Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Sijawahi kushuhudia pumba kama hii!👆

1.Tokea lini jinai ikazoeleka na kuleta kuridhika?

2.Tokea lini wizi ukawa ni faida?

3.Tokea lini jinai ya wizi ikawa haina tatizo wala hasara?

Ngaliwe wewe ni kichaa?Una matatizo ya akili? Unaweza kutumia haya uliyoandika kama utetezi mahakamani?
 
Wewe kichaa
 
nenda ukawe nyumba ndogo upate mgao.
Si ndizo akili zetu zenu hizo,badala ya kuwazia maendeleo ya wananchi,mnawaza nyumba ndogo,hovyo kabisa.Eti mnataka mshike dola,nani awape dola,labda mwehu.Mnadhani kila mtu anaweza kuongaza nchi.Eti mtetezi wa mashoga naye anataka awe Rais,ka!
 
acheni kurudia post. ngonjera kibao unadhani serikal watahangaika na hizo ngonjera
 
Chato Inc and Sukuma Gang,

Mnatoa pumba tu, hamjaamini kabisa kwamba hamtaendesha hii nchi tena kwa ukabila na ukanda.

Angalau katiba itafuatwa sasa hv!

Kuendesha serikali kwa usiri wakati sisi ndo watoa kodi haifai kabisa!!
 
Uzi wako utachukiwa na wengi wajinga wanaojigamba kuwa walipita shule,ila wachache tuliopitia maisha ya mtaa ndio tunaona ulicho kiandika ni chamaaana sana, atakaye weza kuniambia kuwa wezi wa mihera yote hiyo walipewa adhabu gani basi nitafuta coment yangu
 
Si bure ubongo wako utakua umechanganyika na mavi.
 
Fisadi kwa kiswahili maana yake ni mtu mwenye tabia mbaya ambayo haiwezi kurekebishika.Beberu kwa upande mwingine ni jina la kebehi au tusi kwa Wakoloni.
 
Kuna kapoint fulani!
Sawa CAG report imetoka
Ni hatua gani itachukuliwa

Ova
 
Dhahabu ni dhahabu tu hata uichafue vipi haiwezi kuwa mkaa..Pamoja na hayo yote yanayoendelea lkn ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kuaminishwa kwamba Magufuli hakuwa na maana ktk Nchi yetu..R.I.P Uncle Magu[emoji24]
 
Tujibu hoja zilizoainishwa. Watanzania tumeridhika na JOHN Alipotufikisha. Ametinua sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…