Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa hiyo manabii wetu hawataweza kusaidia kwenye hili?Mizimu yao wanayoiabudu kila mwezi wa 12 ndio inawapiga mawe...
Ifike mahali tuache kumchanganya MUNGU na miungu.
Tukumbuke MUNGU wetu ni mwenye wivu
Nenda wewe mkuu ukayaombeeMtu yeyote anayemwamini Yesu Kristo anaweza kuyakemea hayo maana yapo chini ya miguu yetu tulio ndani ya Kristo.
Wanaweza kuwasaidia...Kwa hiyo manabii wetu hawataweza kusaidia kwenye hili?
Tunataka hao kina Mwamposa waende huko ili tujue kama wao ni fiksi au?Mtu yeyote anayemwamini Yesu Kristo anaweza kuyakemea hayo maana yapo chini ya miguu yetu tulio ndani ya Kristo.
Wanapigwa wote wanaamini mizimu,?Wanaweza kuwasaidia...
Ila kama watu wataamua kuacha kuamini mizimu na kumwamini YESU/MUNGU.
Umesahau Geordavie tena yupo huko huko Arusha, na Gwajima..
Hapo Arusha si yuko Nabii Mkuu Baba, Mheshimiwa, Nabii, Dokta Joe Darvie? Huku Dar hatuazimi Manabii coz wako bzy na hawaitaji kujaribiwa hata kidogo!Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
Halafu Huyu Geordavie ndo alionana na Yesu live mnamo mwaka 2009Umesahau Geordavie tena yupo huko huko Arusha, na Gwajima..
Ningekuwa karibu na huko ningeenda.Nenda wewe mkuu ukayaombee