Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Mpeni nafasi hata miezi sita, i hope aje na agenda za nguvu ambazo zitabadilisha sheria na sera za kitaifa kuhusu michezo na sanaa,apigane hizo sekta ziwe za kibiashara zaidi na wenye talent zao wataweza kuvuna na kazi zao kulindwa kisheria,ahakikishe yale mapato ya mipira na miziki yaende kwa wenye talent sio vyama vinavyosimamia, namshauri aunde timu yake inayoelewa mambo waandike muswada ulioshiba ambao utabadilisha maisha ya wenye vipaji na kufanya michezo na sanaa kuheshimika na kuonekana kama ajira nyingine, msanii hatakiwi kujipendekeza kwa mwanasiasa au kiongozi yeyote kupata chakula chake, ahakikishe wenye talent watalindwa na kufaidika, akishindwa kabisa akopi sheria za nchi nyingine zilizoendelea then asukume muswada bungeni
 
Kwa Chege nakubaliana nawe kwa 100%, back in the day US Mwana FA alikuwa akifanya u-snitch kukwamisha movements za wasanii wenzake hasa zile zilizokuwa zikiwa initiated na Sugu ili amfurahishe late Ruge na pia alimsaliti Jide na kuchangia kumkandamiza pale alipotofautiana na Ruge.
Kwa sasa I don't wanna prejudge, ngoja tuone muda ndiyo utatupa majibu.
Chege mbona hamuongelei hiyo roho yake
 
Chege mbona hamuongelei hiyo roho yake
Huyo niliyemuongelea ni kwa kuwa namjua personally na baadhi ya mazingira niliyoyaongelea nilikuwepo, kuhusu Chege ni habari nilizosikia tu(their personal brawls na wenzake) kwa jinsi alivyokuwa na roho mbaya kwa wenzake na kwamba sasa game likemkataa karudi kulekule.
 
Hoo Dr siwez kukutilia mashaka hata mm nimewahi kuwa mdaau mahiri ,mkubwa Sana wa bongo fleva na ndio nikawajuwa vitabia vyao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kabisa, wanabana kinoma, watu wanavyoona wanaimba redioni na kuongea kujifanya wema, kuwa underground wafate uone ujivuni wao na kujua kachumbari ni mboga au ?
 
Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.

Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.

Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaharibia wenzake asiowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.

Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.

Mwana FA kuwa Waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Nikki wa Pili au Jokate wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho na wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Uchawi upo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Pwani ni watu wa Majungu na fitina siyo kazi!
 
Niki wa Pili anafaaa kuwa waziri sema tu si mbunge. Alafu sasa ushangae Joketi ni mtu poa na msaada na ni demu kuliko huyo njiti.
Ila bora Mama angemteua Nikki kuwa Mbunge na kumpa hii nafasi.Mwana FA Uswahili mwingi hekima zero!
 
Dah wewe jamaa hata kama ni uchawa umezidi. Tale huyu siku moja alisema tangu mkewe afariki hata kufua chupi hafui? Pia Tale ni mwajiriwa wa Diamond.... projects zake binafsi zilishafeli. Halafu mbaya zaidi ni ile darasa la saba iliyofeli kabisa.. kwa umri wake kuna wale la saba waliokuwa wakikosa nafasi kwa uhaba wa shule na wale waliofeli sasa hiyu ni la saba aliyefeli. Punguza ujuaji ndugu. MwanaFA ni msomi wa hali ya juu mno hata mchange elimu zenu huko WCB hamfikii nusu ya akili zake.
Mzee hata kama unamchukia mtu si kuandika uongo hivi aisee
 
Usihofu Mkuu. Kazi ya Naibu Waziri ni kujibu mswali ya nyongeza tu Bungeni. Hatakuwa na impact yoyote. Angekuwa kateuliwa kuwa Katibu Mkuu hapo ingekuwa kesi.
Katibu mkuu na naibu wazir Nani ni mkubwa kimamlaka
 
Sugu ndiyo amewa inspire wasanii
Kuingia kwenye mauongozi!
Wengine ndiyo wakafata

Ova
Sawa boss.
But alipo FA leo Ni zao la safari salama aliyoianza kuanzia shule, muziki, Elimu ya juu na leo kiongozi mkubwa.
Baadhi ya nyimbo zake zinaonesha namna ambavyo anaamini zaidi katika ubize was kutafuta fedha kuliko kupigana Majungu.
Heko sana mwanafA.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom