Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Dah Blaza, Una roho mbaya sana, una wivu sana, na una majungu sana..

Na siyo kweli mwanaFA kwa kuwa ni msanii basi wasanii watafaidika zaidi. Waziri ni cheo cha kisiasa tu at least ungenambia katibu. MwanaFA amewekwa pale ili kumjenga kisiasa Mama na utawala wake.

Matatatizo ya wasanii ni matatizo kama matatizo ya wengine tu na yatatatuliwa na serikali na sera zake, SIYO MWANAFA.

Kwa kuwa waziri wa elimu au Tamisemi ni mwalimu , means basi matatizo ya Waalimu atayamaliza!!!..
UPO TANZANIA AU WAPI WEWE?
 
Usihofu Mkuu. Kazi ya Naibu Waziri ni kujibu mswali ya nyongeza tu Bungeni. Hatakuwa na impact yoyote. Angekuwa kateuliwa kuwa Katibu Mkuu hapo ingekuwa kesi.
 
Kwa bunge hili takataka lililojikabidhi kwa Rais, tuna safari ndefu sana. Eti Spika anamuahidi Rais "tutapitisha kila takataka utakayoleta bungeni". Sasa kazi ya wabunge kuhoji ina maana gani!?
 
he mumeanza kumpiga majungu hata hajaanza kazi. Watz mumezidi tena.

Kwani aliwahi kupewa post kubwa mukamuona ana roho mbaya hivyo?
Kama hauaminiki kwa kidogo, utaaminika vipi kwa kikubwa!?
 
Unamsagia mwenzako kunguni unajua ataenda kupambana na bosi wako wa wachafu.
 
Mtu anaponda watu et hawakwenda shule!! Ila ukiangalia yeye alienda shule anazidiwa kila kitu na hao anaowaona vilaza yaani mpaka dhambi.

Elimu ya kibongo ni takataka tu hakuna haja ya kujivunia nhayo makaratasi ya UDSM na vyuo vingenevyo. Mtu anajifanya kasoma ana degree uchwara ila ukimuuliza hiyo elimu imekusaidia nn mpaka sasa hana lolote zaidi kumiliki smartphone tu kutukana watu JF.

Nikimuona mtu anatukana watu et hawakusoma alafu hana maisha yoyote ya maana huwa namuona takataka tu.
 
kama kweli vile

yani nikikumbuka enzi za naniliu ,anyways haya
 
Mwaka 2015 sijui 2016 Ile tulikua wote masjid swala ya ijumaa pale block 41 Kuna msikiti pale aisee
Tumetoka wote nikaomba picha aisee jamaa alikunja mno, toka siku Ile sijawahi kuomba picha na msanii...
Anyway kwangu sikuona kama anaringa
 
Duh huyu mimi simjui ila maelezo haya yanaweza kua kweli. Nawajua vijana wa kitanga aina hiyo. Halafu amefool watu kuhusu elimu yake. Mtu unawezaje kutoka ordinary diploma hadi masters degree. Kasoma ifm mwaka certficate IT, and then miaka 2 diploma IT. Hapo lazima upige miaka mitatu undergraduate ndio u qualify kufanya degree ya masters. Of cause siasa unaweza kua chochote bila elimu lakini kua mkweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…