jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Punguza makasiriko..njoo uombewe.Kwa7babu nyinyi ni "WASHIRIKINA" "USHENZI WENU" umechupa mipaka mnacho kifanya hapa kawe Kila j.pili ni kufanya biashara zenu. MAFUTA na MAJI YA CANADIAN.
Rejea nikichoandika watu hawana imani wanaenda kwa mwamposa kupata uponyaji so jamaaa ataendea kuwapiga tu maana siri ya uponyaji hawaijuiKama issue ni imani sasa kwa Mwamposa anaenda kufanya nini? Kwanini asikae huko nyumbani na kuomba kwa imani ya kweli kabisa na kutegemea kupona?
Mkuu mimi hata kwa mwamposa sijawahi kufika, na hata wewe hakuna haja ya kwenda kwa buldoza kua na imani mambo yako yataendaKwa hiyo unataka utuaminishe tukaabudu kwa mwamposa ?
Kwa Nini nabii anasoma biblia?Karibu jpl hii ukanyage mafuta na upate uponyaji....kupinga kazi ya Mungu ni moja ya dalili ya mapepo njoo utolewe mapepo katika Jina la Yesu..ufungamanishwe na madhabahu ya mwamposa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sawa nimetolea mfano Mimi mwenyewe ni mnyatunzu Wa bariadi tena msukuma halisi"Kundi kubwa la watu wanaotoka usukumani wengine hata kiswahili Hawajuii wanaenda kushuhudia"
Umemaanisha nini hapa kuleta dharau kwa kabila la watu tena kabila kubwa luliko la kwako shenzi wewe!!!
Unamaanisha asisome biblia? Biblia si mafundisho? Hata yesu alifungua na kusoma kitabu cha isayaKwa Nini nabii anasoma biblia?
Yesu alikuwa anasoma unabii na akasema umetimia , Yesu ni Mungu in human fleshUnamaanisha asisome biblia? Biblia si mafundisho? Hata yesu alifungua na kusoma kitabu cha isaya
Nakupendekezea msikilize mchungaji Mbaga
tena kinachokaribia kukomaaKama Ufanunuzi wote wa mtoa mada bado hujaelewa Point ya Mtoa mada basi wewe ni Kiazi Mbatata.
umesoma uzi wote?
Kwahiyo kumbe mwenye nguvu ni Bw. Mwamposa na sio MUNGU?
Haya, hongereni!
Nabii ni mtu anaekuja na prophecy ya mambo yajayo hasomi popote ila anatamka yanaandikwa anayotamka , ukisoma history ya nabii isaya alikuwa uchi mwaka mzima anatamka unabii mpaka wa kuja kwa Yesu , Sasa Leo hii nabii anasoma unabii wa isaya alafu na yeye anajiita nabii ata kutembea na boxa mtaani haweziUnamaanisha asisome biblia?
Mimi Mkuu unabii wa mwamposa au manabii wengine sijui wamepatia wapi, lakini ni janja janja tu za kupatia pesa tu....kwa imani yangu nabii wa mwisho ni mama Helen g white, hawa wengine inaweza kua majina wanajiita tuNabii ni mtu anaekuja na prophecy ya mambo yajayo hasomi popote ila anatamka yanaandikwa anayotamka , ukisoma history ya nabii isaya alikuwa uchi mwaka mzima anatamka unabii mpaka wa kuja kwa Yesu , Sasa Leo hii nabii anasoma unabii wa isaya alafu na yeye anajiita nabii ata kutembea na boxa mtaani hawezi
Yesu alivyo kuja hakuna nabii tenaMimi Mkuu unabii wa mwamposa au manabii wengine sijui wamepatia wapi, lakini ni janja janja tu za kupatia pesa tu....kwa imani yangu nabii wa mwisho ni mama Helen g white, hawa we ng in inaweza kua majina wanajiita tu
Jiombee , Mungu anasikia kila mtu , geodevi Mzee wa kula pension za wamamakila mtu aishi anavyoweza,lakini ukiwa hujapata tatizo unaweza ukaona ni uhuni,ila shida ikipiga hodi kwako adi Geo devi utamtafuta
Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
Kama wagonjwa wataamini wataponywaKamata mwamposa peleka muhimbi akiweza ondoa wagonjwa wote ICU basi ibada zake ni za kweli na Mungu wake anatenda
umesoma uzi wote?
Huyo ni muhuni na muongo,unadanganya mbele ya watu wazima kwamba , yesu alimtokea amebeba funguo na kumkabidhi si muhuni tuJiombee , Mungu anasikia kila mtu , geodevi Mzee wa kula pension za wamama