Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.

Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.

Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
 
Hapo Arusha si yuko Nabii Mkuu Baba, Mheshimiwa, Nabii, Dokta Joe Darvie? Huku Dar hatuazimi Manabii coz wako bzy na hawaitaji kujaribiwa hata kidogo!
 
Back
Top Bottom