Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Ningekuwa wewe, ningeomba muujiza utokee niende kwasababu hata magari yapo chini yako.Ningekuwa karibu na huko ningeenda.
KUNA YESU NA MUNGU?Wanaweza kuwasaidia...
Ila kama watu wataamua kuacha kuamini mizimu na kumwamini YESU/MUNGU.
Hao kina Mwamposa miujiza yao ni ya kutengeneza, wakienda hapo mapepo yatawaadhiri.Ningekuwa wewe, ningeomba muujiza utokee niende kwasababu hata magari yapo chini yako.
Wafia dini mnajifanya(ga) mna imani sana lakini inapofika mahali pa kujitolea, hamna pesa.
Kwahiyo ndio pasionekane yanapotokaNi dalili za mlipuko wa volcano sehemu, au kuna eneo miamba inatanuka na kusinyaa.
Waandishi wa kibongo hawatafuti starting point bali wanawafuata wahanga
Hao kina Mwamposa inawezekana wamechukua βutaalamβ wa miujiza Nigeria.Na Mungu wetu pia ni mwenye nguvu na uweza.
Mimi nilitaka kujua haot mawe yanarushwa kivipi? Kutoka juu, au kutoka mlimani au horinzontallyNi dalili za mlipuko wa volcano sehemu, au kuna eneo miamba inatanuka na kusinyaa.
Waandishi wa kibongo hawatafuti starting point bali wanawafuata wahanga
Anaitwa nani?Kuna mmoja kaenda Prado yake imepigwa jiwe
Mkuu utapumzika kwa Mbauda na Olasiti au utakojoa mfululizo?akienda nabii yoyote hapo nitakojooaaa kuanzia ngarenaro hadi kwa mromboo
Pesa imeingiaje hapa? Kwamba niache shughuli zangu niende huko?Ningekuwa wewe, ningeomba muujiza utokee niende kwasababu hata magari yapo chini yako.
Wafia dini mnajifanya(ga) mna imani sana lakini inapofika mahali pa kujitolea, hamna pesa.
Utakuwa una tatizo binafsi na watu wa Mungu.Muda huu ungelikuwa ushafika huko uyakemee
Mi nanzia Ngara Hadi mianziniakienda nabii yoyote hapo nitakojooaaa kuanzia ngarenaro hadi kwa mromboo
Nadhani tenda hii apewe Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha sababu kwanza alikuwa mfanyabiashara Arusha pili mahubiri yake kila siku ni vita na wachawi, majini na mapepo.Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
Uwajue mara ngapi, tz manabii na mitume wote Ni MATAPELITunataka hao kina Mwamposa waende huko ili tujue kama wao ni fiksi au?
kuna mitume bongo ndugu ?Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
Trajectory of a projectile...!? Haaa haa haaaMimi nilitaka kujua haot mawe yanarushwa kivipi? Kutoka juu, au kutoka mlimani au horinzontally
Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa.
Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli.
Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw.
Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine.
Tenda hiyo kuyaondoa mapepo!
Ni kitu kimoja...KUNA YESU NA MUNGU?
π π π π π π π πMbona ameshawahi kwenda nabii no 7 kutoka Arusha mjini, akaomba na kukemea kwa jina la Yesu, kilichotokea ni gari ikakung'utwa jiwe kwanza na baadaye mawe yaliendelea kurushwa licha ya ukemeaji kwa jina la Yesu, hali ilipozidi kuendelea ikabidi ahaidi kwamba baada ya siku 21 hali hiyo itakoma.π€£π€£, hadi anaondoka katika eneo hilo mawe yaliendelea kurushwa tu.