Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Mleta uzi ni vema ukafahamu kwamba marais wote walipita walifanya mambo makubwa sana, na kwamba serikali ni endelevu, kuna baadhi ya miradi umeitaja, lakini ama ilianzishwa na serikali zilizopita, au mchakato wake ulianzishwa na watangulizi wake, mfani interchange ya Ubungo, JK ndie alianzisha hilo wazo wakati anaweka jiwe la msingi la mwendo kasi, na REA pia alianzishwa na JK, hata baadhi ya miradi ya maji, JK aliianzisha, mfano ni upanuzi wa bomba la maji la Ruvu Chini, tuwatendee haki viongozi wetu wote
 
1.5 tirioni ya C.A.G wa zamani iliishia wapi.
Zungumzieni hela za awamu ya tatu na nne zilienda wapi,what is 1.5 trillion hata kama kaiba in the face of probably 1000 trillions which disappeared during Mkapa and Kikwetes' eras,mbona mnakuwa viazi hivyo?After all kaiba kapeleka wapi,mbona hata kwake hamna kitu.Hata nyumba yake ni modest.Mnatumiwa ninyi si bure.Kwanza hata aibu hamna kabisa.
 
Huyu mama anajaribu kutupotosha na kutushawishi kupitia makosa fake ya Jpm,Kama rais alikuwa fisadi pia nae makamu wake atakuwa fisadi,basi yeye makamu wake ambaye Sasa ni rais awajibishe kulingana na sheria.

Sababu amekufa hawezi hata kunyanyua kinywa chake lawama zote ni zake.
 
Umekaa na Mmeo mmemaliza kufikishana kileleni... upo hoi... unatoka kutusemea.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Maneno yako yanaonyesha how stupid and insensitive you are to how people perceive you.You are so corrupted morally.Yaani hawa ndio supporters wa Samia!Tuna haki ya kuwa na wasi wasi naye.
 
Mnaacha kuwakumbuka ndugu zenu marehemu waliotangulia eti mnamkumbuka Jiwe!!

Ishini kwenye uhalisia jiwe ameshasagwasagwa, watakaoendelea kumkumbuka ni Watoto wake na mke wake .

Nyie wengine kiherehere tu.
Hata sisi pia tutasagwasagwa hivyo hivyo, hiyo ni njia yetu sote.Punguza ukali wa maneno.
 
Miaka minne hii isiwafanye msherehekee kupindukia.Narudia hakuna Uhuru usio na mipaka.Na kumbuukeni kwamba 2025 kuna uchaguzi,na Samia atakuwa mgombea tu kama wengine na ni lazima apitishwe na Chama.
Wewe ni nani huko kwenye chama mbona kama unaonekana kumchimba biti Samia? Wewe ni nani? Kwasababu kama ni masalia ya JPM kwenye chama kwa sasa ni Mpogoro, Heri labda na Queen, sitaki kumsemea Polepole sababu hatochukua round kwenye hiyo nafasi. Wewe ni nani, umeshikilia jumuiya ipi yenye nguvu mpaka umtishie Samia? Kwasababu kwa uelewa wangu watu wote wenye nguvu na influence kwenye chama Ikiwemo na KK, wazee wa chama na viongozi wote wa jumuiya (ukimuacha heri) hakuna wakuacha kumuunga mkono Samia akitaka kugombea.

Unaongea haya kutoka katika mdomo upi wa mto? (From the mouth of which river?)
 
Maneno yako yanaonyesha how stupid and insensitive you are to how people perceive you.You are so corrupted morally.Yaani hawa ndio supporters wa Samia!Tuna haki ya kuwa na wasi wasi naye.
Mpumbavu mkubwa wewe Toka hapa na uharo wako
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa

Utataga mwaka huu
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo muhuni ww
 
Sasa FISADI AU BEBERU
Nani ni nani
Kwa msamiati wenu wa kusifu na kuabudu
Beberu ni Nchi za Magharibi (wanawafadhili katika mengi hasa zile dawa za naniliiii
Fisadi ni mwizi mfujaji wa pesa za walipa kodi
Huu ufisadi si umefanywa na utawala huu wa sisiem au Upinzani waliwahi kutawala hata wakaiba mpaka mkawaita mafisadi

As long as sisiem itaendelea kutawala haya yataendelea hiyo 2025 mnamuweka malaika yupi tena maana mwendazake aliomba kibali kwa Mungu akawe kiongozi wa malaika ktk Ufalme sijui wa nani

CAG ametoa taarifa namna pesa za walipa kodi zinavyoliwa na wachache halafu mnauliza mbona hakuna jema hata moja hahahhh of coz hakuna zuri ni uchafu mtupu sasa mlitaka atoe tu report ile mnataka mnachekesha kweli

Hakuna anayesema hakujawahi kuwa na wizi ya watawala waliopita nao ni wachafu tu sasa kwa nini Huyu mumuone ni mtakatifu....

