Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Wakuu mmesikia huko?

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
Na tukifungwa tarehe 19 aseme hivyo hivyo tena
.
Maana tukishinda na tukishindwa yote ni yetu. Sio wampe mama mazuri tu
 
Kesho taifa stars wapigwe 2-0 kwa bahati nzuri sijawahi kushangilia taifa stars hata siku moja
Kila wakicheza mm huomba wafungwe tu
 
Hii timu ifungwe Leo na isishiriki mwakani

Maana Kila kitu samia samia samia samia mpaka kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…