasara au wizi wa JPM!!

3. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa bilioni 300 Serikali ikilipa Makampuni hewa katika kashfa ya MEREMETA. Mwambieni hapakua na tatizo lolote na wakati huo bajeti ya Dawa ilikua chini ya bilioni 30 lakini sasa na wizi wa JPM umepandisha bajeti ya DAWA zaidi ya mara tisa; yaani bilioni 270. Mwambieni kwa wizi huu Mungu atupe nini? Tumeridhika sana na wizi wa JPM.

4. Mwambieni CAG kwamba tulishaibiwa sisi kwenye mauzauza ya uwekezaji wa Bulyanhulu na Buzwagi na hata leo hakuna maelezo ya yanayoeleweka. Kodi hazikulipwa na pesa zikapigwa na wajanja wachache. Wakati huo wote madini na migodi yote ilikua ni mali ya wawekezaji wasiolipa kodi, Wananchi ilikua ni marufuku kukaribia migodi katika nchi yao. Kama JPM ameiba halafu wananchi wanachimba madini wenyewe kwa uhuru, ninaumia kwamba atakua ameiba kidogo sana. Wizi wenye manufaa kwa umma una maana zaidi kuliko wizi usio na manufaa. Sisi tumezoea kuibiwa, lakini kwa huu wa JPM tumeridhika.

5. Mwambieni CAG kwamba sisi tumezoea kuibiwa. Tumeshaibiwa haswa, ilikuja hapa tukaibiwa katika Mkataba wa kijinga wa DOWANS. Nchi ikalipa bilioni 111 kwa sababu ya maslahi ya watu wachache. Wakati tunaibiwa kupitia DOWANS, Mv. Victoria ilikua inalaza watu siku mbili ziwani kwa ubovu wake. Maisha yao yalikua hatarini kila safari, leo JPM akiiba au akitutia hasara ya bilioni 60 huku Mv. Victoria ikiwa MPYA kuna tatizo gani? Meli mpya tele kuanzia ziwa Nyasa, Tanganyika na Bahari ya Hindi Kilwa. Tunapenda wizi wa namna hii, angeiba kabisa za kutosha akajenga nyumba nzuri kama wenzake, akamiliki magari za mizigo meupe kukuki na sheli za kumwaga. Au akamilika supermakert za Da'slam kama wenzake. Sisi kuibiwa tumezoea, wizi wa JPM una manufaa, tumeridhika.

6. Mwambieni CAG kuwa sisi tumezoea kuibiwa asijiumize bure na ma-press ya kutangaza vi-wizi vya kitoto hivyo. Tulipigwa hapa pesa TAKATIFU katika Mkataba maarufu wa RICHMOND ulioondoka na Serikali ya mwaka 2008 hadi sasa hakuna kilichofanyika. Wakati tukipigwa pesa za Richmond daraja la Mfugale lilikua halipo, Daraja la Ubungo (Kijazi Interchange) haikuwahi kufikiriwa, Daraja la Tanzanite (Salender) lilikua katika ndoto, lile la Busisi halikufikiriwa kabisa. Kama tumeibiwa leo na mambo yote haya yamefanyika mwambieni CAG sisi roho kwatu, tumeridhika riport zake tupa kule hatusikii la mwazini wala mnadi swala. Tumefunga masikio!!

7. Mwambieni CAG sio hata siku nyingi zilichotwa BOT bilioni 306 kwa kilichoitwa kashfa ya TEGETA ESCROW. Nchi ikaibiwa tena na wajanja wachache, wakabeba pesa kwenye masandarusi. Wakati tukiibiana bilioni 306 za Escrow umeme vijijini ulikua unaunganishwa kwa Tsh. 454,000 ila kwa wizi wa JPM umeme vijijini unaunganishwa kwa Tsh. 27,000; asilimia zaidi ya 70 umeme umefika vijijini. Wizi mzuri kiasi gani huu!? Sasa tunajenga megawati 2400 kutoka Bwawa la Nyerere ili umeme ushuke zaidi. Ingalikua uwezo ni wangu ningalimrudisha mtu huyu aendelee kuiba na kutia hasara zaidi kwa sababu wizi na hasara zake zina manufaa kwa watu. Mwambieni CAG sisi tumeridhika hivyohivyo, atuwache!!

8. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!

9. Mwambieni CAG kuwa tumeibiwa sana nchi hii. Wakati wote tuliibiwa huku Nchi ikiwa haina Ndege hai hata moja. Mwambieni leo tuna Ndege 11 za kwetu wenyewe. Hizo hasara za ATCL zisimuumize kichwa, hakuna biashara isiyo na hasara, JPM keshawawekea mtaji na heshima ni wajibu wao kutafuta akili za kupata faida sio kuua mtaji. Mwambieni CAG, sisi tunampenda mwizi anayeiba halafu akanunua Ndege kwa ajili ya Nchi nzima, akajenga reli ya kasi, stend kibao za kisasa, masoko kwa ajili ya biashara nk. Kwakweli sisi tumeridhika sana na wizi huu!! Mungu amlaze mahala pema JPM, ametutoa tongotongo!!