Wakukumbukwa ni BABA WA TAIFA MWL Nyerere ( aliipenda Tz na WaTz kutoka moyoni) wengine wote ni wafanyabiashara period.
WENGINE HATUKUONA CHOCHOTE CHA MAANA,HUYU TUMEONA MENGI YA MAANA,HAKUNA CONCRETE EVIDENCE KWAMBA KAIBA NA HATA UKIMSIKILIZA ANALETA MATUMAINI NA UNAONA WAZI KWAMBA ANA NIA NJEMA NA WATANZANIA.WENGINE NI HEWA!
 
Sasa tupeane zamu ya kuingia kwenye kibubu hapo BOT Mkuu hatuwezi kuridhika kwa kuachwa wachache washibe.
 
Mpumbavu mkubwa wewe Toka hapa na uharo wako
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa

Utataga mwaka huu
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo muhuni ww
Hii comment yako ime-expose ujinga ulio nao mkuu.Yes,hawa ndio supporters wa Samia,sad.
 
Wewe ni nani huko kwenye chama mbona kama unaonekana kumchimba biti Samia? Wewe ni nani? Kwasababu kama ni masalia ya JPM kwenye chama kwa sasa ni Mpogoro, Heri labda na Queen, sitaki kumsemea Polepole sababu hatochukua round kwenye hiyo nafasi. Wewe ni nani, umeshikilia jumuiya ipi yenye nguvu mpaka umtishie Samia? Kwasababu kwa uelewa wangu watu wote wenye nguvu na influence kwenye chama Ikiwemo na KK, wazee wa chama na viongozi wote wa jumuiya (ukimuacha heri) hakuna wakuacha kumuunga mkono Samia akitaka kugombea.

Unaongea haya kutoka katika mdomo upi wa mto? (From the mouth of which river?).
Naongea kama mtu anayejua utendaji wa Chama na mkereketwa wa ustawi wa Taifa langu.
 
1. Mwambieni CAG kwamba sisi wenyewe tumeridhika, tumezoea kuibiwa. Mwambieni tofauti ya wizi wa zamani na huu ni kwamba wizi wa sasa unafaida kwa Wananchi wala asiumize kichwa. Mwambieni sisi Wananchi hatuna tatizo na hasara au wizi uliofanyika wakati wa JPM. Sisi tumeridhika hivyohivyo kwa sababu tuna macho ya kuona!!

2. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa kupitia EPA. Pesa bilioni 135 zikaliwa na watu wachache, wakati huo elimu bure ilikua bado kuja. Mikopo ya elimu ya juu ilikua ni songombingo kwa hiyo hatuoni hatari kuibiwa sasa huku elimu bure ikiwa imeanzishwa na mikopo ikitoka kwa wakati. Sisi tumeridhika kabisa na hasara au wizi wa JPM!!

3. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa bilioni 300 Serikali ikilipa Makampuni hewa katika kashfa ya MEREMETA. Mwambieni hapakua na tatizo lolote na wakati huo bajeti ya Dawa ilikua chini ya bilioni 30 lakini sasa na wizi wa JPM umepandisha bajeti ya DAWA zaidi ya mara tisa; yaani bilioni 270. Mwambieni kwa wizi huu Mungu atupe nini? Tumeridhika sana na wizi wa JPM.

4. Mwambieni CAG kwamba tulishaibiwa sisi kwenye mauzauza ya uwekezaji wa Bulyanhulu na Buzwagi na hata leo hakuna maelezo ya yanayoeleweka. Kodi hazikulipwa na pesa zikapigwa na wajanja wachache. Wakati huo wote madini na migodi yote ilikua ni mali ya wawekezaji wasiolipa kodi, Wananchi ilikua ni marufuku kukaribia migodi katika nchi yao. Kama JPM ameiba halafu wananchi wanachimba madini wenyewe kwa uhuru, ninaumia kwamba atakua ameiba kidogo sana. Wizi wenye manufaa kwa umma una maana zaidi kuliko wizi usio na manufaa. Sisi tumezoea kuibiwa, lakini kwa huu wa JPM tumeridhika.

