Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

KUNA AINA MBILI ZA MANABII
1.MANABII WA UPAKO NA MAFANIKIO
2.MANABII WA MUNGU.

KUNDI LA PILI LA MANABII HAKUNA, KUNDI LA KWANZA WAPO WA KUTOSHA
 
Mbona ameshawahi kwenda nabii no 7 kutoka Arusha mjini, akaomba na kukemea kwa jina la Yesu, kilichotokea ni gari yake ikakung'utwa jiwe kwanza na baadaye mawe yaliendelea kurushwa licha ya ukemeaji kwa jina la Yesu, hali ilipozidi kuendelea ikabidi ahaidi kwamba baada ya siku 21 hali hiyo itakoma.🤣🤣, hadi anaondoka katika eneo hilo mawe yaliendelea kurushwa tu.
Mtumishi nani huyo akaulaza!
Mtaje tu.
 
Back
Top Bottom