Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Bachelor au Adv Dip unapiga ukiwa na first class cert. Muulize mzee wa Jalalani kuhusu LLB degree.Hamna utaratibu huo mkuu, sawa na kujenga msingi alafu ukaanza kupaua wakati kuta hatuzioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bachelor au Adv Dip unapiga ukiwa na first class cert. Muulize mzee wa Jalalani kuhusu LLB degree.Hamna utaratibu huo mkuu, sawa na kujenga msingi alafu ukaanza kupaua wakati kuta hatuzioni.
Tatizo mmeshakuwa programmed kuwa lazima usome darasa nursery,La 1-7,kidato cha 1-6 degree,masters PhD!Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Hahaha iyo naiskia leo mkuuBachelor au Adv Dip unapiga ukiwa na first class cert. Muulize mzee wa Jalalani kuhusu LLB degree.
Kasoma IFM? Kweli? Akapita bila kudisco? He is better than Havard! Mama kampataje? Tena ni Mzigua? Uuuuuwiiiii!!!ZFZMWCCMMwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Nilishangaa sijaliona hili jibu huko juu. Diploma ya kawaida ni two years. Advanced Diploma ni three years. Unaweza kwenda masters na advanced diploma.Inawezekana kabisa na itakuwa diploma yake ni Advanced Diploma, si jambo la kushangaza wala.
Huyu Elimu zinafanana na bosi wake.Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Hakuna ordinary diploma y more than two years.Kama alipata advanced diploma basi tungeona ordinary diploma apo kwenye CV yake, inawezekana vipi kutoka certificate to advanced diploma
Unamhubiria nani sasa? Kuna sehemu nimeidharau elimu?Bila kumzungumzia mlengwa ambaye inasemekana ana Masters, tuache kudharau elimu. Kuna watoto wanakua and hizi kauli haziwajengi. Kuna nafasi tuzipe heshima yake, mfano uwaziri, ukurugenzi wa taasisi za serikali na hata ubunge, zizingatie kiwango cha elimu.
Ila mheshimiwa kichwa. ..huu muunganiko simchezo. .dipl to masters. ..hua ni 3yrs km sikosei kuna mwaka atakua alipiga brash za first degree. ..ilahongera zake isee. ..IT,insurance then finance hatari snMwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Mbowe anasoma Out Bachelor ya international relationsKitendo cha FA kuchaguliwa tu kusoma sekondari Tanga Tech kinatosha kuonyesha akili nyingi alikuwa nazo. Kwa miaka ile aliyosoma ilikuwa sio mchezo mtu kufaulu darasa la 7 kwenda shule kama Tanga Technical. Degree hana ila Advanced Diploma aliyosoma ni sawa na degree technically. Wapo wasomi wengi sana nguli nchi hii ambao walisoma Advanced Diploma wakaenda masters. Wakongwe wengi walisomea IDM Mzumbe na IFM.
Nadhani tutafute kitu kingine cha kumshambulia nacho FA ila sio elimu. Kielimu kamzidi hadi kiongozi mkuu wa upinzani ambaye pia ni mmiliki wa chama.
Nimechagua kujifunza kwako .Hujafikia kiwango cha kujibizana nami.
Kwa kazi inayohitajika, nitahitaji unilipe nikurudishe darasani.
Na kwa sasa sina muda wala nishati ya kufundisha historia.
Kukosoa kwa staha ni muhimu kwako, si kwangu, hivyo usinipandikizie staha zako kwangu.
Mimi naweka kipaumbele kwenye kukuambia ukweli kuliko kukustahi kwa fake modesty.
You should learn to appreciate that.
MAPOGOPOGOK.I.S.O.K.O.L.O.K.W.I N.Y.O
Kwani nani alikuambia kuna uchaguzi?Nimechagua kujifunza kwako .
Mwana FA ana akili ya Uongozi na sio akili ya vyeti Kam wengi wanavyoamini
Ok mkuu 🙏soma vizuri mkuu
Iko hivi Mwana FA alisoma IFM certificate mwaka mmoja, baadae akapiga miaka miwili ya Advanced diploma palepale IFM maana mfumo wa zamani kabla ya kuanza kutoa degree vyuo kama IFM na Mzumbe walitoa advanced diploma ambayo ilikua equivalent to degree, ile advanced diploma ndio jamaa aliitumia kusomea masters maana alifaulu vizuri sana, kwahiyo mengine ni chuki tu lakini ndio hivo anapanda taratibu na iko siku atakua waziri kamili