5. Mwambieni CAG kwamba sisi tumezoea kuibiwa. Tumeshaibiwa haswa, ilikuja hapa tukaibiwa katika Mkataba wa kijinga wa DOWANS. Nchi ikalipa bilioni 111 kwa sababu ya maslahi ya watu wachache. Wakati tunaibiwa kupitia DOWANS, Mv. Victoria ilikua inalaza watu siku mbili ziwani kwa ubovu wake. Maisha yao yalikua hatarini kila safari, leo JPM akiiba au akitutia hasara ya bilioni 60 huku Mv. Victoria ikiwa MPYA kuna tatizo gani? Meli mpya tele kuanzia ziwa Nyasa, Tanganyika na Bahari ya Hindi Kilwa. Tunapenda wizi wa namna hii, angeiba kabisa za kutosha akajenga nyumba nzuri kama wenzake, akamiliki magari za mizigo meupe kukuki na sheli za kumwaga. Au akamilika supermakert za Da'slam kama wenzake. Sisi kuibiwa tumezoea, wizi wa JPM una manufaa, tumeridhika.

6. Mwambieni CAG kuwa sisi tumezoea kuibiwa asijiumize bure na ma-press ya kutangaza vi-wizi vya kitoto hivyo. Tulipigwa hapa pesa TAKATIFU katika Mkataba maarufu wa RICHMOND ulioondoka na Serikali ya mwaka 2008 hadi sasa hakuna kilichofanyika. Wakati tukipigwa pesa za Richmond daraja la Mfugale lilikua halipo, Daraja la Ubungo (Kijazi Interchange) haikuwahi kufikiriwa, Daraja la Tanzanite (Salender) lilikua katika ndoto, lile la Busisi halikufikiriwa kabisa. Kama tumeibiwa leo na mambo yote haya yamefanyika mwambieni CAG sisi roho kwatu, tumeridhika riport zake tupa kule hatusikii la mwazini wala mnadi swala. Tumefunga masikio!!

7. Mwambieni CAG sio hata siku nyingi zilichotwa BOT bilioni 306 kwa kilichoitwa kashfa ya TEGETA ESCROW. Nchi ikaibiwa tena na wajanja wachache, wakabeba pesa kwenye masandarusi. Wakati tukiibiana bilioni 306 za Escrow umeme vijijini ulikua unaunganishwa kwa Tsh. 454,000 ila kwa wizi wa JPM umeme vijijini unaunganishwa kwa Tsh. 27,000; asilimia zaidi ya 70 umeme umefika vijijini. Wizi mzuri kiasi gani huu!? Sasa tunajenga megawati 2400 kutoka Bwawa la Nyerere ili umeme ushuke zaidi. Ingalikua uwezo ni wangu ningalimrudisha mtu huyu aendelee kuiba na kutia hasara zaidi kwa sababu wizi na hasara zake zina manufaa kwa watu. Mwambieni CAG sisi tumeridhika hivyohivyo, atuwache!!

8. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!

9. Mwambieni CAG kuwa tumeibiwa sana nchi hii. Wakati wote tuliibiwa huku Nchi ikiwa haina Ndege hai hata moja. Mwambieni leo tuna Ndege 11 za kwetu wenyewe. Hizo hasara za ATCL zisimuumize kichwa, hakuna biashara isiyo na hasara, JPM keshawawekea mtaji na heshima ni wajibu wao kutafuta akili za kupata faida sio kuua mtaji. Mwambieni CAG, sisi tunampenda mwizi anayeiba halafu akanunua Ndege kwa ajili ya Nchi nzima, akajenga reli ya kasi, stend kibao za kisasa, masoko kwa ajili ya biashara nk. Kwakweli sisi tumeridhika sana na wizi huu!! Mungu amlaze mahala pema JPM, ametutoa tongotongo!!

