Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
Huyo GeorDavie ni mapozi tu, ngope aje Mwamposa na mafuta na maji!Hapo Arusha si yuko Nabii Mkuu Baba, Mheshimiwa, Nabii, Dokta Joe Darvie? Huku Dar hatuazimi Manabii coz wako bzy na hawaitaji kujaribiwa hata kidogo!
Mimi nampima mtumishi kwa neno sio miujiza.Tunataka hao kina Mwamposa waende huko ili tujue kama wao ni fiksi au?
Hawathubutu.Kwa hiyo manabii wetu hawataweza kusaidia kwenye hili?
Mimi Naanzia Duka Bovu Hadi Ngarenairobiakienda nabii yoyote hapo nitakojooaaa kuanzia ngarenaro hadi kwa mromboo
daaahh utavunja rekodi.Mimi Naanzia Duka Bovu Hadi Ngarenairobi
Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
Mtu yeyote anayemwamini Yesu Kristo anaweza kuyakemea hayo maana yapo chini ya miguu yetu tulio ndani ya Kristo.
Ha ha ha nabii feki!Kuna
Kuna nabii alienda hapo alipigwa mawe yeye na gari lake ikabidi akimbie.
Kuna mmoja kaenda Prado yake imepigwa jiweakienda nabii yoyote hapo nitakojooaaa kuanzia ngarenaro hadi kwa mromboo
Na Mungu wetu pia ni mwenye nguvu na uweza.Mizimu yao wanayoiabudu kila mwezi wa 12 ndio inawapiga mawe...
Ifike mahali tuache kumchanganya MUNGU na miungu.
Tukumbuke MUNGU wetu ni mwenye wivu
ZABURI 91.Mtu yeyote anayemwamini Yesu Kristo anaweza kuyakemea hayo maana yapo chini ya miguu yetu tulio ndani ya Kristo.
ISAYA 8:18-21.Mimi nampima mtumishi kwa neno sio miujiza.
Halafu hapo bado waumini wake wanaendelea kumwamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna
Kuna nabii alienda hapo alipigwa mawe yeye na gari lake ikabidi akimbie.
Na geordavie alishaonana na Yesu live live kabisa anasema akampa funguoUmesahau Geordavie tena yupo huko huko Arusha, na Gwajima..
Ni dalili za mlipuko wa volcano sehemu, au kuna eneo miamba inatanuka na kusinyaa.Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
mungu wenu sio lazima awe Mungu wao.Mizimu yao wanayoiabudu kila mwezi wa 12 ndio inawapiga mawe...
Ifike mahali tuache kumchanganya MUNGU na miungu.
Tukumbuke MUNGU wetu ni mwenye wivu
Muda huu ungelikuwa ushafika huko uyakemeeMtu yeyote anayemwamini Yesu Kristo anaweza kuyakemea hayo maana yapo chini ya miguu yetu tulio ndani ya Kristo.
Sawa mwebraniaWanaweza kuwasaidia...
Ila kama watu wataamua kuacha kuamini mizimu na kumwamini YESU/MUNGU.