Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Hii ndo kazi wanayoiweza ili waendelee kuingiza perdiem
 
Nchi kama ina mazombie, yaani hata Muumba wao hawamsifii hivyo, wazazi wao hawajui hata wana hali gani. Kazi mama hivi mama vile. Hawa hata wakiambiwa chochote, wako tayari kukifanya kumridhisha huyo mama yao.

Siwezi nikahusudu cheo, mtu anayenipa cheo, kuliko Muumba wangu wa kila kitu. Hata kwa kujilazimisha siwezi, vyote tunaviacha, nitamsujudia aliyeniumba tu.
 
Wakuu mmesikia huko?

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
Sasa nawaelewa wale ambao huwa wanafurahi Taifa Stars ikifungwa.
Ikishinda mkimshukuru rais pia ikifungwa lawama muwe mnampa yeye.
 
si ni ndege ya serikali au alinunua kwa pesa zake na mafuta kaweka na pesa zake?
Hahaha hatari kidogo bado Simba na Yanga akiwapandisha Ndege utasikia ushindi huu ni maalumu kwa Rais Dkt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…