Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Sawa Babu taleMwana FA ndio msanii anaeongoza kwa roho mbaya hapa Tanzania akifatiwa na Chege Chigunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Babu taleMwana FA ndio msanii anaeongoza kwa roho mbaya hapa Tanzania akifatiwa na Chege Chigunda.
NAKUBALIMwana FA ndio msanii anaeongoza kwa roho mbaya hapa Tanzania akifatiwa na Chege Chigunda.
Chege mbona hamuongelei hiyo roho yakeKwa Chege nakubaliana nawe kwa 100%, back in the day US Mwana FA alikuwa akifanya u-snitch kukwamisha movements za wasanii wenzake hasa zile zilizokuwa zikiwa initiated na Sugu ili amfurahishe late Ruge na pia alimsaliti Jide na kuchangia kumkandamiza pale alipotofautiana na Ruge.
Kwa sasa I don't wanna prejudge, ngoja tuone muda ndiyo utatupa majibu.
Huyo niliyemuongelea ni kwa kuwa namjua personally na baadhi ya mazingira niliyoyaongelea nilikuwepo, kuhusu Chege ni habari nilizosikia tu(their personal brawls na wenzake) kwa jinsi alivyokuwa na roho mbaya kwa wenzake na kwamba sasa game likemkataa karudi kulekule.Chege mbona hamuongelei hiyo roho yake
Kabisa, wanabana kinoma, watu wanavyoona wanaimba redioni na kuongea kujifanya wema, kuwa underground wafate uone ujivuni wao na kujua kachumbari ni mboga au ?Hoo Dr siwez kukutilia mashaka hata mm nimewahi kuwa mdaau mahiri ,mkubwa Sana wa bongo fleva na ndio nikawajuwa vitabia vyao
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uchawi upo.Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.
Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaharibia wenzake asiowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.
Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.
Mwana FA kuwa Waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Watu wa Pwani ni watu wa Majungu na fitina siyo kazi!Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.
Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaharibia wenzake asiowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.
Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.
Mwana FA kuwa Waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Ila bora Mama angemteua Nikki kuwa Mbunge na kumpa hii nafasi.Mwana FA Uswahili mwingi hekima zero!Niki wa Pili anafaaa kuwa waziri sema tu si mbunge. Alafu sasa ushangae Joketi ni mtu poa na msaada na ni demu kuliko huyo njiti.
Mzee hata kama unamchukia mtu si kuandika uongo hivi aiseeDah wewe jamaa hata kama ni uchawa umezidi. Tale huyu siku moja alisema tangu mkewe afariki hata kufua chupi hafui? Pia Tale ni mwajiriwa wa Diamond.... projects zake binafsi zilishafeli. Halafu mbaya zaidi ni ile darasa la saba iliyofeli kabisa.. kwa umri wake kuna wale la saba waliokuwa wakikosa nafasi kwa uhaba wa shule na wale waliofeli sasa hiyu ni la saba aliyefeli. Punguza ujuaji ndugu. MwanaFA ni msomi wa hali ya juu mno hata mchange elimu zenu huko WCB hamfikii nusu ya akili zake.
Uongo gani nimeandika?Mzee hata kama unamchukia mtu si kuandika uongo hivi aisee
Katibu mkuu na naibu wazir Nani ni mkubwa kimamlakaUsihofu Mkuu. Kazi ya Naibu Waziri ni kujibu mswali ya nyongeza tu Bungeni. Hatakuwa na impact yoyote. Angekuwa kateuliwa kuwa Katibu Mkuu hapo ingekuwa kesi.
Mwana FA Hana huo ubavu wa kupambana na WCB , Sana Sana ataishia kufukuzwa tuuu au kubadlishwa kitengoUnamsagia mwenzako kunguni unajua ataenda kupambana na bosi wako wa wachafu.
Sawa boss.Sugu ndiyo amewa inspire wasanii
Kuingia kwenye mauongozi!
Wengine ndiyo wakafata
Ova
Mwana FA ndio msanii anaeongoza kwa roho mbaya hapa Tanzania akifatiwa na Chege Chigunda.