Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

He is in no position kutoa maagizo kwa mhe waziri.
On other hand hii ni campaign ya serikal kusambaza ujumbe au kuwaandaa watu na kufungiwa kwa x? Wanafanyaje?

Wanayafikia yale makundi, wajifanye wanakemea ili baadae waje waseme watz ndio wametaka, kumbe ni plan ya musa mrefu
 
Naunga mkono hoja hii ya Mwamposa
 
huyu hana maana yeyote, tapeli wa kuzimu kabisa. kwasababu umemuumbua mambo yake na alitabiri kwamba kufikia muda fulani utafungwa, anatafuta namna ya kutimiliza unabii wake.
 
Tapeli la imani, linaanza kutuoangia adi mitandao ya kutumia, Na lenyewe kanisa lake lifungwe kwani halina msaada wowote tofauti na kuibia watu kishetani
 
Fungia kabisa hii kitu
 
Ifungiwe
 
kwetu sisi wakristo, mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu mno kufikia watu kwa njia ya mtandao, watu wengi tu wanapokea mafundisho kwa njia ya mtandao. kama ni ushoga, basi internet yote ifungwe kwasababu youtube utakuta ushoga mwingi kuliko hata x, instagram kuna ushoga mwingi zaidi ya kote, telegram ni mashoga, hata whatsapp, facebook pia, lakini akili yako wewe ndio inakufanya uamue kutazama porn au usitazame, uongee ushoga au usiongee. si huwa nasikia kuna mitandao ya mashoga? huko wanakotongozana, si awaambie wafunge hiyo?
 
Good thinking
 
Atakapoacha kutapeli Wananchi Kwa kuwauzia Mawese tutamsikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…