Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

hii nayo ni kali ya mwaka.ordinary diploma to master!hivi vyuo navyo vichunguzwe vinatoaje.
 
Advanced diploma is equivalent to degree(undergraduate)
 
Hicho chuo kiliwezaje kutoa huduma bila ku comply na requirements za TCU tunawasiwasi na ukweli wako mkuu
 
inamaana kwa miaka mitatu TCU wamepokea quality assurance fee kwa wanafunzi bila kujiridhisha na mitaala ya chuo husika.
 
Tatizo munachangia mada mukiwa na hangover, hakuna sehemu niliyoandika kwamba hana uwezo, au hajasoma huko ila nimesema kwamba yeye ameweka historia ya aina yake

Mkuu kuna jamaa alikuwa anaoywa OMUGHAKA....anaweka tu story watu wanakuja ujinga wao na kuanza kupinga kila kitu ila jamaa anatulia tu na kesho anaendelea na story wala hakati tamaa na ujumbe unakuwa umewafikia.Ww tulia hawa raia wa Tz kuwaweka sawa kiakili wakuelewe wote ni ngumu sana mkuu!!!
 
Jukwaa hili limejaa watoto miaka hii ya karibuni.
 
Advance diploma ya mzumbe na ifm ni equivalent na degree hivyo unachukua masters bila shida.
 
Saafi sana watu wasikariri degree ndio uwaziri au unaibu wazir
 
CV yake inaonyesha alisoma cert ya IT kisha Dipolma na hii itakuwa ni ordinary Dipl sio advanced kama ambavyo unasema

Back in days ulikuwa ukisoma Diploma, Ukafanya kazi kwa miaka zaidi ya 5 unaweza soma post graduate kwa mwaka mmoja. kisha ukasoma Masters Degree kwa miaka 2.

hii kitu kipo sana. kuna watu wana Diploma tuu hata advance diploma hawana ila wana masters.

Pia huu mfumo wa advance diploma tulikuwa nao kwa miaka mingi and was perfect kwa muda wake. mfumo huu tuliutoa kwenye mtaala wa uingereza

Baadae tukaachana na Advance diploma tukaja kwenye degree ya kwanza

Japo sijui kama FA alipitia Advance diploma, ila Inawezekana akawa hana na yupo eligible kupata masters
 
Kwani

Hapo tatizo lipo wapi? Mbona tuna wasomi na watumishi wengi tu waliosomea nchi za Scandinavia na Urusi ambao wana Masters bila bachelor.
 
Mkiambiwa someni muelewe na sio kujaza vyeti mnajitia ufundi
Haya tangu lini Naibu Wazir akawa sehemu ya Baraza la Mawazir/Cabinet? Huyo sio sehemu ya Cabinet, ila hili la Elimu nalo nafikiri ujipe muda ujue maana ya Advanced Diploma na hutashangaa tena.
 
Coventry University 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…