Pre GE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakimbizi,Wahutu,Wahamiaji haramu,Wauaji,Majambazi na Wakabila hawatakiwi kwenye nchi ya amani kama Tanzania.
 
Umetafuta na umeweza kumuelezea vizuri sana Makonda.
Kuhusu Magufuli nakataa, aliyoyafanya kwangu bado naona yanasemekana, alikuwa too loudy and moisy, hilo limefunika akili za wengi. Tumgekuwa na mifumo imara, hakika angetufaa, bahati mnaya hatunayo.
 
Mashudu tena yalivyo na nguvu...
 
Siwezi kubishana na mtu mwenye akili za Nyumbu kama wewe. Maana huwa unafikiria Kinyumbunyumbu.

Kwa akili yako ya Kinyumbu hebu jaribu kuangalia nchi zilizoendelea kama kuna kuchekeana chekeana kama huku bongo.
Ngoja nikuweke unapostaholi.
 
Dkt Nchimbi anamilimi kikundi cha maamuzi ya wapiga kura, Dodoma walimchania mkeka pamoja na kuwa wasa alishinda ila wavaa nyeusi walifanya yao, sasa anataka kushindana nao tena sijui hasomi alama za nyakati???? Hivi Tanzania ya sasa ni ya siasa za kulindana????? Dkt Nchimbi kama unasoma text yangu nasema hizo siasa za kulindana ndizo ambazo zimemfanya mwenyekiti wetu Dkt Samia akose kabisa mvuto kwa wapiga kura. Ni Makonda pekee yake ktk serikali ya Samia aliyekuja kurejesha matumaini kwa wapiga kura, ila wewe Dkt Nchimbi toka siku unaapishwa ulikosea sana tena sana kuanza kushindana na mifupa ya Dkt Magufuli. Hakuna aliyewahi shindana na Dkt Magufuli akashinda hata wewe ni shahidi, sasa subiri uone unavyozidi kushindwa. Hivi nikuulize Dkt Nchimbi hivi ukimsifia Dkt Magufuli ili uje uwe rais utapungukiwa nini???? Hivi mtu aliyekufa inakukera nink??
 
Huyo jamaa Kiranga ni muhaya
 
Mmmm ina maana ndani ya Chama kuna majungu,kwa mfano ni ya nini alafu ili iweje na Kwa faida ya nani na akifanikiwa ili iweje...?
Ni vizuri kujenga hoja zenye kujenga Chama che_nu/tu kuliko kuanza kufitiniana mitandaoni.
Team work ni muhimu sana kuliko kila mmoja kujifanza mjuaji au eti aonekane hodari kuliko wengine.
 
πŸ†’πŸ”ŠπŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸ’πŸŽπŸŽ–οΈπŸ†πŸ‘‘πŸ›‘οΈ
 
Don't be so blind Kwa unafiki.


Ni Rais gani hapa Tanzania Toka uhuru ambaye aliwah THUBUTU na kufanya makubwa Kwa ajili ya Taifa, kama alivyofanya Hayati JPM?.
Mkuu come on, usidanganye wazi hivi, una maana Mwendazake kampita Mchonga! Tusiongopeane namna hii Mkuu! Hapana!
 
Mkuu πŸ€πŸ™πŸ†’
 
Huyu ni Makonda na wafuasi wake walioanza kumjengea mikwara Nchimbi baada ya kuukosa ukatibu mkuu!!
Vita ndani ya ccm haijaisha kwa Chongolo kuondoka!
 
I don’t think it was the right starting tone to declare Samia as the presumptive ccm presidential candidate come 2025 contrary to the ccm constitution!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…