Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Mwaka 2015 sijui 2016 Ile tulikua wote masjid swala ya ijumaa pale block 41 Kuna msikiti pale aisee
Tumetoka wote nikaomba picha aisee jamaa alikunja mno, toka siku Ile sijawahi kuomba picha na msanii...
Anyway kwangu sikuona kama anaringa
Uitaka kupiga na msanii picha

[emoji1]

Ova
 
Hii I'd Kama sio Salaam , Kama sio BabuT, Kama sio baba levo, Kama sio Mwija-ku basi huyu Ni Jide au Stivo Nyerere.
Na hamtafanikiwa.
MwanaFa Ni kijana aliyejitokeza hadharani kuupigania mziki wake umlipe angalau aishi vizuri but ndio jamaa Ni mswahili . Ukisikiliza nyimbo zake unatambua Hili but Hili halizuii kijana kuteuliwa kuwa Naibu waziri.
Ukiondoa sifa ya kuwa mwanasanaa FA Ni msomi.Aliamua kuwekeza muda wake kusoma kutafuta unafuu zaidi mbeleni.
Unafuu ndo huo!
Mtan'gong'a Sana but ndo hivyo Tena Hamisi ndo Naibu waziri hivyo.
Nb
Nawakumbusha kabla ya 2025 Hamis atakuwa waziri.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sawa steve nyerere tumekuelewa ila ndo hivyo waswauili wanasema kuimba kupokelezana
 
Nachofikiri we ni mgeni katika Tasnia na nilichogundua una wivu binafsi kwa sabbu sijaona Points ya kusema atakuwa Nw Mbovu wakati hujaweka yo points Why...
Eniwei ngoja nikupe elimu..
FA ni Mwana HipHop wa mwanzo mwanzo Kuliko hata Nick' saimon (Niki wa pili)
Na kama unajua (Kama hujui bhasi leo ujue) Ni mmoja wa wanaoijua sanaa Tangu ikiwa Ngumu kukubalika na Watu enzi hizo...
Kingine kama utakumbuka MwanaFa alikuwa Msanii mmojawapo aliyewahi kuteuliwa katibya wasanii wawili na mhe Magu (JPM) Kuwakilisha wasanii BASATA na tangu kipindi hicho wasanii wakaanza kupokea MIRABAHA na pia HAKUNA MSANII ALIYEFUNGIWA kama unajua lakini maana unaweza kuwa unapinga bila kuwa na ujuzi..
 
β€œUnanijua unanisikia” usinipigie makofi mwishowe mikono ikauma……..- mwanaFA.


Halafu hizo character unazoziona Mbaya Kwa jamaa Ndio sifa za kuwa mwanasiasa bongo. Mwanasiasa gani Hana hizo character ? Wacha siku ziende
 
Ndiye mgunduzi wa neno "kicheche" akimaanisha mwanamke chui chui. Kwa ugunduzi huu yafaa apewe PHD
 
Sugu ndiyo amewa inspire wasanii
Kuingia kwenye mauongozi!
Wengine ndiyo wakafata

Ova
 
I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
WTF...!!😏😏
πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ’©πŸ’©
 
Kumbe chege na yeye ana roho mbaya
 
Unaweza Kuta Mzigua Hujapenda Mdigo Kupata Kashavu
 
Mwana FA ndio msanii anaeongoza kwa roho mbaya hapa Tanzania akifatiwa na Chege Chigunda.
Kwa Chege nakubaliana nawe kwa 100%, back in the day US Mwana FA alikuwa akifanya u-snitch kukwamisha movements za wasanii wenzake hasa zile zilizokuwa zikiwa initiated na Sugu ili amfurahishe late Ruge na pia alimsaliti Jide na kuchangia kumkandamiza pale alipotofautiana na Ruge.
Kwa sasa I don't wanna prejudge, ngoja tuone muda ndiyo utatupa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…