ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadiri wanavyozidi kumchukia mwenzao anachanja mbuga[emoji23][emoji23]
Steve Nyerere hajui kuandika labda,tumuanzishie darasa la K.K.K (kusoma,kuandika na kuhesabu)Hii bila shaka itakuwa ID ya Steve Nyerere
Dah Blaza, Una roho mbaya sana, una wivu sana, na una majungu sana..Huyu bitoz amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo.
Huyu bishoo ni mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.
Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaharibia wenzake asiowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.
Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.
Mwana FA kuwa Waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Usihofu Mkuu. Kazi ya Naibu Waziri ni kujibu mswali ya nyongeza tu Bungeni. Hatakuwa na impact yoyote. Angekuwa kateuliwa kuwa Katibu Mkuu hapo ingekuwa kesi.Huyu bitoz amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo.
Huyu bishoo ni mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.
Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaharibia wenzake asiowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.
Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.
Mwana FA kuwa Waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Nchi ina watu maarufu wengi ambao hawakwenda shule. WCB ina mrundikano wa watu wa aina hii.WCB ni muunganiko wa failures. Hakuna aliyefanya mtihani wa form four ukimtoa Zuchu. Kwakifupi Zuchu ndiye msomi zaidi pale WCB
Ukanjanjakanja tuNchi ina watu maarufu wengi ambao hawakwenda shule. WCB ina mrundikano wa watu wa aina hii.
Kwa bunge hili takataka lililojikabidhi kwa Rais, tuna safari ndefu sana. Eti Spika anamuahidi Rais "tutapitisha kila takataka utakayoleta bungeni". Sasa kazi ya wabunge kuhoji ina maana gani!?Ili Tanzania kuendelea mbele twapaswa iga walio endelea kwenye namna ya kuendesha serikali, uwajibikaji, teuzi.
Kumkabidhi Rais Teuzi zote ni kosa, bunge latakiwa hoji teuzi zote na kupitisha walio sawa pekee, na ili hilo lifanikiwe yatakiwa bunge liwe non partisan
Kama hauaminiki kwa kidogo, utaaminika vipi kwa kikubwa!?he mumeanza kumpiga majungu hata hajaanza kazi. Watz mumezidi tena.
Kwani aliwahi kupewa post kubwa mukamuona ana roho mbaya hivyo?
Wewe ulitaka amuambie nini!?Lady Jay Dee sijui atamuambia Nini sasa hivi Mheshimiwa.
ingekuwa kila mwenye degree duniani amekuwa milionea mambo yangekuwa poaNikimuona mtu anatukana watu et hawakusoma alafu hana maisha yoyote ya maana huwa namuona takataka tu.
Duh huyu mimi simjui ila maelezo haya yanaweza kua kweli. Nawajua vijana wa kitanga aina hiyo. Halafu amefool watu kuhusu elimu yake. Mtu unawezaje kutoka ordinary diploma hadi masters degree. Kasoma ifm mwaka certficate IT, and then miaka 2 diploma IT. Hapo lazima upige miaka mitatu undergraduate ndio u qualify kufanya degree ya masters. Of cause siasa unaweza kua chochote bila elimu lakini kua mkweli.Huyu bitoz amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo.
Huyu bishoo ni mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.
Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaharibia wenzake asiowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.
Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.
Mwana FA kuwa Waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Uhisi Sugu na JD wana njaa kama wewe?Ila Mungu fundi zaidi yeye sasahivi ni Naibu Waziri alafu hao wengine wako kama walivyo