10. Mwambieni CAG asipoteze nguvu zake bure kwa sababu hata hao wezi huwa hawafanywi kitu. Mwambieni tumezoea na zaidi tumeridhika na wizi au hasara za JPM. Mwambieni CAG nchi hii imeongozwa na wezi wengi lakini huyu alikua ni mwizi wa heshima. Tunampenda, tutammiss hivyohivyo na yeyote mwenye kumchafua atachafuka kwanza yeye. Tutakua Taifa la kijimga sana kuacha ALAMA za mtu huyu zifutwe na watu wajinga, wavivu
wasio na lolote walioachiwa Nchi wasiongoze wakihangaika na umbea, udaku na ushambenga.
Kwa taarifa yenu #SISI TUMERIDHIKA HATA ANGEIBA NCHI YOTE AIUZE!! Tuna macho ya kuona, tusichoshane.
#TutakukumbukaDaimaJPM.View attachment 1748602View attachment 1748601View attachment 1748603
IMG-20210410-WA0024.jpg
 
1. Mwambieni CAG kwamba sisi wenyewe tumeridhika, tumezoea kuibiwa. Mwambieni tofauti ya wizi wa zamani na huu ni kwamba wizi wa sasa unafaida kwa Wananchi wala asiumize kichwa. Mwambieni sisi Wananchi hatuna tatizo na hasara au wizi uliofanyika wakati wa JPM. Sisi tumeridhika hivyo hivyo kwa sababu tuna macho ya kuona!!

#TutakukumbukaDaimaJPM.

Hili la kusema wizi/Ubadhirifu mkubwa umetokea wakati wa uongozi wa Muheshimiwa; Niliutegemea kwani Kiukweli Muheshimiwa amefanya miradi mingi na mikubwa Zaidi ya mtu wa kawaida angeweza kufikiri; Hata hivyo katika kutekekeleza miradi hiyo ambayo mingine haikuwa kwenye bajeti husika japo imeonekana kuwa na maslahi mapana kwa wananchi imefanya ripoti ya MUHASIBU (audit report) ioneshe kuwa fedha zimefunjwa/zimeibiwa.
Nashauri wataalam wa namba wachunguze vizuri kujua ukweli....
 
Kama hujui kwamba hakuna uhuru usio na mipaka,then you do not deserve to argue with me.
Embu tueleze mipaka yako ya uhuru ni ipi? Watu mnajazwa ujinga na madikteta mnachekelea kama mazuzu!
 
1. Mwambieni CAG kwamba sisi wenyewe tumeridhika, tumezoea kuibiwa. Mwambieni tofauti ya wizi wa zamani na huu ni kwamba wizi wa sasa unafaida kwa Wananchi wala asiumize kichwa. Mwambieni sisi Wananchi hatuna tatizo na hasara au wizi uliofanyika wakati wa JPM. Sisi tumeridhika hivyo hivyo kwa sababu tuna macho ya kuona!!

2. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa kupitia EPA. Pesa bilioni 135 zikaliwa na watu wachache, wakati huo elimu bure ilikua bado kuja. Mikopo ya elimu ya juu ilikua ni songombingo kwa hiyo hatuoni hatari kuibiwa sasa huku elimu bure ikiwa imeanzishwa na mikopo ikitoka kwa wakati. Sisi tumeridhika kabisa na hasara au wizi wa JPM!!

3. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa bilioni 300 Serikali ikilipa Makampuni hewa katika kashfa ya MEREMETA. Mwambieni hapakua na tatizo lolote na wakati huo bajeti ya Dawa ilikua chini ya bilioni 30 lakini sasa na wizi wa JPM umepandisha bajeti ya DAWA zaidi ya mara tisa; yaani bilioni 270. Mwambieni kwa wizi huu Mungu atupe nini? Tumeridhika sana na wizi wa JPM.

4. Mwambieni CAG kwamba tulishaibiwa sisi kwenye mauzauza ya uwekezaji wa Bulyanhulu na Buzwagi na hata leo hakuna maelezo ya yanayoeleweka. Kodi hazikulipwa na pesa zikapigwa na wajanja wachache. Wakati huo wote madini na migodi yote ilikua ni mali ya wawekezaji wasiolipa kodi, Wananchi ilikua ni marufuku kukaribia migodi katika nchi yao. Kama JPM ameiba halafu wananchi wanachimba madini wenyewe kwa uhuru, ninaumia kwamba atakua ameiba kidogo sana. Wizi wenye manufaa kwa umma una maana zaidi kuliko wizi usio na manufaa. Sisi tumezoea kuibiwa, lakini kwa huu wa JPM tumeridhika.