10. Mwambieni CAG asipoteze nguvu zake bure kwa sababu hata hao wezi huwa hawafanywi kitu. Mwambieni tumezoea na zaidi tumeridhika na wizi au hasara za JPM. Mwambieni CAG nchi hii imeongozwa na wezi wengi lakini huyu alikua ni mwizi wa heshima. Tunampenda, tutammiss hivyohivyo na yeyote mwenye kumchafua atachafuka kwanza yeye. Tutakua Taifa la kijimga sana kuacha ALAMA za mtu huyu zifutwe na watu wajinga, wavivu
wasio na lolote walioachiwa Nchi wasiongoze wakihangaika na umbea, udaku na ushambenga.
Kwa taarifa yenu #SISI TUMERIDHIKA HATA ANGEIBA NCHI YOTE AIUZE!! Tuna macho ya kuona, tusichoshane.
#TutakukumbukaDaimaJPM.
Wewe kichaa
 
nenda ukawe nyumba ndogo upate mgao.
Si ndizo akili zetu zenu hizo,badala ya kuwazia maendeleo ya wananchi,mnawaza nyumba ndogo,hovyo kabisa.Eti mnataka mshike dola,nani awape dola,labda mwehu.Mnadhani kila mtu anaweza kuongaza nchi.Eti mtetezi wa mashoga naye anataka awe Rais,ka!
 
#TutakukumbukaDaimaJPM.View attachment 1748602View attachment 1748601View attachment 1748603View attachment 1748604
acheni kurudia post. ngonjera kibao unadhani serikal watahangaika na hizo ngonjera
 
Chato Inc and Sukuma Gang,

Mnatoa pumba tu, hamjaamini kabisa kwamba hamtaendesha hii nchi tena kwa ukabila na ukanda.

Angalau katiba itafuatwa sasa hv!

Kuendesha serikali kwa usiri wakati sisi ndo watoa kodi haifai kabisa!!
 
Uzi wako utachukiwa na wengi wajinga wanaojigamba kuwa walipita shule,ila wachache tuliopitia maisha ya mtaa ndio tunaona ulicho kiandika ni chamaaana sana, atakaye weza kuniambia kuwa wezi wa mihera yote hiyo walipewa adhabu gani basi nitafuta coment yangu
 
Si bure ubongo wako utakua umechanganyika na mavi.
 
Sasa FISADI AU BEBERU
Nani ni nani
Kwa msamiati wenu wa kusifu na kuabudu
Beberu ni Nchi za Magharibi (wanawafadhili katika mengi hasa zile dawa za naniliiii
Fisadi ni mwizi mfujaji wa pesa za walipa kodi
Huu ufisadi si umefanywa na utawala huu wa sisiem au Upinzani waliwahi kutawala hata kwa sekunde wakaiba mpaka mkawaita mafisadi

As long as sisiem itaendelea kutawala haya yataendelea hiyo 2025 mnamuweka malaika yupi tena maana mwendazake aliomba kibali kwa Mungu akawe kiongozi wa malaika ktk Ufalme sijui wa nani

CAG ametoa taarifa namna pesa za walipa kodi zinavyoliwa na wachache halafu mnauliza mbona hakuna jema hata moja hahahhh of coz hakuna zuri ni uchafu mtupu sasa mlitaka atoe tu report ile mnataka mnachekesha kweli

Hakuna anayesema hakujawahi kuwa na wizi ya watawala waliopita nao ni wachafu tu sasa kwa nini Huyu mumuone ni mtakatifu....

Wakukumbukwa ni BABA WA TAIFA MWL Nyerere ( aliipenda Tz na WaTz kutoka moyoni) wengine wote ni wafanyabiashara period.
Fisadi kwa kiswahili maana yake ni mtu mwenye tabia mbaya ambayo haiwezi kurekebishika.Beberu kwa upande mwingine ni jina la kebehi au tusi kwa Wakoloni.
 
Kuna kapoint fulani!
Sawa CAG report imetoka
Ni hatua gani itachukuliwa

Ova
 
Dhahabu ni dhahabu tu hata uichafue vipi haiwezi kuwa mkaa..Pamoja na hayo yote yanayoendelea lkn ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kuaminishwa kwamba Magufuli hakuwa na maana ktk Nchi yetu..R.I.P Uncle Magu[emoji24]
 
Tujibu hoja zilizoainishwa. Watanzania tumeridhika na JOHN Alipotufikisha. Ametinua sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom