Pre GE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Wakimbizi,Wahutu,Wahamiaji haramu,Wauaji,Majambazi na Wakabila hawatakiwi kwenye nchi ya amani kama Tanzania.
 
Makonda is a good sacrificial soldier, never a leader. Na ndo maana magufuli hata hakumtetea alipofail 2020 kugombea ubunge, he's a liutenant, mtu wa ku-run errands tu. Na kazi ya ukuu wa mkoa/wilaya ndo inamfaa sababu hata nyerere alikuaga anawapa hizo nafasi major generals wastaafu.

Ndo maana JK alimtumia, JPM akamtumia, na samia anamtumia.

Huhitaji degree kuona hilo, na hauko sahihi kumkashifu hivo JPM, ni kiongozi ambae TZ ilikua inamuhitaji. Na tatizo lako wewe kiranga ni kwamba huwa haujui tatizo lako ni nini. Hebu uwe unasoma arguments zako utaona, kwa nn unawachukia sana 'high achieving individuals'? Kuna mahala niliona hata unamponda Elon Musk.
Umetafuta na umeweza kumuelezea vizuri sana Makonda.
Kuhusu Magufuli nakataa, aliyoyafanya kwangu bado naona yanasemekana, alikuwa too loudy and moisy, hilo limefunika akili za wengi. Tumgekuwa na mifumo imara, hakika angetufaa, bahati mnaya hatunayo.
 
Dah. Mkuu unaandikaga mashudu yaani.

Unatawaliwa sana na ukabila, ukanda na eventually uduanzi

1. Makonda ni mjamaa? Unahakika?

2. Nchimbi hajulikani na hana impact, angerudishwa toka Cairo aje achukue hiyo nafasi na kuacha mamilioni ya wana ccm waliyoitarajia?
Mashudu tena yalivyo na nguvu...
 
Siwezi kubishana na mtu mwenye akili za Nyumbu kama wewe. Maana huwa unafikiria Kinyumbunyumbu.

Kwa akili yako ya Kinyumbu hebu jaribu kuangalia nchi zilizoendelea kama kuna kuchekeana chekeana kama huku bongo.
Ngoja nikuweke unapostaholi.
 
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Dkt Nchimbi anamilimi kikundi cha maamuzi ya wapiga kura, Dodoma walimchania mkeka pamoja na kuwa wasa alishinda ila wavaa nyeusi walifanya yao, sasa anataka kushindana nao tena sijui hasomi alama za nyakati???? Hivi Tanzania ya sasa ni ya siasa za kulindana????? Dkt Nchimbi kama unasoma text yangu nasema hizo siasa za kulindana ndizo ambazo zimemfanya mwenyekiti wetu Dkt Samia akose kabisa mvuto kwa wapiga kura. Ni Makonda pekee yake ktk serikali ya Samia aliyekuja kurejesha matumaini kwa wapiga kura, ila wewe Dkt Nchimbi toka siku unaapishwa ulikosea sana tena sana kuanza kushindana na mifupa ya Dkt Magufuli. Hakuna aliyewahi shindana na Dkt Magufuli akashinda hata wewe ni shahidi, sasa subiri uone unavyozidi kushindwa. Hivi nikuulize Dkt Nchimbi hivi ukimsifia Dkt Magufuli ili uje uwe rais utapungukiwa nini???? Hivi mtu aliyekufa inakukera nink??
 
Makonda is a good sacrificial soldier, never a leader. Na ndo maana magufuli hata hakumtetea alipofail 2020 kugombea ubunge, he's a liutenant, mtu wa ku-run errands tu. Na kazi ya ukuu wa mkoa/wilaya ndo inamfaa sababu hata nyerere alikuaga anawapa hizo nafasi major generals wastaafu.

Ndo maana JK alimtumia, JPM akamtumia, na samia anamtumia.

Huhitaji degree kuona hilo, na hauko sahihi kumkashifu hivo JPM, ni kiongozi ambae TZ ilikua inamuhitaji. Na tatizo lako wewe kiranga ni kwamba huwa haujui tatizo lako ni nini. Hebu uwe unasoma arguments zako utaona, kwa nn unawachukia sana 'high achieving individuals'? Kuna mahala niliona hata unamponda Elon Musk.
Huyo jamaa Kiranga ni muhaya
 
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Mmmm ina maana ndani ya Chama kuna majungu,kwa mfano ni ya nini alafu ili iweje na Kwa faida ya nani na akifanikiwa ili iweje...?
Ni vizuri kujenga hoja zenye kujenga Chama che_nu/tu kuliko kuanza kufitiniana mitandaoni.
Team work ni muhimu sana kuliko kila mmoja kujifanza mjuaji au eti aonekane hodari kuliko wengine.
 
Unajuaje nachukia high achieving individual, na sifanyi a reasoned criticism?

Kwani mtu aki achieve makubwa maana yake yuko beyond criticism?

If Elon Musk is an asshole, a high achieving one, but an asshole nevertheless, nisiseme kwamba Elon Musk is an asshole?

Tatizo lako wewe ni kwamba, you worship achievement. You worship achievement so much kiasi cha kwamba unataka kufanya mtu yeyote anaye achieve awe beyond criticism.

This is a dangerous reductivism, a very shallow way at looking at things.

Na mtu yeyote akimfanyia critique anyone aliye achieve, hata kama ni kwa sababu za kifalsafa tu, kama ninavyofanya mimi, wewe unatafsiri kwamba hiyo critique ni kwa sababu ya chuki. Unajauje ni chuki?

Unanikumbusha wale wanawake ambao ukimsema vibaya Rais Samia tu, wanakusema kwamba unamsema vibaya kwa sababu ni mwanamke, wamejuaje umemsema vibaya kwa sababu ni mwanamke na hujamsema vibaya kwa sababu ni kiongozi mbaya?

Wewe una worship achievement, wakati kuna achievement nyingine zimepatikana kwa chance tu.

Actually, Magufuli is not a high achiever.

Magufuli kaogopa hata kwenda kwenye mikutano ya UN. Rais anaogopa mikutano ya UN kwenda kubishana na viongozi wenzake wa dunia kupeleka ajenda yetu mbele kimataifa utamuitaje high achiever?

Ruto amefanya mengi ku advance Africa's case against the US dolkar and US hegemony kuliko Magufuli. Mtu akiniambia Ruto na Magufuli nani ni high achiever, hata kwenye ku set agenda tu, Ruto atakuwa kampita Magufuki mbali sana.

Ruto anaongelea paradigm shift ya Afrika kuacha US dollar katika intra-African trade, ku settle payments Addis Ababa badala ya US Federal Reserve New York Branch.

That is some high achieving agenda.

Magufuki kaongea kuwapandishia kodi Barrick watu wakapiga hesabu za vi Noah, mpaka leo tumepigwa changa la macho.

That is some common garden variety African politics bullshit.

Magufuli hakufanikiwa lolote la msingi katika kujenga uchumi endelevu Tanzania. Kasoma mpaka Ph.D lakini amebaki kuwa mjingamjinga tu anayekunywa maji ya kikombe cha babu na kukataa sayansi ya chanjo, sasa huyo high achiever wa nini? Ujinga?

Acheni kuabudu mafanikio tu, hata wauza madawa ya kulevya wanaweza kukuambia wana mafanikio. Hata wacheza kamari wanapata mafanikio.

Je, mnaangalia principles? Mnaangalia ethics? Mnaangalia mafanikio yamepatikanaje? Mnaangalia utu wa watu? Mnaangalia ukweli kwamba hata wasio na mafanikio nao wana utu wao na wanastahiki heshima ya utu, ikiwapo na heshima ya kukosoa waliofanikiwa? Mnaangalia ukweli kwamba waliofanikiwa hawajui kila kitu, na wengine wamefanikiwa kwa bahati ya kuzaliwa mahali fulani, mwaka fulani, kwa wazazi fulani?

Who is a high achiever? Why?

You need to re-xamine your definition so you do not use a rather shallow one.

Mimi namkosoa mpaka Mungu Mkuu, angalau hiyobdhana ya kuwapo Mungu, maana siamini yupo. Kifaksafa.

Sasa kwa nini nikiwakosoa Elon Musk na Magufuli, kifalsafa, unaona nakosoa kwa sababu ya chuki?

That is a very lazy way of settling a rather intricate philosophical debate.
🆒🔊👍👌👏🙏💐🎁🎖️🏆👑🛡️
 
Don't be so blind Kwa unafiki.

