Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Tatizo mmeshakuwa programmed kuwa lazima usome darasa nursery,La 1-7,kidato cha 1-6 degree,masters PhD!

Kuna watu wanafanya mambo ya PhD na ni form 4 failure.

Upumbavu wa mwafrika ni wa kiwango cha juu mno.
 
Kasoma IFM? Kweli? Akapita bila kudisco? He is better than Havard! Mama kampataje? Tena ni Mzigua? Uuuuuwiiiii!!!ZFZMWCCM
 
"Masters ni digrii"👇👇
Inawezekana kupata digrii ya Masters bila digrii ya bachelor kwa;
1. Kuingia moja kwa moja katika programu ya Masters ukiwa na uzoefu wa kazi na sifa za kitaaluma.
2. Vyuo vingine huchanganya digrii za bachelor na masters katika programu moja.
 
Huyu Elimu zinafanana na bosi wake.
 
Unamhubiria nani sasa? Kuna sehemu nimeidharau elimu?
 
I
Ila mheshimiwa kichwa. ..huu muunganiko simchezo. .dipl to masters. ..hua ni 3yrs km sikosei kuna mwaka atakua alipiga brash za first degree. ..ilahongera zake isee. ..IT,insurance then finance hatari sn
 
Mbowe anasoma Out Bachelor ya international relations
 
Nimechagua kujifunza kwako .
 
Hivi kwanini mnaiita masters nyie vilaza? Inaitwa Master..haina wingi bali ukitaka kuimilikisha unasema Master's degree.

Sana sana katika shule mbalimbali au nidhamu mbalimbali za kitaaluma huitwa Master's. Yaani inakuwa na hiyo possessive mark basi na si plural form.
 

Acha uongo kwa iyo ulikua ukisoma tu certificate unakwenda Advance Diploma ?

Bas elimu ilikua rahis sana ap advance diploma miaka miwil aisee kama hujui kaa tu kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…