5. Mwambieni CAG kwamba sisi tumezoea kuibiwa. Tumeshaibiwa haswa, ilikuja hapa tukaibiwa katika Mkataba wa kijinga wa DOWANS. Nchi ikalipa bilioni 111 kwa sababu ya maslahi ya watu wachache. Wakati tunaibiwa kupitia DOWANS, Mv. Victoria ilikua inalaza watu siku mbili ziwani kwa ubovu wake. Maisha yao yalikua hatarini kila safari, leo JPM akiiba au akitutia hasara ya bilioni 60 huku Mv. Victoria ikiwa MPYA kuna tatizo gani? Meli mpya tele kuanzia ziwa Nyasa, Tanganyika na Bahari ya Hindi Kilwa. Tunapenda wizi wa namna hii, angeiba kabisa za kutosha akajenga nyumba nzuri kama wenzake, akamiliki magari za mizigo meupe kukuki na sheli za kumwaga. Au akamilika supermakert za Da'slam kama wenzake. Sisi kuibiwa tumezoea, wizi wa JPM una manufaa, tumeridhika.

6. Mwambieni CAG kuwa sisi tumezoea kuibiwa asijiumize bure na ma-press ya kutangaza vi-wizi vya kitoto hivyo. Tulipigwa hapa pesa TAKATIFU katika Mkataba maarufu wa RICHMOND ulioondoka na Serikali ya mwaka 2008 hadi sasa hakuna kilichofanyika. Wakati tukipigwa pesa za Richmond daraja la Mfugale lilikua halipo, Daraja la Ubungo (Kijazi Interchange) haikuwahi kufikiriwa, Daraja la Tanzanite (Salender) lilikua katika ndoto, lile la Busisi halikufikiriwa kabisa. Kama tumeibiwa leo na mambo yote haya yamefanyika mwambieni CAG sisi roho kwatu, tumeridhika riport zake tupa kule hatusikii la mwazini wala mnadi swala. Tumefunga masikio!!

7. Mwambieni CAG sio hata siku nyingi zilichotwa BOT bilioni 306 kwa kilichoitwa kashfa ya TEGETA ESCROW. Nchi ikaibiwa tena na wajanja wachache, wakabeba pesa kwenye masandarusi. Wakati tukiibiana bilioni 306 za Escrow umeme vijijini ulikua unaunganishwa kwa Tsh. 454,000 ila kwa wizi wa JPM umeme vijijini unaunganishwa kwa Tsh. 27,000; asilimia zaidi ya 70 umeme umefika vijijini. Wizi mzuri kiasi gani huu!? Sasa tunajenga megawati 2400 kutoka Bwawa la Nyerere ili umeme ushuke zaidi. Ingalikua uwezo ni wangu ningalimrudisha mtu huyu aendelee kuiba na kutia hasara zaidi kwa sababu wizi na hasara zake zina manufaa kwa watu. Mwambieni CAG sisi tumeridhika hivyohivyo, atuwache!!

8. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!

9. Mwambieni CAG kuwa tumeibiwa sana nchi hii. Wakati wote tuliibiwa huku Nchi ikiwa haina Ndege hai hata moja. Mwambieni leo tuna Ndege 11 za kwetu wenyewe. Hizo hasara za ATCL zisimuumize kichwa, hakuna biashara isiyo na hasara, JPM keshawawekea mtaji na heshima ni wajibu wao kutafuta akili za kupata faida sio kuua mtaji. Mwambieni CAG, sisi tunampenda mwizi anayeiba halafu akanunua Ndege kwa ajili ya Nchi nzima, akajenga reli ya kasi, stend kibao za kisasa, masoko kwa ajili ya biashara nk. Kwakweli sisi tumeridhika sana na wizi huu!! Mungu amlaze mahala pema JPM, ametutoa tongotongo!!

10. Mwambieni CAG asipoteze nguvu zake bure kwa sababu hata hao wezi huwa hawafanywi kitu. Mwambieni tumezoea na zaidi tumeridhika na wizi au hasara za JPM. Mwambieni CAG nchi hii imeongozwa na wezi wengi lakini huyu alikua ni mwizi wa heshima. Tunampenda, tutammiss hivyohivyo na yeyote mwenye kumchafua atachafuka kwanza yeye. Tutakua Taifa la kijimga sana kuacha ALAMA za mtu huyu zifutwe na watu wajinga, wavivu
wasio na lolote walioachiwa Nchi wasiongoze wakihangaika na umbea, udaku na ushambenga.
Kwa taarifa yenu #SISI TUMERIDHIKA HATA ANGEIBA NCHI YOTE AIUZE!! Tuna macho ya kuona, tusichoshane.
#TutakukumbukaDaimaJPM.
Pumbavu kweli wewe umekubalina na watanzania wangapi.
 
Back
Top Bottom