mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Uitaka kupiga na msanii pichaMwaka 2015 sijui 2016 Ile tulikua wote masjid swala ya ijumaa pale block 41 Kuna msikiti pale aisee
Tumetoka wote nikaomba picha aisee jamaa alikunja mno, toka siku Ile sijawahi kuomba picha na msanii...
Anyway kwangu sikuona kama anaringa
[emoji1]
Ova