Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

After all as a man,make sure you find money.
Wanaume huwaga hatuoneani wivu,acha jamaa aoneshe kile ambacho mama amekiona ndani yake for the well being of sports and games cabinet.

Mtoa mada bila shaka utakuwa na chuki binafsi na mwana FA,....
Yes nnachukia watu wenye kudharau wenzao, wenye maringo wenye fitna na wabana rizki za wenzao.
 
Acha kuongea watu usiowajua kwa maneno ya Instagram Babu Tale hajaishia darasa la saba.

Huyo Mwana FA ndio kasoma masters Coventry ila siku akikuonyesha cheti chake cha masters nakupa million 5 on the spot
Hiyo milioni 5 kama unayo wewe chawa si ukasaidie familia yako? Wewe ni mkaguzi wa vyeti vya watu? MwanaFA kasoma Tanga Tech.. unajua ufaulu wa darasa la saba hadi uweze kuingia Tanga Tech? WCB mna vipaji vya muziki na uchawa ila kwenye ishu yoyote inayohusiana na elimu tafadhali sana kaeni kimya.
 
Yes nnachukia watu wenye kudharau wenzao, wenye maringo wenye fitna na wabana rizki za wenza

Yes nnachukia watu wenye kudharau wenzao, wenye maringo wenye fitna na wabana rizki za wenzao.
Ndio maana wewe sio yeye na yeye sio wewe....ukielewa hii statement haotakaa hata siku moja ukaleta complain about somebody
 
Mwana FA hata mi nilijua tuu hapa chenga , mwamba ni mtu wa kukunja Sana
Wewe na mleta mada wote ni machawa wa wcb mnajulikana humu,

Mlitaka Babu tale ndio ateuliwe? Toeni ujinga wenu hapa nyie vichawa koko.
 
Hiyo milioni 5 kama unayo wewe chawa si ukasaidie familia yako? Wewe ni mkaguzi wa vyeti vya watu? MwanaFA kasoma Tanga Tech.. unajua ufaulu wa darasa la saba hadi uweze kuingia Tanga Tech? WCB mna vipaji vya muziki na uchawa ila kwenye ishu yoyote inayohusiana na elimu tafadhali sana kaeni kimya.
Narudia tena siku ukikiona cheti cha masters cha FA niitafute nikupe mil 5. Mstake tuongee mengine mengi.
 
Huyu bitoz amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjaua mwana fa hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo.
Huyu bishoo ni mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.

Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaaribia wenzake asowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.

Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.

Mwana FA kuwa waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Niki wa Pili au Joketi wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho alafu wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Kwa kifupi yote uliyoandika ni chuki na roho mbaya (uchawi)
Ushauri wangu kubaliana na hali maan FA ndo tayari kakabidhiwa kijiti iwe iwavyo lazima atekeleze majukumu aliyopewa.
Mods futeni hii takataka.
 
Rais na washauri wake wamemuweka kisiasa ili avutie watu wa sanaa na burudani na michezo wajisikie ni sehemu ya serikali. Lakini huyu mtoto wa kitanga hakuna jipya atafanya. Nasubiri tuone atafanya nini kipya zaid ya roho mbaya na kauzibe
Kwani waliopita walifanya jipya gani!!??? Kwanini yeye ndo unataka afanye jipya!? Wewe ni MCHAWI.
 
Narudia tena siku ukikiona cheti cha masters cha FA niitafute nikupe mil 5. Mstake tuongee mengine mengi.
Tutolee chuki zako za kike hapa chawa koko wewe wa wcb,wivu unakukausha koo huoni hata aibu? Nenda kamsujudie domo ndicho unachokiweza.
 
Ili Tanzania kuendelea mbele twapaswa iga walio endelea kwenye namna ya kuendesha serikali, uwajibikaji, teuzi.
Kumkabidhi Rais Teuzi zote ni kosa, bunge latakiwa hoji teuzi zote na kupitisha walio sawa pekee, na ili hilo lifanikiwe yatakiwa bunge liwe non partisan
 
Mimi nasema hakuna jipya atakalofanya na wewe unakubaliana na mimi kuwa hana jipya atafanya. Then unaniona mimi mchawi
Wapi nimeungana na wewe!!!?? Nimekuuliza kwanini unataka yeye ndo afanye jipya? Nimeomba pia uniorodheshee mapya yaliyofanywa na watangulizi wake. Ukishindwa basi we MCHAWI na utakufa na ufukara wako.
 
Babu Tale ni mmoja ya watu smart sana kuwahi kutokea kwenye industry ya sanaa na burudani. Mungu hakupi vyote akakosa formal education. Ila FA na Tale ni mbingu na ardhi.
Kanyimwa Hamis kapewa Khamis, shida iko wapi?
 
Nimemkumbuka katk lile zakata la stivu ake. Na msemaji wa wasanii jins alvyo muaribia jamaa mkate wake .nilimuona nyoko sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwenye Ile ishu nilimuelewa sana mwana FA, aliongea point tupu, na ukitaka kujua stivu chizi angalia alichojibu, Mwana FA anatabia ya kujiskia sana na kuona anajua kila kitu
 
Back
Top Bottom