Ni Rais gani hapa Tanzania Toka uhuru ambaye aliwah THUBUTU na kufanya makubwa Kwa ajili ya Taifa, kama alivyofanya Hayati JPM?.
Mkuu come on, usidanganye wazi hivi, una maana Mwendazake kampita Mchonga! Tusiongopeane namna hii Mkuu! Hapana!
 
1. Huna nuance. Ndiyo maana unaona ku criticize hao unaowaita high achievers kifalsafa ni chuki.

Ruto nimeeleza kuwa nam compare na Magufuli on a very specific topic. Kwamba, huwezi kusema una rais high achiever ambaye hana achievement katika foreign relations ya nchi. Hata kwenye agenda tu.

Nyerere kafariki miaka 24 imepita, watu wanaandika kuhusu Ujamaa, kuhusu Nyerere Doctrine. Kaacha body of works, kaandika jinsi ya kuendesha vijiji. Kaacha a new country on the map of the world. High achiever? Yes, definitely philosophically. Even if economically there are more misses than hits.

Ruto anaongelea Afrika ijitutumue vipi, ijiondoe vipi kwenye makucha ya US. Ruto akifa leo, despite all the local politics Kenya, katuachia legacy ya ajenda kwamba tunaweza kufanya biashara bila kutumia dola ya Marekani. Hiyo ajenda ni muhimu kuliko jambo lolote alilosema au kufanya Magufuli kiuchumi, hayo mauzauza yote ya makinika, madege ya cash na Koroshow ni cheap comedy ukiyalinganisha na agenda hii moja tu ya Ruto.

2. Nimekuuliza, unajuaje hii ni chuki na hii ni legitimate philosophical criticism? Hujajibu. Unaenda kwa hisia tu.

So, you are an Elon Musk fanboy, you don't like people who criticize Elon Musk. You can't debate issues. You blanket every criticism as personal hate. This is the definition of ad hominem logical fallacy. Umeshindwa ku debate hoja unasema mtoa hoja ana chuki binafsi. Umeshindwa ku debate hoja, unamchafua mtoa hoja.

Mkuu,

Kote nilikosoma mimi ni star na nimekuwa top of my class. Nimeanza career yangu US on the Floor of The Goddam New York Stock Exchange. Sina matatizo na watu successful kwa sababu kwetu wenyewe successful.

Usichanganye mtu anayefanya a philosophical criticism na personal hate.

Wabongo wengi kama wewe mna matatizo ya kutoweza kufanya a nuanced abstract thought process.

Mtu akisema "napinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi" automatically mna assume huyu ni mtu mweusi kaonewa analalamika kwa sababu kaonewa binafsi.

Hamuelewi kuwa hata mzungu anaweza kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kwa sababu za kifalsafa tu ambazo hazina uhusiano wowote na yeye kuumizwa na ubaguzi wa rangi.

Ni vigumu sana kufanya maongezi yenye nuance na watu wasioweza abstract thinking kama wewe.

Yani Elon Musk abwatuke, atukane watu huko. Mimi nimseme kwamba huyu jamaa hana self control, halafu, unatuambia mimi namsema Elon Musk kwa sababu ya chuki binafsi?

Yani kujamba ajambe Elon Musk, mimi niseme tu hapa Elon Musk kajamba, halafu lawama unipe mimi?

Kisa?

Unasema Elon Musk hajambi? Anatoa marashi ya Versace Eros matakoni tu?
Mkuu 🤝🙏🆒
 
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Huyu ni Makonda na wafuasi wake walioanza kumjengea mikwara Nchimbi baada ya kuukosa ukatibu mkuu!!
Vita ndani ya ccm haijaisha kwa Chongolo kuondoka!
 
Watanzania wengi kama mtoa mada mnapenda sana hadithi tamu kuliko ukweli mchungu.

Makonda is a lowbrow light weight wannabee actor who is trying to follow in the footsteps of his dead country bumpkin Godfather Magufuli.

Nchimbi started with the right tone, ila sijui kama Watanzania wengi watamuelewa.
I don’t think it was the right starting tone to declare Samia as the presumptive ccm presidential candidate come 2025 contrary to the ccm constitution!.
 
Back
Top Bottom